Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

Huyo mwanamke hana utii kwa mumewe na hana heshima,kiukweli alimpata legend wa maana sana lkn ameshindwa kumpa heshima yake

Namlaumu jamaa kwanini amuachie hata nyumba,ilitakiwa mwanamke ndio aondoke hapo kwasababu ni mpuuzi

Maisha marefu kwa malegend wote
 
Shukrani ya punda hii. Eti Bado anamtumia video kuwa jamaa yuko chumba kingine. Kwanza angemtandika bakora sawasawa kabla ya kumtimua ngedere huyo
Akili yake ndogo mno huyo mwanamke.
Kwani hawezi kupigwa mjebele kwenye gari?
Hawezi kupigwa mjebele kwanza kisha mwanamke anabaki peke yake anapiga video call ikikatwa wanarudi kuliendeleza 'gemu' hadi asubuhi?
Nasema na aachwe mapema sana hastahili kuwa mke wa mtu.
 
Jamaa alioa kwa ndoa halal,mwenye mtoto ni mzazi mwenzake ndo huyo amepewa airtime
 
Sister; hata nje ya DINI, hivi unatokaje na mwanaume mwingine kwenda nae mkoa mwingine? Huo ujasiri unautoa wapi?
 
hapa hata USHAURI tuliompa jamaa ni kupiga chini,dharau aliyoonyeshwa na huyu mke wake siyo kabisa....
 
Jamaa atafute chuchu saa 6 ,aweke ndani aanze kula kitu automatic aachane na manual tena namba A
 
#MWANAMKE MJINGA ATAIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE YEYE
MWENYEWE # ALISIKIKA MSANII MMOJA AKIIMBA🦃🦃🦃
 
Naona omopa umekuja kivingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…