Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

Yaani usafiri gari Moja na x Tena private kisa mnampeleka mtoto interview πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„,Bora baba wa watu alivyochukua uamuzi huo,maana Mimi mwenyewe mwanamke lakini haiingii akilini kabisa, hiyo ni dharau ya kiwango cha lami.
Yaani Kuna wanawake utii zero, hekima zero.
Kwani angejishusha tu akakubaliana na mume wake mtoto apelekwe na baba yake au option aliyopewa mume wake ampeleke mpaka huko shule angepungukiwa nini??
Ufeminist mpaka kwenye ndoa haya Sasa vuna ulichopanda.
 
Nimeshangaa simps na wanaume wapumbavu wanasema eti mpaka ulione kaburi la baba wa mtoto ndio ufanye maisha na single mom

Wajinga wakubwa nyie awe baba wa mtoto amekufa au yuko hai mwanaume anayejielewa haoi single mom hata siku moja
 
Ukisoma mtiririko wa story ni dhahiri kuwa ni ya kutunga....na mtoa mada ameitoa huko ilipotungwa na kui copy hapa moja kwa moja......

Lakini waungwana wameshindwa kuliona na kuhangaika kutoa ushauri hewa huku mtunzi akiwacheka
uswahili utatuisha lini?unaongea kitu huna uhakika nacho...ya kutunga ili iweje?una umri Gani kwanza?
 
Pole sana mkuu. Utaleta ushuhuda soon
 
Ukisoma mtiririko wa story ni dhahiri kuwa ni ya kutunga....na mtoa mada ameitoa huko ilipotungwa na kui copy hapa moja kwa moja......

Lakini waungwana wameshindwa kuliona na kuhangaika kutoa ushauri hewa huku mtunzi akiwacheka
Iwe ya kutunga au ya kweli ila haya mambo yapo mengi sana ndani ya jamii yetu ndo maana ndoa za siku hizi zimejaa vurugau tupu.
 
Hii inaitwa mwanakulitafuta,mwanakulipata!,Hata Mimi nisingeamini hakunyanduana! Labda wafia Dini.
 
Mwanaume kuzaa watoto na wanawake tofauti alafu watoto wako unawachukua unakaa nao na kuwahudumia kwa kila kitu bila shida. Kuna ubayaa kufanya hivi?

Mtoa mada nisamehe nimechepuka kidogo nje ya hoja.
 
Binafsi nimpongeze mume wako anayejiandaa kukupa talaka, hakika ametumia busara kubwa. Kwa wengine, ungebanikwa kama sio kukatwa vipandevipande. Unapata wapi muda wa kuwasiliana na x wako na kupanga hiyo mipango uchwara. Kiufupi, hakuna mwanaume yeyote anayeweza kuvumilia ujinga na upumbavu ulioufanya. HAKIKA MWANAMKE MPUMBAVU UBOMOA NYUMBA YAKE MWENYEWE. Kila la kheri singer mother square mtarajiwa.
 
K
Kulikua na ulazima gani wa kwenda wote kwenye interview? Mbona babaake TU angetosha. Kwahakika wanawake wengine hawastahiri huruma!! Umependa hupendeki. Sasa rejea usingle Maza ndo stahiki Yako. Ila nimejifunza vya kutosha hapa, nitajitahid nisioe single maza
 
ubishi na ujuaji mwingi ni kitu mbaya sana. hakunaga baba wawili kwa mtoto moja.

hayupo mwanamue wa kukubali kufanyika kwa jambo hilo namna hiyo nyakati zilizopita na wala nyakati hizi.

Yaani kijana, alale pazuri, avishwe vizuri, apate matunzo na usalama wa kutosha tangu akiwa mchanga, kisha baba mwingine aje ajitokeze, aelekeze au ndio aje aamue ampeleke kijana shule gani? ni dharau sana hiyo.

kwa usalama wa ndoa yako ilifaa huyo kijana aende au umpeleke na atokomea huko kwa babake na asomeshwe huko huko.

there is no way uje useme eti humkufanya jambo lolote na mzazi mwenzio mlipokua mkimpeleka huko shule. Yes inawezekana hamkufanya jambo lolote , but Lazima mtakua mmezungumzia jambo hilo.

Na kwa nature ya binadamu ilivyo, Lazima ipo siku mtalifanya tu jambo hilo kwa kisingizio cha kumuhudumia mtoto..

hii iwe fundisho,
kwamba hakuna mwamaume anaependelea familia au ndoa yake iingiliwe na mwamaume mwingine kwa namna yoyote ile.

kwa kuhitimisha,
yote hayo umeyataka mwenyewe. Na huyo mwanaume asingeweza kuacha kuchukua hatua hizo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…