- Thread starter
- #21
Kiuhalisia,Kiunabii.. Mwanamke ni Kanisa
Soma Ufunuo 12
Mwanaume ni Ishara ya Mungu duniani.
Shetani angependa kumfuata apotee.
Pia andiko Hilo likodirect.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiuhalisia,Kiunabii.. Mwanamke ni Kanisa
Soma Ufunuo 12
Utakufa haraka na kuzidi kupunguza idadi ya wanaume duniani.Kwa kweli nitakua nazagamua Kila siku Kila saaa aaah aaah aaaaah saba,SHABASHIIII
Mimi ndio naanza kuchagua sasa hivi was kwangu saba;-Kwani wanaume wenyewe mnasemaje 🤔???
cc Smart911
Ninyi hao hao mnaovaa suruali kuashiria kuadimika Kwa wanaume duniani.Una uhakika? Wanawake wepi hao unawazungumzia? Kina sisisisi? We kaka wewe😳
Ratio ya 1:7 Si mchezo.Mimi ndio naanza kuchagua sasa hivi was kwangu saba;-
1.Mahondaw 2.To yeye 3.joanah 4.Donatila 5.Miss natafuta 6.Beesmom 7.Blessmom!
Just kidding!
Nilikuwa sijapata cha ku comment hadi nimekuona To yeye.Una uhakika? Wanawake wepi hao unawazungumzia? Kina sisisisi? We kaka wewe😳
Low supply, high demand.Nilikuwa sijapata cha ku comment hadi nimekuona To yeye.
Kila siku humu wanaume wanalalamika kupingwa mizinga na wanawake, sasa hao saba wasiopiga mizinga watatoka dunia gani?
Adam Babu yetu, mtu wa kwanza, alikuwa na wake wangapi?Daudi mcha Mungu na babu yake Yesu alikuwa na wake wangapi???
Alikuwa na wake wawili Ever na Lilith. Pia ADAMU siyo mtu pekee wa kwanza. Aliwakilisha wenzake ktk simulizi ya uumbaji. Waliumbwa binadamu wengi TU Kwa wakati moja. Ndo maana Kaini alipokimbia Toka nyumbani kule alikoenda alijitwalia Mke.Adam Babu yetu, mtu wa kwanza, alikuwa na wake wangapi?
Usizidiwe Maarifa na njiwa./ Dove.
Utakua mke wa sabaUna uhakika? Wanawake wepi hao unawazungumzia? Kina sisisisi? We kaka wewe😳
Ni chanzo Cha ufisadi.Acha uongo,ukweli ni kwamba KUOA WAKE WENGI NI CHANZO CHA MAARIFA.
Kaingia chaka kabisa leo Mtumishi wa Mungu.Kiunabii.. Mwanamke ni Kanisa
Soma Ufunuo 12
Si Rahisi Rabbon kuingia chaka.Kaingia chaka kabisa leo Mtumishi wa Mungu.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
FGBF kazini! Hongera Mkuu,mwenye masikio na asikie! Labda niulize! Sasa kama wanawake watatawala itakuwaje wanawake 7 kugombea Mwanaume 1?Salaam, Shalom!!!
(Isaya 4:1)
NA SIKU HIYO, WANAWAKE SABA WATAMSHIKA MTU MUME MMOJA WAKISEMA, TUTAKULA CHAKULA CHETU, NA KUVAA NGUO ZETU WENYEWE, LAKINI TUITWE TU KWA JINA LAKO, UTUONDOLEE AIBU YETU.
Maneno ya unabii huo yanakwenda kutimia, inakwenda kutungwa SHERIA kabisa kuruhusu wanawake wengi Kuolewa na mwanamume mmoja.
Tangu 2021, Dunia iliingia msimu mpya, yapo mengi sana yanakwenda kubadilika, hivyo kuleta mgawanyiko wa watu katika makundi mawili makubwa,
Kundi moja, litakuwa wanaomcha Mungu, na kundi la pili, kundi la waovu.
KWANINI WAKE SABA MUME MMOJA?
1. Idadi ya wanaume waoaji imepungua na ITAENDELEA kupungua sana. Maisha magumu na misongo ya mawazo inakwenda kupunguza sana wanaume na uzao wa watoto wa kiume.
2. Mifumo ya kidunia inazidi kuwainua wanawake na kiwashusha chini wanaume Ili kuipindua juu chini Dunia iende kinyume na mapenzi ya Mungu. Mungu aliagiza mume mmoja aoe mke mmoja. Mwanaume awe KICHWA, kiongozi, nw MAPINDUZI yameendekea kukua na kumwachia Mwanaume akitaabika.
3. USHOGA, usagaji na vitendo vya kubadili JINSIA,ni mambo ambayo ya akwenda kupunguza sana idadi ya wanaume duniani.
4. Magonjwa, vita na vifo vitapunguza sana idadi ya wanaume duniani na kuwafanya wawe bidhaa adimu.
5. Nchi nyingi walitunga sera za kupanga uzazi ambazo zimeondoa nguvu KAZI Kwa kiasi kikubwa, na tunakoelekea, Africa itastawi sana kiuchumi sababu ya kutofuata sera hizo.
Yote hayo hapo juu, yanakwenda kutimiza unabii huo.
Wanaume, watakosa nguvu ya kiuchumi na kutawaliwa na wanawake, Nchi zilizoendelea, Hadi tunavyoongea Mwanaume tayari ni mtumwa wa mwanamke.
LINI UNABII HUO UTATIMIA?
Kwa kuanza, mwaka huu 2024- 2030, zitatungwa SHERIA za kuruhusu wanawake kuruhusiwa Kuolewa na mwanamume mmoja, na itakuwa SHERIA kabisa.
HITIMISHO.
Imeandikwa, mwovu na azidi kuwa mwovu, na mtakatifu na azidi kujitakasa. Tunaelekea katika nyakati ngumu na za taabu sana ULIMWENGUNI.
Uyaonapo haya Kutokea, jua kuwa Yesu Yu karibu kurudi. Chagua kuwa moto au baridi.
Ikiwa hujaokoka, fuatisha Sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Asili,FGBF kazini! Hongera Mkuu,mwenye masikio na asikie! Labda niulize! Sasa kama wanawake watatawala itakuwaje wanawake 7 kugombea Mwanaume 1?
Umeathirika vibayaSi Rahisi Rabbon kuingia chaka.
Tusomapo BIBLIA Kila andiko ulisomalo Lina tafsiri Saba.
WANADAMU tumepewa kupambanua Hadi nne tu, tafsiri tatu zilizobaki ni za Mungu mwenyewe.
(UFUNUO 12:6)na (Isaya 4:1) Zina tafsiri tofauti kabisa.