Mume mmoja, wake Saba, umejiandaaje na ujio wa SHERIA hiyo ijayo duniani?

Rudia kusoma tena na tena.

Soma Hadi mwisho, neno Kwa neno kifungu Kwa kifungu, Aya Kwa Aya.

Pia matumizi ya lugha chafu ni kipimo Cha mtu mwoga asiye makini.

Karibu.
Mtu mpumbavu astahili sifa zake na sio matusi
 
Tunapoelekea kizazi cha wazungu kitapungua sana,,kutokana na asilimia kubwa ya wazungu kujarib ushoga, hii imepelekea asilimia kubwa hawana nguvu za kiume mpk wabustiwe,kujibadili jinsia, kuchelewa kuoa mpaka awe na mali, wengine kukataa kuoa kuhofia kufilisiwa pind ndoa ikivunjika,, wanawake zao wengi siku hizi hawataki kuzaa,na wakizaa ni mtoto 1/2 tu,, etc nimeona tweeter/x huko wakilalamika walikua wanaweka takwim zaman na sasa idadi ya wazungu na watu wengine Ulaya hasa Uingereza na ujeruman,,, wahamiaji wanazaa watoto wengi,waarab,wahindi ndio usisemee na weusi,,, kuna mmoja akaweka picha ya muarab aliyehifadhiwa na wanandoa ujeruman ,,comment nying ni mbaya kwamba mumewe anaonekana ni Cuckold* inasikitisha sana,,, ndio mana wanapush agenda yao Africa , Magonjwa ili tupungue maana wanajua baada ya miaka ijayo tutakua wengi !
 
Hali ni mbaya huko mbeleni.

Afrika tusijilaumu Kwa kuchelewa kimaendeleo,

Mungu ataitumia Africa Kwa utukufu wake.

Amen
 
HAKIKA UMENENA VYEMA NA IWE KAMA ULIVYOSEMA.
Simama kama Mwanaume ndugu yangu.

Tulipewa kuongoza njia na kutawala,

Kutotimiza WAJIBU wetu, JAMII nzima itatumbukia shimoni.
 
Wake wengi aliooa Suleiman ndo sababu ya kumwondoa katika kumcha Mungu na kugeukia miungu.

Wanawake ndo walisababisha Suleiman pamoja na HEKIMA yote Alipewa, yupo kuzimu Hadi sasa tunavyoongea.
Kwa hiyo alilaaniwa?huko kuzimu si ndo kufa?kwani alitakiwa aishi milele?
 
Roho haifi, Roho ndiye mtu halisi, mwili ni vazi la Roho.

Walio kuzimu wamekufa Kwa maana ya kuhukumiwa, wako gerezani kusubiri HUKUMU.

HUKUMU ya Roho na NAFSI ni mateso ya milele.

Mtu asikudanganye, mwili unapojitenga na Roho, mtu halisi anaendelea kuwepo, ni kama tu Ukiwa usingizini, unaweza kwenda kokote upatakapo while mwili umelala.

Mtu ni Roho, ndomana Ibada lazima.

Amen
 
Back
Top Bottom