Mume mmoja, wake Saba, umejiandaaje na ujio wa SHERIA hiyo ijayo duniani?

Adam Babu yetu, mtu wa kwanza, alikuwa na wake wangapi?

Usizidiwe Maarifa na njiwa./ Dove.
Alikuwa na wake wawili Ever na Lilith. Pia ADAMU siyo mtu pekee wa kwanza. Aliwakilisha wenzake ktk simulizi ya uumbaji. Waliumbwa binadamu wengi TU Kwa wakati moja. Ndo maana Kaini alipokimbia Toka nyumbani kule alikoenda alijitwalia Mke.
 
Kaingia chaka kabisa leo Mtumishi wa Mungu.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Si Rahisi Rabbon kuingia chaka.

Tusomapo BIBLIA Kila andiko ulisomalo Lina tafsiri Saba.

WANADAMU tumepewa kupambanua Hadi nne tu, tafsiri tatu zilizobaki ni za Mungu mwenyewe.

(UFUNUO 12:6)na (Isaya 4:1) Zina tafsiri tofauti kabisa.
 
FGBF kazini! Hongera Mkuu,mwenye masikio na asikie! Labda niulize! Sasa kama wanawake watatawala itakuwaje wanawake 7 kugombea Mwanaume 1?
 
FGBF kazini! Hongera Mkuu,mwenye masikio na asikie! Labda niulize! Sasa kama wanawake watatawala itakuwaje wanawake 7 kugombea Mwanaume 1?
Asili,

Mwanamke aliumbwa kukamilisha na Mwanaume.

Nenda kaangalie ofisi yenye wanawake 7 Mwanaume awe mmoja, hata kama ni mfagiaji uone alivyo na thamani.
 
Si Rahisi Rabbon kuingia chaka.

Tusomapo BIBLIA Kila andiko ulisomalo Lina tafsiri Saba.

WANADAMU tumepewa kupambanua Hadi nne tu, tafsiri tatu zilizobaki ni za Mungu mwenyewe.

(UFUNUO 12:6)na (Isaya 4:1) Zina tafsiri tofauti kabisa.
Umeathirika vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…