Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Mtu mpumbavu astahili sifa zake na sio matusiRudia kusoma tena na tena.
Soma Hadi mwisho, neno Kwa neno kifungu Kwa kifungu, Aya Kwa Aya.
Pia matumizi ya lugha chafu ni kipimo Cha mtu mwoga asiye makini.
Karibu.
Sawa, nakushauri tumia uhuru wako vizuri, usijejutia baadae.Mtu mpumbavu astahili sifa zake na sio matusi
Hali ni mbaya huko mbeleni.Tunapoelekea kizazi cha wazungu kitapungua sana,,kutokana na asilimia kubwa ya wazungu kujarib ushoga, hii imepelekea asilimia kubwa hawana nguvu za kiume mpk wabustiwe,kujibadili jinsia, kuchelewa kuoa mpaka awe na mali, wengine kukataa kuoa kuhofia kufilisiwa pind ndoa ikivunjika,, wanawake zao wengi siku hizi hawataki kuzaa,na wakizaa ni mtoto 1/2 tu,, etc nimeona tweeter/x huko wakilalamika walikua wanaweka takwim zaman na sasa idadi ya wazungu na watu wengine Ulaya hasa Uingereza na ujeruman,,, wahamiaji wanazaa watoto wengi,waarab,wahindi ndio usisemee na weusi,,, kuna mmoja akaweka picha ya muarab aliyehifadhiwa na wanandoa ujeruman ,,comment nying ni mbaya kwamba mumewe anaonekana ni Cuckold* inasikitisha sana,,, ndio mana wanapush agenda yao Africa , Magonjwa ili tupungue maana wanajua baada ya miaka ijayo tutakua wengi !
Inakuja hiyo Dunia yote baada ya wanaume kupungua sana.Nimesikia huko eritrea ni sheria lazima uwe na mke zaidi ya mmoja, sina uhakaika na hilo.
Simama kama Mwanaume ndugu yangu.HAKIKA UMENENA VYEMA NA IWE KAMA ULIVYOSEMA.
Sheria ikija jamaa anaongeza wengine 6Nina mume mmoja mkuu Mwenye mke mmoja ambaye ni mimi
Kwa hiyo alilaaniwa?huko kuzimu si ndo kufa?kwani alitakiwa aishi milele?Wake wengi aliooa Suleiman ndo sababu ya kumwondoa katika kumcha Mungu na kugeukia miungu.
Wanawake ndo walisababisha Suleiman pamoja na HEKIMA yote Alipewa, yupo kuzimu Hadi sasa tunavyoongea.
Roho haifi, Roho ndiye mtu halisi, mwili ni vazi la Roho.Kwa hiyo alilaaniwa?huko kuzimu si ndo kufa?kwani alitakiwa aishi milele?