Mume na Baba wa familia anahitajika

The sun is setting, now you are back to your senses. Where are those you used to make fun of when you were in your early and middle 20s??

Uliwakataa kwa sababu hawana swagger za born towns na wanavaa suruali za vitambaa na mashati ya vitenge kama waimba kwaya.

Umeanza kuwa "mshangazi" sasa unasumbua watu.

I wish you all the best though.
 
Baby unakibunda?

Mie kazi yangu mchoma mishikaki kawe kwa mwamposa

We ukitoka kazini nakuchemshia mishikaki u
nakula bure badae unikabidhi nikuendeshe

Upo mtam sana baby πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Njoo inbox
 
Miaka yote hiyo 33 mwanmke ulikua wapi kuolewa na kuzaa,...Umekula usichana wako wote sasa unataka ukamsumbue kijana wa watu mwisho uje umuite mgumba wakati ushapiga deki mara kibao.
 
Mmmh,,
 
Wakora jichanganyeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…