Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

Mimi mke wangu amenizalia watoto, hiyo tu kwangu inatosha.
I don’t expect too much more from her for sure
Jukumu langu ni kumtimizia, yeye na wanae::
Mwanamke ukimtimizia na kumpa uhuru kamwe hukusumbui,

Mimi wife akizungumza wakati wote huwa namsikiliza aongee hadi amaliza halafu namwambia good. Naenda kunywa bia.

As a man Mwanamke usimpende kwa moyo wako wote, mpende kwa akili yako yote.
Msipende kukaa sana na wake zenu muda wote mnakuwa nao, mnaanza kujifunza umbea na mambo ya kike,
Mnaanza kujibizana kwa vitu vya kijinga.
Mwanaume tafuta mambo ya kukuweka busy.
Retain your freedom and peace of mind.
Mkuu umemaliza kila kitu
 
Kama Mungu alikataza wasile tunda ndio kwanza akaenda kumtia ushawishi Adam walile unategemea kuna mtu atamsiklza zaid ya hapo?
Ndio hapo sasa
 
Mimi mke wangu amenizalia watoto, hiyo tu kwangu inatosha.
I don’t expect too much more from her for sure
Jukumu langu ni kumtimizia, yeye na wanae::
Mwanamke ukimtimizia na kumpa uhuru kamwe hukusumbui,

Mimi wife akizungumza wakati wote huwa namsikiliza aongee hadi amaliza halafu namwambia good. Naenda kunywa bia.

As a man Mwanamke usimpende kwa moyo wako wote, mpende kwa akili yako yote.
Msipende kukaa sana na wake zenu muda wote mnakuwa nao, mnaanza kujifunza umbea na mambo ya kike,
Mnaanza kujibizana kwa vitu vya kijinga.
Mwanaume tafuta mambo ya kukuweka busy.
Retain your freedom and peace of mind.
Siku akikwambia usitoke utafanya nini?
 
Siku akikwambia usitoke utafanya nini?

Hawezi kunizuia kufanya ninachotaka, sababu wajibu wangu natimiza.. na hata mimi simzuii kufanya anachotaka, muhimu tunajua mipaka.

Sometimes ndoa ni association yenye common interests (watoto), na kuna muda utafika Wewe na mkeo mtakuwa mnaishi tu kama roommates.. maisha yanaenda, watoto wanasoma na wanafikia ndoto zao, nothing else.
Mimi sikuzaliwa kuwa mtumwa wa mwanamke tuliekutana utu uzimani. Naye pia sio mtumwa wangu maana wazazi wake wamemlea wakamsomesha kwa gharama hadi akakutana nami.
 
Mimi mke wangu amenizalia watoto, hiyo tu kwangu inatosha.
I don’t expect too much more from her for sure
Jukumu langu ni kumtimizia, yeye na wanae::
Mwanamke ukimtimizia na kumpa uhuru kamwe hukusumbui,

Mimi wife akizungumza wakati wote huwa namsikiliza aongee hadi amaliza halafu namwambia good. Naenda kunywa bia.

As a man Mwanamke usimpende kwa moyo wako wote, mpende kwa akili yako yote.
Msipende kukaa sana na wake zenu muda wote mnakuwa nao, mnaanza kujifunza umbea na mambo ya kike,
Mnaanza kujibizana kwa vitu vya kijinga.
Mwanaume tafuta mambo ya kukuweka busy.
Retain your freedom and peace of mind.
Big brain [emoji109][emoji115]
 
Umenena sana lakini kuna watu kama wamefungwa,mke hata uwe na connection yeyote, pamoja na kutimiza yote bado anapenda ukiwa mbali uwe naye, hawaamini wale unaokuwa nao(hata kama ni ndugu) anapenda uwe nae tu kila wakati,mtu wa aina hiyo una shuhulika nae vp?
 
Nguvu ya mwanamke ipo mdomoni. Hivyo kwenye maisha ya Ndoa ni lazima kunasiku itatokea hali ya kupigizana kelele.

Ila mimi nawapenda sana wale wanawake ambao ukiwasema tu wao wanaishia kulia, maana unajikuta huwezi kumfanya chochote.
Ila kimbembe uoe wale wanawake ambao ukimwaga ugali yeye anamwaga mboga. ukimkaripia na yeye anakukaripia, ukitaka kumpiga nae anakufokea kuwa nipige uone. Huyu wa hivi ni rahisi sana kumtembezea vitasa

Tuishi nao kwa akili tu, visirani vyao vinafanana sana.
Mm Babe mama wangu niexactly ulichokiandika hapa mkuu,yaani tena ugomvi unakua sio wa kwenu Tu Hadi najirani nandugu watashirikishwa and worse enough anakutoa Akili/maana yakua mwanaume gani ww unagubu,ukimpiga nayy anakupia,kiasi kwamba unaamua kwenda kulia nje Tu Kwa balaa ulilonalo,kiufupi mkorofi ,mtaka Fujo,nahajui kama anamatatizo,sikuhyo ya tatizo anaweza asipike,asifanye chochote kwalengo lakukukomoa,yaani,daahh,
 
Mwingine hataki kurudi sababu ya aibu,huyo utamfanyaje? Hataki kurudi kwao na bado anataka kuwa juu yako,ukimpa mwongozo anaona unamwonea ndio mana anapayuka
Yaaani,boss uko sahihi Sana nadhani kingine kinacholeta hii Hali nimalezi mabovu yakupendwa Sana kwao nakusikilizwa Sana kila anachokitaka bilakupewa any restrictions zamambo flani flani,hivyo,anahisi hata huku Kwa mmewe atakutana nauhuru wamanyani,kumbe kuishi namme au mwanaume Tu inasignifies kuondoa Uhuru wake
 
wanaume wa kizazi hiki.mna manung'uniko!!!!!!
Wanaume za kizazi kilichopita ndio hao waliokua wanakufa na kuacha familia pekee yao.

Wanakufa sababu ya stress na kukosa pakuongelea.

Bora wakizazi hiki wanaongea ili kutibu mioyo.

Zamani ilikua ni kawaida mwanamke kukuuliza "unauza nyumba ukifa Mimi na watoto tutaishi wapi?"

Usiongea unatengeneza bomu ndani ya mwili, siku likilipuka ni KIFOOO.

#YNWA
 
Hawezi kunizuia kufanya ninachotaka, sababu wajibu wangu natimiza.. na hata mimi simzuii kufanya anachotaka, muhimu tunajua mipaka.

Sometimes ndoa ni association yenye common interests (watoto), na kuna muda utafika Wewe na mkeo mtakuwa mnaishi tu kama roommates.. maisha yanaenda, watoto wanasoma na wanafikia ndoto zao, nothing else.
Mimi sikuzaliwa kuwa mtumwa wa mwanamke tuliekutana utu uzimani. Naye pia sio mtumwa wangu maana wazazi wake wamemlea wakamsomesha kwa gharama hadi akakutana nami.
Boss unamadini Sana,kunamzee mmoja wamakamo niliwahi msikia akitoa ushuhuda kama huu,yakua ndoa hufikia kipindi inakua kama chama Tu,kila MTU anachagua vitu yakumpa Uhuru na furaha,Ila kunakua nasababu au mambo yanayowafanya muendele kuishi pamoja kama watoto,namapenzi Yao ambayo nimajukumu yenu wote bila kutegea
 
Mm Babe mama wangu niexactly ulichokiandika hapa mkuu,yaani tena ugomvi unakua sio wa kwenu Tu Hadi najirani nandugu watashirikishwa and worse enough anakutoa Akili/maana yakua mwanaume gani ww unagubu,ukimpiga nayy anakupia,kiasi kwamba unaamua kwenda kulia nje Tu Kwa balaa ulilonalo,kiufupi mkorofi ,mtaka Fujo,nahajui kama anamatatizo,sikuhyo ya tatizo anaweza asipike,asifanye chochote kwalengo lakukukomoa,yaani,daahh,
Afu mwambie nenda kwenu uone kilio chake, anahisi unamuonea kumbe unamwelekeza tu
 
Yaani,Mda wote anajitetea Kua namuonea halafu anakua anatumia kigezo cha mtoto kuonekana mm mkorofi nakwamba nnamfumo dume eti kisa natokea kanda yaziwa,kumbe mm nakueleza Tu tena Kwa Nia njema
 
Yaaani,boss uko sahihi Sana nadhani kingine kinacholeta hii Hali nimalezi mabovu yakupendwa Sana kwao nakusikilizwa Sana kila anachokitaka bilakupewa any restrictions zamambo flani flani,hivyo,anahisi hata huku Kwa mmewe atakutana nauhuru wamanyani,kumbe kuishi namme au mwanaume Tu inasignifies kuondoa Uhuru wake
Kabisa mkuu,umegusia kitu muhimu sana,kupewa uhuru ulippitiliza kwao na anataka aje nao kwa mume,utamwelewa kweli?
 
Yaani,Mda wote anajitetea Kua namuonea halafu anakua anatumia kigezo cha mtoto kuonekana mm mkorofi nakwamba nnamfumo dume eti kisa natokea kanda yaziwa,kumbe mm nakueleza Tu tena Kwa Nia njema
Basi tunafanana kabisa
 
Mimi mke wangu amenizalia watoto, hiyo tu kwangu inatosha.
I don’t expect too much more from her for sure
Jukumu langu ni kumtimizia, yeye na wanae::
Mwanamke ukimtimizia na kumpa uhuru kamwe hukusumbui,

Mimi wife akizungumza wakati wote huwa namsikiliza aongee hadi amaliza halafu namwambia good. Naenda kunywa bia.

As a man Mwanamke usimpende kwa moyo wako wote, mpende kwa akili yako yote.
Msipende kukaa sana na wake zenu muda wote mnakuwa nao, mnaanza kujifunza umbea na mambo ya kike,
Mnaanza kujibizana kwa vitu vya kijinga.
Mwanaume tafuta mambo ya kukuweka busy.
Retain your freedom and peace of mind.

Well said mkuu....thumb up
 
Back
Top Bottom