Badiguy
Senior Member
- Nov 9, 2021
- 188
- 560
Mkuu umemaliza kila kituMimi mke wangu amenizalia watoto, hiyo tu kwangu inatosha.
I don’t expect too much more from her for sure
Jukumu langu ni kumtimizia, yeye na wanae::
Mwanamke ukimtimizia na kumpa uhuru kamwe hukusumbui,
Mimi wife akizungumza wakati wote huwa namsikiliza aongee hadi amaliza halafu namwambia good. Naenda kunywa bia.
As a man Mwanamke usimpende kwa moyo wako wote, mpende kwa akili yako yote.
Msipende kukaa sana na wake zenu muda wote mnakuwa nao, mnaanza kujifunza umbea na mambo ya kike,
Mnaanza kujibizana kwa vitu vya kijinga.
Mwanaume tafuta mambo ya kukuweka busy.
Retain your freedom and peace of mind.