Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

Helloww

Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
Wew wakati anaoa yeye ulimshauri wew mkuu fanya maamuz mwenyew ili baadae usije ukamuona mchawi wa ndoa yako
 
Kuoa mpaka ushauriwe mkuu..tena na shemeji kweli mkuu????
 
Back
Top Bottom