Mume wa Maria Sarungi amtupia lawama moja kwa moja Rais Samia na vyombo vyake vya usalama

Chato gang ukisikia Samia kalalamikiwa unafurahiiiii mwenyewe
 
Mume wa Maria ni poyoyo fulani la Ki-Ethiopia, kwanza ni legelege maana hwana hata mtoto wa kusingiziwa
 
Kwa vyovyote kukaa nchi jirani na kuibagaza nchi yako kila uchao ni UBWEGE.
 
Kila mtu anaweza kuongea anachofikiri. Kwa mfano, mimi naweza kuamini
mosi, katekwa na miongoni mwa watu wa magenge yao ya siasa yaliyofitinika nchini. Maana siku zote wanajuana nyendo zao nje sasa wanashughulikiana.
Pili, kama harakati zake kazihamishia Kenya na kutaka kuivuruga nchi hiyo wenye nchi watamwachaje 'kumla kidogo?'

Lakini hoja zangu zote zinaweza zikawa ni porojo tu sina evidence kama huyu mume bwege ana ushahidi gani wa kumhusisha Mhe. Rais na vyombo vya usalama nchini? Upuuzi mtupu. 🙏🙏🙏
 
Wapambe wake [Ruto] nao wameanza habari za yeye kutawala zaidi ya miaka 10!

Siasa za Afrika ni za kipumbavu sana.
Tatizo la Africa ni kupenda drama

I can wake up today na Lumza kusema samia 20 tena

Kesho ukakuta nusu clubhouse wanatoa povu na 20 years za samia
 
Akae huko huko na msomali wake.
Hatutaki ujinga, Tanzania ni nchi ya amani na kamwe haitovugwa na kunguni yeyote yule.

Yah right. Watanzania wamezoea kupewa Ptopaganda na Uongo uongo. Hivyo ndivyo tunavyoviamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…