Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Kuna jambo muhimu nikwambie, hapa macho mengi. Hawajui hizi mambo. BTW, unatumia vigezo gani kujua mwanaume aliyekutokea ni mume wa mtu? Au ndio mpaka mshamalizana kila kitu ndio unajua.. Maana sio wote wanapenda kutanguliza status za ndoa mbele kabla ya utamu.
Huwa wanajua na hawawezi kukataa, na hiyo ni kwa wanawake wote........wanajua kabisa hao jamaa wanaowatokea wana wake au mademu wengine, ila wanajali interest zao tu.
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
hakuna mume wa mtuy, sisi ni wa wote
kama umeachwa ni tabia yako imesababisha uachike, usimlaum aliyekuacha.
umbo la nje lilimvutia akakuelewa, mlivoanza mchakato, akagundua madhaifu katika tabia zako akakupiga chini
hata ukichukuliwa na hao papatu papatu watakuacha pia
angalia tabia zako toward men , ikiwezekana muulize aliyekuacha akupe sababu
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Tafuta wa kwako umfanye awe bora, unataka vya wenzio ambavyo wametolea jasho
 
hakuna mume wa mtuy, sisi ni wa wote
kama umeachwa ni tabia yako imesababisha uachike, usimlaum aliyekuacha.
umbo la nje lilimvutia akakuelewa, mlivoanza mchakato, akagundua madhaifu katika tabia zako akakupiga chini
hata ukichukuliwa na hao papatu papatu watakuacha pia
angalia tabia zako toward men , ikiwezekana muulize aliyekuacha akupe sababu
Kuna uwezekano kapigwa chini na huyo anayedai mume wa mtu anataka ku-generalize, maana kama ni kupigwa chini hata wasio na wake watakupiga chini ukizingua.
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Duh nimecheka,eti papatu papatu.....
 
Mke ndo anakuwa wa mtu, mwanaume hana limit ya idadi ya wanawake........chukulia mfano wa mfalme suleiman aliyekuwa na wanawake na michepuko 700, tuambie mwenye mme alikuwa ni nani hasa....
🤔MmM
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
papatu papatu wakiwapapatua kisha wakawatelekeza mnaanza kupapatika na kulialia kisha mnawarudia waume za watu
 
Kwa Niaba ya sisi waume za watu tunaochepuka.

Sisi ni kweli hatuwezi Kuoa Wanawake wa pembeni.

Ila tunaweza kuzaa nao, tukawahudumia, tukasomesha watoto Wetu .

Lkn kubwa zaidi, sisi tunakuaga Washikaji, marafiki wazuri katika shida na rahaa
Sema 'mimi' sio 'sisi'
Wengi tu wanazaa nao na wanawaoa, Nina mufano kibao
 
Hivi huwa tuna baka?
Mnajilengesha tunamalizia bola hiyana
Ewaa kumbe unalijua hilo, basi msilaumu sasa, na wala msifikiri kwamba mtaumbiwa wanawake wengine ni hao hao ndio wapo
 
Back
Top Bottom