hivi hii thread imenipiga chenga saa ngapi tena? ngoja na mimi niweke kigoda hapa niwajuwe vizuri hawa wanaojiita watumishi wa mungu na sisi kutupachika jina la watu wa mataifa.
Flora ni mke wangu, mke wa ujana wangu, ninampenda asilimia 100 na yeye analifahamu hilo, lakini sijui ni kitu gani kimemkuta? Sijui ni nini kimeingilia ndoa yetu?
Kauli nzito sana hii.
tayari kainzi kangu kameshapiga doria na audio clip nimeshahifadhi kwenye device yangu.Fanya uanzie kule celebrity forum ukutane na nondo za member mmoja anaitwa thebold, utaelewa vzr hii saga a-z,, kwa sasa hii ndo habari ya mujini!!!
==>>☆☆☆☆☆★★★★★★★★★★★★>>>>>>
>>>Mchungaji GAMANYWA NDIO ANAMTOM..B____@
FLORA SANA TU...ndio Flora anapata pesa ndio NDOA INAHARIBIKA...hadi nje kusoma kampeleka....na Gamanywa akawa anaenda KUMTO..MB...a huko nje..
>>>>> Mjue huo ndio ukweli.....maku ya Flora ni pachupachu sasa hivi....!!!!
simtetei mbasha, bali najiuliza maswali mengi hapa:Ushahidi wa mazingira hujauona hapo?
Mungu alishasema kwamba watakatifu walioko dunian ndio ninao pendezwa nao...................
so watakatif wapo ishu ni yupi ndie.........
Kaziii ipo
Jina limehifadhiwa. Well, lets do Sherlock Holmes here: mume na mke ni waimba injili+wanakaa tabata kimanga+wana uhusiano na mchungaji gwajima=Huyu ni F.M,yule ambaye mdogo wake alicheza video ya chachandu na M .Ngasa(video ilipata wekwa humu jf). Sasa sijui mdogo wake huyu ni yule au huyu ni mwingine!
Alisema mara ya kwanza alikaa kimya baada ya mtuhumiwa kumtishia kwamba angemdhuru kama angetoa taarifa ya tukio hilo alilofanyiwa wakiwa sebuleni nyumbani kwako Tabata Kimanga, lakini aliamua kutoa taarifa kwa ndugu zake baada ya kubakwa mara ya pili
Acha kufanya CHARACTER ASSASINATION based on here say! Hata ukiulizwa source ya hayo majungu i bet huijui!
MY CLIENT (JF WISE) IS INNOCENT TILL PROVEN GUILTY!
Hahahaaaaa! Mtumishi wa bwana wee mneneee vibaya tu!Sinaga kawaida ya kujidai namjua mtu na hali simjui, nikisema ujue nina uhakika, sina sababu za kum-assassinate. Tena hii ilikuwa kitaaambo kwenye 2008. Yule ni 'weka mbali na mmeo'.
Na ni from a very reliable source, very very reliable, I mean very very very ambaye kidogo awe victim baada ya kuanza kwenda kwake.
Hahahaaaaa! Mtumishi wa bwana wee mneneee vibaya tu!
Kijana wa Media au wa Security?Hapana ni kijana tu
Mkuu hiyo sentensi ya mwisho ina uzito wa kutosha..simtetei mbasha, bali najiuliza maswali mengi hapa:
1. je, kweli flora alihamia gesti? sababu ilikuwa nin maana kama ni kutokuelewana ndani ya nyumba kwa mke na mum ni kitu hca kawaida
2. ugomv wao ulihusu nn, na kwa nini ulikaa muda mrefu bila kwisha?
3. kwa nniflora anatuhumiwa kuwa na uhusiano na mtu mwngine, je kuna ukweli?
4 kw nn tabia ya ubakaji ya mbasha ugundulike baada ya wanandoa hawa kuacha kuamniana?
5.je, haiwezekani kuwa kuna moja kat iyao amemchoka mwenzake wanatafutiana sababu ya kutengana
my take:
hakuna chuki mbaya kama ya wapenzi msipokuwa waangalifu wakati wa kutengana
wa
Kijana wa Media au wa Security?
Kwa hiyo ishu nzima unaielewa vizuri? Anyway hongereni kwa mipango yenu lakini naona kama huu umeangukia pua vile...Secret service
Mkuu huyo Gamanywa katoka wapi tena, mbona anayeongelewa hapa ni Gwajima?==>>☆☆☆☆☆★★★★★★★★★★★★>>>>>>
>>>Mchungaji GAMANYWA NDIO ANAMTOM..B____@
FLORA SANA TU...ndio Flora anapata pesa ndio NDOA INAHARIBIKA...hadi nje kusoma kampeleka....na Gamanywa akawa anaenda KUMTO..MB...a huko nje..
>>>>> Mjue huo ndio ukweli.....maku ya Flora ni pachupachu sasa hivi....!!!!