Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

hivi hii thread imenipiga chenga saa ngapi tena? ngoja na mimi niweke kigoda hapa niwajuwe vizuri hawa wanaojiita watumishi wa mungu na sisi kutupachika jina la watu wa mataifa.

Fanya uanzie kule celebrity forum ukutane na nondo za member mmoja anaitwa thebold, utaelewa vzr hii saga a-z,, kwa sasa hii ndo habari ya mujini!!!
 
“Flora ni mke wangu, mke wa ujana wangu, ninampenda asilimia 100 na yeye analifahamu hilo, lakini sijui ni kitu gani kimemkuta? Sijui ni nini kimeingilia ndoa yetu?”

Kauli nzito sana hii.

==>>☆☆☆☆☆★★★★★★★★★★★★>>>>>>

>>>Mchungaji GWAJIMA...NDIO ANAMTOM..B____@
FLORA SANA TU...ndio Flora anapata pesa ndio NDOA INAHARIBIKA...hadi nje kusoma kampeleka....na Gwajima akawa anaenda KUMTO..MB...a huko nje..

>>>>> Mjue huo ndio ukweli.....maku ya Flora ni pachupachu sasa hivi....!!!!
 
Fanya uanzie kule celebrity forum ukutane na nondo za member mmoja anaitwa thebold, utaelewa vzr hii saga a-z,, kwa sasa hii ndo habari ya mujini!!!
tayari kainzi kangu kameshapiga doria na audio clip nimeshahifadhi kwenye device yangu.

yani shigongo mwezi huu wote wa 6 hapati shida ni kucopy tu kutoka jf na kupaste kwenye vijarida vyake vya udaku. ana free lunch mwezi huu, The bold ametisha anashusha nondo kwa speed ya m16.
 
==>>☆☆☆☆☆★★★★★★★★★★★★>>>>>>

>>>Mchungaji GAMANYWA NDIO ANAMTOM..B____@
FLORA SANA TU...ndio Flora anapata pesa ndio NDOA INAHARIBIKA...hadi nje kusoma kampeleka....na Gamanywa akawa anaenda KUMTO..MB...a huko nje..

>>>>> Mjue huo ndio ukweli.....maku ya Flora ni pachupachu sasa hivi....!!!!

Gamanywa ni nani tena wewe?
Gwajima ndio Co-Steringi kwenye hii Picha.
 
Ushahidi wa mazingira hujauona hapo?
simtetei mbasha, bali najiuliza maswali mengi hapa:
1. je, kweli flora alihamia gesti? sababu ilikuwa nin maana kama ni kutokuelewana ndani ya nyumba kwa mke na mum ni kitu hca kawaida
2. ugomv wao ulihusu nn, na kwa nini ulikaa muda mrefu bila kwisha?
3. kwa nniflora anatuhumiwa kuwa na uhusiano na mtu mwngine, je kuna ukweli?
4 kw nn tabia ya ubakaji ya mbasha ugundulike baada ya wanandoa hawa kuacha kuamniana?
5.je, haiwezekani kuwa kuna moja kat iyao amemchoka mwenzake wanatafutiana sababu ya kutengana

my take:
hakuna chuki mbaya kama ya wapenzi msipokuwa waangalifu wakati wa kutengana
wa
 
Mungu alishasema kwamba watakatifu walioko dunian ndio ninao pendezwa nao...................
so watakatif wapo ishu ni yupi ndie.........

Watakatifu wako kuanzia duniani. Taabu ni sisi binadamu kutaka kujiaminisha kuhusu nani mtakatifu na nani sio kwa ama mitazamo yetu binafsi au wanavyojinasibu wao na utamaduni wetu wa kukoshwa na "celebrities". Lakini kikubwa zaidi ni kule kuwachukulia tunaodhani ni watakatifu kama kigezo cha uwezo wetu kuwa watakatifu. Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa katika msafara mzito wa kitaifa uliofika Vatican. Akaja kunishambulia kwa kutokunywa pombe (kwa sababu zangu binafsi) na kunipima na Papa huku akiniambia kuwa ajuavyo duniani hakuna mtakatifu zaidi ya Papa. Lakini kule Vatican walikuwa wakimiminiana naye kinywaji. Ndio maana neno linatuambia tusimame imara na kumtumainia Kristo pekee. Tushirikiane vizuri sana na binadamu wenzetu lakini tuombe hekima kuutambua ukweli na kuepuka mitego.
 
Jina limehifadhiwa. Well, lets do Sherlock Holmes here: mume na mke ni waimba injili+wanakaa tabata kimanga+wana uhusiano na mchungaji gwajima=Huyu ni F.M,yule ambaye mdogo wake alicheza video ya chachandu na M .Ngasa(video ilipata wekwa humu jf). Sasa sijui mdogo wake huyu ni yule au huyu ni mwingine!

aaah sa kama ndo yule wa ngasa mbona ni mkubwa sana sa kabakwa kvp
 
Alisema mara ya kwanza alikaa kimya baada ya mtuhumiwa kumtishia kwamba angemdhuru kama angetoa taarifa ya tukio hilo alilofanyiwa wakiwa sebuleni nyumbani kwako Tabata Kimanga, lakini aliamua kutoa taarifa kwa ndugu zake baada ya kubakwa mara ya pili

Huu uongo mwingine huu !

Mpaka atishiwe unadhani huyo mtoto alikuwa haoni Raha ?
 
Sinaga kawaida ya kujidai namjua mtu na hali simjui, nikisema ujue nina uhakika, sina sababu za kum-assassinate. Tena hii ilikuwa kitaaambo kwenye 2008. Yule ni 'weka mbali na mmeo'.

Na ni from a very reliable source, very very reliable, I mean very very very ambaye kidogo awe victim baada ya kuanza kwenda kwake.

Acha kufanya CHARACTER ASSASINATION based on here say! Hata ukiulizwa source ya hayo majungu i bet huijui!

MY CLIENT (JF WISE) IS INNOCENT TILL PROVEN GUILTY!
 
Sinaga kawaida ya kujidai namjua mtu na hali simjui, nikisema ujue nina uhakika, sina sababu za kum-assassinate. Tena hii ilikuwa kitaaambo kwenye 2008. Yule ni 'weka mbali na mmeo'.

Na ni from a very reliable source, very very reliable, I mean very very very ambaye kidogo awe victim baada ya kuanza kwenda kwake.
Hahahaaaaa! Mtumishi wa bwana wee mneneee vibaya tu!
 
I wish nibadili statement, but ni ukweli. Nikisema sana Fulo atajua namwongelea nani. Unataka nisutwe? Nilivyo zoba kuongea hadharani.

Hahahaaaaa! Mtumishi wa bwana wee mneneee vibaya tu!
 
simtetei mbasha, bali najiuliza maswali mengi hapa:
1. je, kweli flora alihamia gesti? sababu ilikuwa nin maana kama ni kutokuelewana ndani ya nyumba kwa mke na mum ni kitu hca kawaida
2. ugomv wao ulihusu nn, na kwa nini ulikaa muda mrefu bila kwisha?
3. kwa nniflora anatuhumiwa kuwa na uhusiano na mtu mwngine, je kuna ukweli?
4 kw nn tabia ya ubakaji ya mbasha ugundulike baada ya wanandoa hawa kuacha kuamniana?
5.je, haiwezekani kuwa kuna moja kat iyao amemchoka mwenzake wanatafutiana sababu ya kutengana

my take:
hakuna chuki mbaya kama ya wapenzi msipokuwa waangalifu wakati wa kutengana
wa
Mkuu hiyo sentensi ya mwisho ina uzito wa kutosha..
 
==>>☆☆☆☆☆★★★★★★★★★★★★>>>>>>

>>>Mchungaji GAMANYWA NDIO ANAMTOM..B____@
FLORA SANA TU...ndio Flora anapata pesa ndio NDOA INAHARIBIKA...hadi nje kusoma kampeleka....na Gamanywa akawa anaenda KUMTO..MB...a huko nje..

>>>>> Mjue huo ndio ukweli.....maku ya Flora ni pachupachu sasa hivi....!!!!
Mkuu huyo Gamanywa katoka wapi tena, mbona anayeongelewa hapa ni Gwajima?
 
Back
Top Bottom