kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
hivi hii thread imenipiga chenga saa ngapi tena? ngoja na mimi niweke kigoda hapa niwajuwe vizuri hawa wanaojiita watumishi wa mungu na sisi kutupachika jina la watu wa mataifa.
Fanya uanzie kule celebrity forum ukutane na nondo za member mmoja anaitwa thebold, utaelewa vzr hii saga a-z,, kwa sasa hii ndo habari ya mujini!!!