Mume wa rafiki yangu anatarajia kuoa mke wa tatu wiki ijayo, rafiki yangu hana raha na ndoa yake

Mume wa rafiki yangu anatarajia kuoa mke wa tatu wiki ijayo, rafiki yangu hana raha na ndoa yake

Hebu lete ilo andiko linalosema mke ni mmoja tu ktk biblia
Marko 10 :4-12
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴ Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha.
⁵ Yesu akawaambia, Kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwaandikia amri hii.
⁶ Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke.
⁷ Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;
⁸ na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
⁹ Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
¹⁰ Hata nyumbani tena wanafunzi wakamwuliza habari ya neno hilo.
¹¹ Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake;
¹² na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini.

1 Wakorintho 7:1-3
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
² Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
³ Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.

Mwanzo 2:24, Mathayo 19, waefeso 5:31.

Wajuzi zaid watakuja kuelezea zaidi
 
Hapa unaponda ndoa za kiislamu au unamponda mine wa rafiki yako anataka aoe mwanamke mwingine?
Au unataka kujua taratibu za ndoa za kiislamu zipoje,binafsi sijakuelewa,maana umeandika kwa jazba Sana.
Hapana sijaandika kwa jazba nimeuliza nielekezwe
 
Dah...ndoa ya kiislamu iko poa sana...nimesoma taratibu zake...haki na majukumu ya wanandoa...talaka nk...iko poa Sana...hairuhusu wanandoa waishi na misongo wala tabu za maisha...
Inambeba pia mke kwenye suala la mahitaji na kumfanya mume awe muwajibikaji....
Mfano: Mke akilala njaa anaweza kuomba talaka....Mume akifungwa jela zaidi ya miezi 3 hiyo ni talaka tayari.... Akipatwa na wendawazimu talaka tayari...walisahau tu kama network ikikata....Kuna ndoa ya mkataba pia...bado nadhani ndiyo ndoa bora Kati ya zilizosajiliwa Tanzania kwa sasa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unique Flower Hapo tatizo sio uislamu, tatizo ni hao wahuni wanaooa wake bila ya kufuata taratibu vizuri wakaeka mbele matamanio ya nafsi zao.
Kuwaweka wake wawili kwenye nyumba moja sio jambo la busara na Zaidi pale ambapo wao wenyewe hawaridhiki nalo. Ukiamua kuwa na wake Zaidi ya mmoja kila mmoja tafuta pake pakumpangia.

Kuna hekima nyingi ndani ya hili suala la wanaume kuruhusiwa kuwa na wake wengi kwenye uislamu.

Wanawake ni wangi sana zaidi ya mara 3 ya wanaume, Kama kila mwanamme akioa mwanamke mmoja tu wanawake wengi watakosa waume.
Wanawake wanakabiliwa na vipindi ambavyo hushindwa kufanya mapenzi hivyo kumfanya mwanamme ashindwa kutimiza haja za kimatamanio, kwahio kama ni mke mmoja tu kiukweli ni tatizo kubwa linakua.
Mioyo ya wanaume imeumbwa kuwa inaweza kupenda zaidi ya mwanamke mmoja. Na ndio mana hata kwa wasiokua waislamu wengi wana wapenzi wa ziada baada ya wake zao.
 
Matatizo yote ya nini Fanya uamuzi wa kuwa single uinjoyi maisha.walio na furaha ya moyo hapa duniani ni wale wasiokuwa na ndoa,ndoa ni mateso na zaidi ni utumwa kwa pande zote.
 
Unique Flower Hapo tatizo sio uislamu, tatizo ni hao wahuni wanaooa wake bila ya kufuata taratibu vizuri wakaeka mbele matamanio ya nafsi zao.
Kuwaweka wake wawili kwenye nyumba moja sio jambo la busara na Zaidi pale ambapo wao wenyewe hawaridhiki nalo. Ukiamua kuwa na wake Zaidi ya mmoja kila mmoja tafuta pake pakumpangia.

Kuna hekima nyingi ndani ya hili suala la wanaume kuruhusiwa kuwa na wake wengi kwenye uislamu.

Wanawake ni wangi sana zaidi ya mara 3 ya wanaume, Kama kila mwanamme akioa mwanamke mmoja tu wanawake wengi watakosa waume.
Wanawake wanakabiliwa na vipindi ambavyo hushindwa kufanya mapenzi hivyo kumfanya mwanamme ashindwa kutimiza haja za kimatamanio, kwahio kama ni mke mmoja tu kiukweli ni tatizo kubwa linakua.
Mioyo ya wanaume imeumbwa kuwa inaweza kupenda zaidi ya mwanamke mmoja. Na ndio mana hata kwa wasiokua waislamu wengi wana wapenzi wa ziada baada ya wake zao.
Kuna Jamaa namfahamu sio Muslim ila ameo wanawake 3 na anaishi nao nyumba moja yenye vyumba 4.
 
Dah...ndoa ya kiislamu iko poa sana...nimesoma taratibu zake...haki na majukumu ya wanandoa...talaka nk...iko poa Sana...hairuhusu wanandoa waishi na misongo wala tabu za maisha...
Inambeba pia mke kwenye suala la mahitaji na kumfanya mume awe muwajibikaji....
Mfano: Mke akilala njaa anaweza kuomba talaka....Mume akifungwa jela zaidi ya miezi 3 hiyo ni talaka tayari.... Akipatwa na wendawazimu talaka tayari...walisahau tu kama network ikikata....Kuna ndoa ya mkataba pia...bado nadhani ndiyo ndoa bora Kati ya zilizosajiliwa Tanzania kwa sasa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan maelezo hayo,
Na Mimi naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii ya kuoa mke zaidi ya mmoja hata wanawake wenyewe hawakubaliani nalo.
Adamu alipewa mke mmoja tu na Mungu. Unafikiri kwanini Mungu hakumpa Adamu mke zaidi ya mmoja?
Baada ya binadamu kujaa na tamaa na kuona amri za Mungu ngumu wakaanzisha imani inayowapendeza wao.
1. Binadamu akaanza kuoa mke zaidi ya mmoja
2. Kufanya urafiki na majini
Sawa lakin kuna watu wanatumia dini ili kuwatesa wenzao na ukisema wanaona unawapinga
 
Back
Top Bottom