Muna Love ajutia kufanya upasuaji wa kutengeneza mwili wake

Muna Love ajutia kufanya upasuaji wa kutengeneza mwili wake

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
1644302164286.png

Baada ya mwaka jana kuweka wazi kuwa amefanya upasuaji (sajari) za dimpozi na umbile kwa ujumla, mwanamama Muna Love amejitokeza na kuwasihi watu kutofanya sajari kwani anajuta na kuahidi kuweka wazi madhara yake hivi karibuni.

Muna Love ambaye anadaiwa kulazwa hospitalini kutokana na madhara ya sajari ameandika ujumbe huu kupitia Insta Story yake;

“Achaneni na surgery. msifanye nitakuja kuwaeleza vitu vingi ninavyopitia. Nampenda Yesu, nawapenda…”

1644302329064.png

 
Muna ni mmoja ya wajinga wajinga katika kundi la wajinga kwenye jamii yetu!

Toka mwanzo alijua kabisa anachikwenda kufanya ni cha kijinga ni kitamgharimu muda wowote kwa hiyo aache ujinga wa kutoa ushauri maana mjinga anashauri vipi wajinga?

Aache wajinga nao wakajionee...
 
Huyu bibi anapenda kujitoaga ufaham hapo ukute anatafuta kiki kwani hakujua kama zina madhara
 
Back
Top Bottom