Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Wote walioshiriki kumuondoa yule mzee halafu wanamsingizia Mungu hawawezi kua na amani kamwe. Gadhabu ya Mungu inawaka sana juu yao na watapatwa na simanzi kuu na adhabu kali hapahapa duniani ili wengine waone na wajifunze.
Yeye nae hana AMANI kwa watu aliowapoteza kina Ben saanane na aliowapiga Risasi kina Tundu lissu
 
Tundu Lisu anasilika kama ya Magufuli nae anapenda fikra zake ndio ziwe final Kwa hio Kwa Sasa aendelee na kuinjoi huko Leuven
 
2020
9 Juni 2020
WAZIRI MKUU AFIKA KUMUONA MBOWE HOSPITALI ALIPOLAZWA...

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake Area D jijijini Dodoma
 
Baada kutumbuliwa kwa vyeti feki ukaamua kuretire, good.

Asante Magufuli kwa kumtumbua huyu jamaa.
 
Tunduma, Tanzania

2020
10 March 2020
CHADEMA Wafanya Maombi Mahakamani/ Hukumu ya Viongozi Wao Inasomwa Muda

 
Mda huu amelala mchangani ila bado kuna watu anawashughulikia invisibly wakilala usiku haunogi wanamuota anavyowachachafya huko ndotoni, figganigga sijaelewa hapo kwenye kuhusu maji na umeme umesemaje?
 
sikubaliani na wewe kwa kuongea kwa chuki, ila najua vifo vingi ni mpango wa Mungu. hata leo Mungu akiamua wewe ufe utakuwa ni mpango wake though wengine watalia na wengine watafurahi. na kwa maana hiyo, naamini kifo cha magufuli kilikuwa ni mpango wa Mungu.
 
Sawa
 
Kwa kuwa Une refer bible phrases mimi nakuongezea
2Samwel 3:
 
Nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…