Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hakuna wakati wowote ule ambapo dunia haikuwepo kisha ikawepo.Ila kuthibitisha kama Dunia ilikuepo milele ndiyo huwezi?
Sasa wewe huwezi kuthibitisha dunia iliumbwa halafu unakataa kwamba dunia ilikuwepo tu.Kama unaweza kuthibitisha..fanya hivyo ili mjadala uwe mfupi.
Kiranga ni kilaza hanaga hoja ya msingiHakuna kitu kinaitwa "kilikuwepo" kwenye hii universe apart from God himself.
Hicho kisayansi cha nature kinachokusumbua kichwa mimi nna idea nacho kuliko hata wewe hapo.
Labda Kiranga pekee ndiyo anaweza kuongea kuhusu hilo ndiyo nikamwelewa ila siyo wewe ambae hoja zako ni nyepesi sana kama uji wa mtoto
Ukweli simple.
Wewe thibitisha hayupoUkweli simple.
Mpaka sasa hakuna mtu aliyethibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Kwa nini?
Kwa sababu hayupo.
Mtu yeyote anabisha?
Kuni prove wrong anatakiwa kufanya kitu kimoja tu.
Athibitishe Mungu huyo yupo.
Kabla ya kuthibitisha afunike vitabu vyote aje km alivyokuja mikono mitupu asije na Akili za wazazi wake aje na Akili zakeUkweli simple.
Mpaka sasa hakuna mtu aliyethibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Kwa nini?
Kwa sababu hayupo.
Mtu yeyote anabisha?
Kuni prove wrong anatakiwa kufanya kitu kimoja tu.
Athibitishe Mungu huyo yupo.
Thibitisha kauli hii,..la sivyo utaonekana unaongea tu.Hakuna wakati wowote ule ambapo dunia haikuwepo kisha ikawepo.
Hivi anaye takiwa kuthibitisha kitu kipo ni yule anayesema kipo au ambaye anasema hakipo?Wewe thibitisha hayupo
Kwangu sizuii kuja na vitabu ila vitabu vitapimwa kimantiki, hakutakuwa na logical fallacy ya "argument from authority" kwamba kitu ni kweli kwa sababu kitabu kimesema.Kabla ya kuthibitisha afunike vitabu vyote aje km alivyokuja mikono mitupu asije na Akili za wazazi wake aje na Akili zake
Wote wanatakiwa kuthibitishaHivi anaye takiwa kuthibitisha kitu kipo ni yule anayesema kipo au ambaye anasema hakipo?
Ukisema kitu kipo ina maana unajua na una uthibitisho wa uhakika kuwepo kwa hicho kitu ndio maana umesema kipo.
Kitu ambacho hakipo, Hakithibitishiki kwa namna yoyote ile kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.
Una elewa hilo?
Waambie wasije na Vitabu na Wewe weka Vitabu pembeni alafu uthibitisho uwepo bila kufungua VitabuKwangu sizuii kuja na vitabu ila vitabu vitapimwa kimantiki, hakutakuwa na logical fallacy ya "argument from aithority" kwamba kitu ni kweli kwa sababu kitabu kimesema.
Vitabu vitaangaliwa mantikibyake, penye mantiki, vitakubakika, ambapo hapana mantiki, vitakataliwa.
Sotaki kuvikubali vitabu kwa sababu ni vitabu tu, na pia, sitaki kuvikataa vitabu kwa sababu ni vitabu tu, nataka kuangalia mantiki ya kinachosemwa bila kujali kama kimetoka kwenye kitabu au la.
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.Thibitisha kauli hii,..la sivyo utaonekana unaongea tu.
Unasema hakuna wakati wowote ule ambapo Dunia haikuwepo....una uhakika na hilo? Thibitisha.
Mtu akija na kusema kwamba Infropreneur hakuwahi kutokuepo...Je, unadhani tutamuamini kirahisi bila ya kutupa uthibitisho?
Ww ulipomtongoza dem wako uli refer kwa dem yupiEti wakuu.
Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.
Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.
Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.
Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.
Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?
Naomba niishie hapo kwa leo.
NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini
Kwan yule aliyebuni jengo lililowavutia wengine Ali refer kwa nanEti wakuu.
Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.
Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.
Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.
Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.
Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?
Naomba niishie hapo kwa leo.
NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini
Waambie wasije na Vitabu na Wewe weka Vitabu pembeni alafu uthibitisho uwepo bila kufungua Vitabu
Kama kitu sidai kipo ila wewe ndiye unayedai kipo, Uta takaje mimi ni kuthibitishie madai yako?Wote wanatakiwa kuthibitisha
Ukisema kitu kipo unatakiwa wewe ndio uthibitishe kipo, Kama huwezi kuthibitisha kipo ni kwamba kitu hicho hakipo.Umesomaga hesabu? Advanced maths? Unaweza thibitisha kama kitu sio sahihi unless na wewe elimu yako ni H kunani
Kusema kipo au hakipo ni 100% certain... sijui ndio hatakiwi kuthibitisha
Unajuaje mawazo yanaendesha dunia? Mawazo ya nani?Mawazo ndo yaendesha dunia. Ndio maana ubora wa mawazo yako ndio ubora wa maisha yako.
Mbona hujasema gunduzi kubwa waliona wapi gari, ndege, meli, simu, bulb, umeme
Yote ni mawazo. Mungu ni roho na alitumia neno kuunda dunia kwa kuliamrisha neno.
Ndio maana neno linaweza kuwa silaha ya kuponya au kuangamiza binadamu.
Vizuri,..Kwahiyo kwa kutumia time na space kama ulivyosema,..Je, Dunia ilikuepo milele?Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.
Ulimwengu ulikuwepo na unapimika ulikuwepo kwa evidences mbalimbali kama time na space.
Ulimwengu upo ndani ya time na space na unapimika kupitia vitu hivi.
Na,Je kwa wakati uliopita wakipima watagundua Infropreneur ulikuepo milele au kuna wakati hukuwepo?Hata infropreneur nipo ndani ya time na space na hata kwa wakati ujao wakihitaji kujua uwepo wangu watarejea kwenye time ambayo infropreneur nili exist...