Mungu alitumia na anatumia nguvu nyingi sana kupambana na Ibilisi ila anafeli

ameshindwa kushinda kote? mpaka akashinde kwenye ulimwengu wa kusadikika wakati mwenzake anamkimbiza kwenye ulimwengu halisi
 
Usipende kutumia mifano ya Qur'an kwani kile si kitabu cha Mungu. Usipende kukariri tu vitu bila kujuwa ukweli.....tumia akili zako mwenyewe kufikiri, hicho ni kipaji ulichopewa. Naomba nikuulize, nani aliyemuumba Mungu? Tafakari hili kabla ya kujibu.
 
Wewe ni mjinga usiye na ufahamu
Mungu alishamshinda ibilisi siku nyingi sana ndio maana upo
Wala hashindani nae Tena
Ni suala la Shetani kukimbia akiona Mungu Yuko mahali.
 
Akiumbwa hawezi kuwa Mungu.

Anaeumbwa ni kiumbe. Mungu ni Muumba.
 
Elements za uhayawani at its best,
Mungu wangu hadhihakiwi,
Kwanza wewe sio muamini,
Kwa sisi waamini IPO hivi;
Malaika shetani alitupwa duniani baada ya kuasi, hivyo basi yeye ndie mtawala wa ulimwengu huu; ndio maana mungu wetu anatuambia "chagueni hivi Leo ni nani mtakaemtumikia" akitambua Kuna utawala wa Giza pia.

Ukifika paradiso Kule hakuna purukushani Yani utatiishwa Tu utakuwa unasifu na kuabudu.

Dunia ni ya shetani ni ngumu sana kupambana na mambo ya Dunia ila katika yeye tunatiwa nguvu;

Ni rahisi kukesha club ukicheza mziko kuliko kukesha kanisani ukisali.

Dunia ni ya Wana wa Giza,

Sas endelea kumlingansha Mungu kuwa anafanya kazi kubwa kumshinda shetani;

Nakuombea utangulie ukakutane nae utuletee majibu
 
Vipi kama Sasa shetani amepata msamaha Kwa Mungu, najua tunafundishwa ameshahukumiwa. Swali ni tuwe na imani Gani kama Mungu na shetani wamepatana?
 
Kwani watu wengi duniani wanaendeshwa Na Mungu au shetani?

Mfano nyimbo Za gospel Na Za bongo fleva zipi zinabamba?
Kuzini Na kuoa kipi kinabamba?
Meza ya bwana Na Meza ya pombe ipi inabamba?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] halafu anasema shetani Hana chake ,, yaani shetani inaonyesha kabisa amemzidi nguvu mungu wao Wa mchongo .. mbaya zaidi malalamiko Yana muhusu shetani yameegemea upande mmoja kutwa kucha shetani anasemwa na kulaaniwa lakini shetani huyo hajawahi kupewa hata nafasi ya kujitetea ili walau tupate kusikia mawazo toka kwake kuwa ilikuwaje kuwaje mpaka akagombana na huyo mungu

Yaani maelezo ya kuhusu ubaya wa shetani Ni maelezo ya upande mmoja halafu tumelazimishwa kuamini kinacho zungumzwa toka ktk huo upande mmoja

Wtf [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji848]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cha kushangaza mungu vs shetani tangu nmezaliwa sikuwahi kuwasikia wakisema woote wanasemewa tu..
Ujinga mzigo wa kuni yaaniiiiiii mtu unatishwa na maandishi,maandishi jaman enheeee.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…