Mungu alitumia na anatumia nguvu nyingi sana kupambana na Ibilisi ila anafeli

NATURE ndio inaongoza hii dunia,,, hii ipo automatic hata usipofundishwa yenyewe ipo...

PAKA au MBWA wakiwa hawajaiba au kudokoa chochote utawaona hawana shida wanakuwa karibu na sisi,,, BUT wakidokoa nyama ukiingia tu utaona wanakimbia...

Nani aliwafundisha kuwa kuiba ni kosa???
 
Kila mtu angebaki tu na anachoamini,,, at the end of the day huenda tukafahamu
 
Mungu hajawahi kuwa na mission ya kummaliza shetani, mission zote ziikuwa na lengo la kuwaokoa binadamu, hata matukio ya moto na maji ilikuwa ni ghadhabu ya Mungu juu ya uovu wa binadamu na sio uovu wa shetani, ujio wa Yesu ulikuwa kuwakomboa wanadamu na kuwapa nguvu ya kumshinda mwovu, kwaiyo hakuna mahali shetani amedunda tu kwa kumshinda Mungu.
 
Mtoa mada ni mjinga Sana, ingawa kuwa mjinga sio dhambi. Msaidieni apone huyu jamaa bado muda anao...
 
Kwani watu wengi duniani wanaendeshwa Na Mungu au shetani?

Mfano nyimbo Za gospel Na Za bongo fleva zipi zinabamba?
Kuzini Na kuoa kipi kinabamba?
Meza ya bwana Na Meza ya pombe ipi inabamba?
Ivyo vyote ulivyo orodhesha hapo, hakuna Cha mungu hapo ndugu yangu.
Vyote Ni vya yule mwovu
Vyote vyote nivya ibilisi.
 
Malaika wapo wenye nguvu zaidi yake mkuu
Na ndio walio mfukuza.
Na kilicho sababisha afukuzwe Ni tamaa, alishindwa kuzibiti tamaa yake.

Na mungu unaye mlinganisha naye hakushiriki hata kidogo kwenye ayo Mambo
Wali shuulikiana wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…