Hiyo ni mada nyingine. Kwa leo nimeongea na wanaume tu.Mbona umeruka kuhusu wanawake kufunika vichwa/nywele zao?
1 Wakorintho 11:4-6
4 Kila mwanamume, asalipo, au anapohutubu, naye amefunikwa kichwa, yuaaibisha kichwa chake.
5 Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa kofia au kufunika kichwa chake anapokuwa katika ibada? Biblia inalo jibu la wazi kabisa.
Katika 1 Wakorintho 11:4, Mtume Paulo anaandika:
“Kila mwanamume, asalipo, au anapotoa unabii, naye amefunikwa kichwa, anaaibisha kichwa chake... Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu...”
Hili ni agizo dhahiri kutoka kwa Mungu. Neno hili halipaswi kupuuzwa wala kubadilishwa kwa kufuata mapokeo, utamaduni au mitazamo ya kisasa.
Kwa mujibu wa andiko hili(1 Wakorintho 11:7), mwanaume asalipo, anapokuwa katika ibada, au anapohubiri, akifunika kichwa anamvunjia heshima Yesu Kristo, ambaye ni kichwa chake. Mwanaume anapaswa kuonyesha heshima ya kiroho mbele ya Mfalme wa wafalme, Yesu Kristo - kwa kutokufunika kichwa. Agizo hili ni kwa wanaume wote. Hata Papa agizo hili linamhusu. Hata Maaskofu na Mapadre, agizo hilo linawahusu, kwa kuwa na wao ni wanaume.
Anayepinga aweke hapa hoja za kimaandiko.
Hapo vipi...👇👇Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa kofia au kufunika kichwa chake anapokuwa katika ibada? Biblia inalo jibu la wazi kabisa.
Katika 1 Wakorintho 11:4, Mtume Paulo anaandika:
“Kila mwanamume, asalipo, au anapotoa unabii, naye amefunikwa kichwa, anaaibisha kichwa chake... Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu...”
Hili ni agizo dhahiri kutoka kwa Mungu. Neno hili halipaswi kupuuzwa wala kubadilishwa kwa kufuata mapokeo, utamaduni au mitazamo ya kisasa.
Kwa mujibu wa andiko hili(1 Wakorintho 11:7), mwanaume asalipo, anapokuwa katika ibada, au anapohubiri, akifunika kichwa anamvunjia heshima Yesu Kristo, ambaye ni kichwa chake. Mwanaume anapaswa kuonyesha heshima ya kiroho mbele ya Mfalme wa wafalme, Yesu Kristo - kwa kutokufunika kichwa. Agizo hili ni kwa wanaume wote. Hata Papa agizo hili linamhusu. Hata Maaskofu na Mapadre, agizo hilo linawahusu, kwa kuwa na wao ni wanaume.
Anayepinga aweke hapa hoja za kimaandiko.
Wewe huyo ni Paulo sio MunguJe, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa kofia au kufunika kichwa chake anapokuwa katika ibada? Biblia inalo jibu la wazi kabisa.
Katika 1 Wakorintho 11:4, Mtume Paulo anaandika:
“Kila mwanamume, asalipo, au anapotoa unabii, naye amefunikwa kichwa, anaaibisha kichwa chake... Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu...”
Hili ni agizo dhahiri kutoka kwa Mungu. Neno hili halipaswi kupuuzwa wala kubadilishwa kwa kufuata mapokeo, utamaduni au mitazamo ya kisasa.
Kwa mujibu wa andiko hili(1 Wakorintho 11:7), mwanaume asalipo, anapokuwa katika ibada, au anapohubiri, akifunika kichwa anamvunjia heshima Yesu Kristo, ambaye ni kichwa chake. Mwanaume anapaswa kuonyesha heshima ya kiroho mbele ya Mfalme wa wafalme, Yesu Kristo - kwa kutokufunika kichwa. Agizo hili ni kwa wanaume wote. Hata Papa agizo hili linamhusu. Hata Maaskofu na Mapadre, agizo hilo linawahusu, kwa kuwa na wao ni wanaume.
Anayepinga aweke hapa hoja za kimaandiko.
Tofautisha kati ya Kristo na PauloWanaume, lichukulieni jambo hili kwa uzito, kama ishara ya kumheshimu Mungu aliye Mkuu.
Vinginevyo siku ile ya mwisho kuna hatari ya kuambiwa:
“Siwajui ninyi, wala mtokako. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!" (Luka 13:27).
Luka 6:46-49
"Kwa nini mnaniita, Bwana, Bwana, lakini hamyatendi nisemayo?"
Avatar yako huwa inanichekeshaVipi nikitia mkilemba kama Ayatollah?! Kilemba ni tofauti na kofia ujue?
Mjomba Jacob huyo namkubali sanaa.A
Avatar yako huwa inanichekesha
Barua ya Mtume Paulo kwa Wakorintho. Hayo yalikuwa ya kwake wala siyo ya MunguJe, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa kofia au kufunika kichwa chake anapokuwa katika ibada? Biblia inalo jibu la wazi kabisa.