Mungu amekataza wanaume kuvaa kofia wanaposali. Kwanini wanaume hawa wanakaidi agizo la Mungu?

Weee 0005
Umebaki mdomo wazi?

Ukweli ndio huo 'mwanangu'!
Kila mwanaume, asalipo, au anapohutubu, naye amefunikwa kichwa, yuaaibisha kichwa chake(1 Kor 11:4)

Yn 8:32
Mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru
Soma Walawi 16:4 Alafu maliza na Matendo ya Mitume 28:40

Acha kukataza watu kuvaa mavazi matakatifu.

Huyo Paulo unayemzungumzia ni Mtu mpenda sifa kwa mujibu wake mwenyewe hana tofauti na Mwijaku au Chief godlove wala hupaswi kumzingatia.
 
Basi waambie hao wanaovaa kofia kanisani kwa kutumia andiko la Walawi 16:4, wasiruke mstari wa 3;
hivyo wakiingia kanisani waingie na ng'ombe dume mchanga kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa!!
 
Weee 0005
Umebaki mdomo wazi?

Ukweli ndio huo 'mwanangu'!
Kila mwanaume, asalipo, au anapohutubu, naye amefunikwa kichwa, yuaaibisha kichwa chake(1 Kor 11:4)

Yn 8:32
Mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru

Dah, tunamengi ya kujifunza bado aise.
 
Basi waambie hao wanaovaa kofia kanisani kwa kutumia andiko la Walawi 16:4, wasiruke mstari wa 3;
hivyo wakiingia kanisani waingie na ng'ombe dume mchanga kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa!!
Point ya msingi ni kwamba Kofia ni vazi Takatifu Huyo Sauli alikataza ili tu na yeye apate kujisifu kwa jambo hilo!
 
Back
Top Bottom