Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
🤣🤣🤣🤣Hiyo ni mada nyingine. Kwa leo nimeongea na wanaume tu.
🤣🤣🤣🤣Hiyo ni mada nyingine. Kwa leo nimeongea na wanaume tu.
Andiko hili la Hesabu 32:11-12 linatoa jibu zuri sana:Kuna mtu ambaye atakuwa amempokea Yesu kama mwokozi wake na kuishi katika rehema yake; atakosa kwenda mbinguni kisa alivaa kofia (madhabahuni na kwingineko) kama ishara ya mamlaka yake ya kiroho? 😳😳😳😳
Hasira za nini sasa mbarika ?Acha ugumu wako
Hayo maandiko yapo pamoja wewe umechomoa mistari unayoipenda unaleta hapa
Peleka ujinga huko
37 Nalo utalifunga kwa kamba ya rangi ya buluu, ili liwe juu ya kilemba; litakuwa juu ya kikunjo cha kilemba, mbele ya uso wake.36 Nawe utafanya bamba la dhahabu safi, na kuandika juu yake kwa maandiko ya muhuri, Takatifu kwa Bwana.
Akamvika kilemba kichwani mwake; na juu ya kilemba, mbele yake, akatia bamba la dhahabu, yaani, ile taji takatifu; kama Bwana alivyomwagiza Musa.
Kabla ya kunukuu Maandiko, na wewe uwe unaushughulisha kidogo ubongo wako. Bado tu hujajua kwamba amri nyingi za Agano la Kale zimebadilishwa katika Agano Jipya? Kwa mfano katika Mathayo sura ya 5 Yesu alinukuu sheria nyingi za Agano la Kale na kuzipa mwanga mpya wa Agano Jipya. Katika sura hiyo anasema:Kabla hujaleta swali humu uwe unashughulisha kidogo ubongo wako;
Kutoka 28:36-38 (SUV)
37 Nalo utalifunga kwa kamba ya rangi ya buluu, ili liwe juu ya kilemba; litakuwa juu ya kikunjo cha kilemba, mbele ya uso wake.
38 Nalo litakuwa katika kipaji cha uso wa Haruni, ili Haruni ayachukue maovu ya mambo matakatifu, watakayoyatakasa wana wa Israeli, katika zawadi zao zote za mambo matakatifu; nalo litakuwa daima katika kipaji cha uso wake, ili yapate kibali mbele za Bwana.
Walawi 8:9 (SUV)
Hii inaonyesha kuwa Haruni, akiwa kuhani mkuu wa Israeli, alitakiwa kuvaa mavazi maalum yaliyotolewa kwa maagizo ya Mungu, na kilemba hicho kilikuwa na maandishi “Takatifu kwa Bwana,” na kilikuwa sehemu muhimu ya vazi la kikuhani.
BTW
Sisi Wana wa Yesu hatuhukumiwi kwa mawazi, Wala chakula, Wala sikukuu, zaidi ni MOYO SAFI NDIO MAFUNDISHO YA KIKRISTO.
Kwa hiyo Paulo ndie Yesu?Kabla ya kunukuu Maandiko, na wewe uwe unaushughulisha kidogo ubongo wako. Bado tu hujajua kwamba amri nyingi za Agano la Kale zimebadilishwa katika Agano Jipya? Kwa mfano katika Mathayo sura ya 5 Yesu alinukuu sheria nyingi za Agano la Kale na kuzipa mwanga mpya wa Agano Jipya. Katika sura hiyo anasema:
Hivyo suala la makuhani kuvaa vilemba/kofia ni mojawapo ya mambo yaliyobadilishwa katika Agano la Jipya.
- "Mmesikia kwamba imenenwa..." (yaani sheria ya Torati)
- "Lakini mimi nawaambia..."
Ni Mtume wa Yesu Kristo.Kwa hiyo Paulo ndie Yesu?
Wewe nilishakwambia tuaone ili tueneze nenoYes, kuna hatari ya kuukosa uzima wa milele kwa sababu ya kudharau baadhi ya maagizo ya Mungu
We ni Atheist?una uhakika gani hayo ni maneno ya Mungu?
We ni Atheist?
Anyway, hizi ni baadhi ya sababu zinazonifanya niwe na uhakika kwamba hayo ni maneno ya Mungu.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na watu tofauti katika nyakati tofauti, lakini ina ujumbe mmoja mkuu wa wokovu.
Maandiko yaliyoandikwa miaka mingi iliyopita yalitabiri matukio yanayojiri leo kwa usahihi. Hii ni ishara kuwa Mungu aliwaongoza walioandika.
Maandiko ya Biblia yamekuwa chanzo cha mabadiliko makubwa ya maisha kwa mamilioni ya watu duniani. Hii inaonyesha nguvu na uhalisia wake.
Yaliyoandikwa katika Biblia ni applicable. Kwa mfano imeandikwa 'tumepewa mamlaka ya kukemea pepo.' Pepo tunawakemea kwa Jina la Yesu, wanatoka.
Imeandikwa 'ombeni nanyi mtapewa.' Mimi nimeomba mambo meeeeengiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaa na nimepewa.
So, given the overwhelming convergence of fulfilled prophecy, historical integrity, and the undeniable impact on human hearts, honestly — what more proof do you need, my friend Equation x ?