Mungu amekataza wanaume kuvaa kofia wanaposali. Kwanini wanaume hawa wanakaidi agizo la Mungu?

Barua ya Mtume Paulo kwa Wakorintho. Hayo yalikuwa ya kwake wala siyo ya Mungu
Umesahau Paulo(Sauli) aliitwa na Yesu kuwa Mtume -live?
Soma Matendo ya Mitume 9 ndio utaelewa kuwa aliyoyaandika Paulo aliyaandika kwa kuongozwa na Mungu. Paulo mwenyewe anakiri kuwa yeye ni Mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu.
(Waefeso 1:1)
 
Wewe ni mtumishi wa Mungu mbona kama unakwepa confrontation
Kama hujajifunza principles of effective communication na message clarity, ngoja nikumegee kidogo points mbili:

1. Principle of Clarity (Uwazi wa Ujumbe)
Communication theory inasisitiza kuwa ujumbe mzuri unapaswa kuwa wazi na rahisi kueleweka. Kuongea mada moja inasaidia kuepuka mkanganyiko kwa wasomaji na kufanya ujumbe ueleweke haraka.

2. Information Overload Avoidance
Katika Shannon-Weaver Communication Model, kuna kipengele cha "noise" (kelele au usumbufu) kinachoweza kuathiri upokeaji wa ujumbe. Kuongea mada moja hupunguza "semantic noise" — yaani, usumbufu unaotokana na kuchanganya mada nyingi bila mpangilio.

Sura ya 11 ya 1 Wakorintho ina mada nyingi sana. Kwa mfano:
  • Umuhimu wa kumfuata Paulo kama anavyomfuata Kristo
  • Sifa kwa Wakorintho kwa kushika mafundisho
  • Mpangilio wa mamlaka: Mungu - Kristo - Mwanaume - Mwanamke
  • Umuhimu wa kufunika kichwa mwanaume
  • Kwanini mwanamke ana nywele ndefu
  • Kwanini mwanamke anapaswa kufunika kichwa
  • Kama mwanamke hapendi kufunika kichwa afanyeje
  • Tunapohutubu na kuomba tuwe katika hali gani
  • Uwezekano wa kukusanyika kanisani kwa hasara
  • Utaratibu wa kula chakula cha Bwana
  • Madhara ya kula chakula cha Bwana isivyostahili

Sasa wewe unataka niongee mada zote hizo kwenye uzi mmoja tu, wakati unajua wazi kwamba JF ina watu wengi wavivu wa kusoma nyuzi?
 
Sasa mtu unatoa hoja kwa typing halafu mtu anakuja kujibu kwa CHATGPT
 
Sasa mtu unatoa hoja kwa typing halafu mtu anakuja kujibu kwa CHATGPT
Una ugomvi na chatGPT?
ChatGPT ni kisaidizi tu cha akili kama calculator. Ukiwa na calculator unatoa majibu ya hesabu kwa haraka badala ya kutumia muda mwingi kufikiri. Ukipiga hesabu kwa kutype bila calculator itakuchukua pengine sekunde 30 kupata jibu la hesabu hii: 27,965,560,987+387,980,058,045=? Lakini kwa calculator ni milliseconds. The same with chatGPT.
 
Una ugomvi na chatGPT?
ChatGPT ni kisaidizi tu cha akili kama calculator. Ukiwa na calculator unatoa majibu ya hesabu kwa haraka badala ya kutumia muda mwingi kufikiri 27,965,560,987+387,980,058,045=?
Sawa madam keep going
 
Sawa madam keep going
Ah, a graceful retreat disguised as encouragement—duly noted, my friend. I shall 'keep going,' as instructed, with all the flair of one who’s had the final word. Even Paul encountered silence after sound doctrine; thus, as one mind refines another, so have our words met. Grace and peace to you, my friend Black joe
(1 Cor 1:3-5)
 
Katika dhambi zote anazotenda mwanadamu umeona kapelo tu?
 
No reform No election
 
No reform No election
Interesting pivot. As for me, I’ll stay the course — not with slogans, but with reasoned Bible words and quiet conviction😎
 
Ile mada yako ya Maaskofu wanawake ulifkia wapi?
 
Kuna mtu ambaye atakuwa amempokea Yesu kama mwokozi wake na kuishi katika rehema yake; atakosa kwenda mbinguni kisa alivaa kofia (madhabahuni na kwingineko) kama ishara ya mamlaka yake ya kiroho? 😳😳😳😳
 
Ile mada yako ya Maaskofu wanawake ulifkia wapi?
Bado ipo online. Jikumbushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…