Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mkuu umeongea ukweli.Mkuu tusmlaum Mungu ase.
Niliwahi kufanya kazi na mchina pale bandarini miaka miwili iliyopita akawa ananiuliza au mimi syo mtanzania tena dar? Nikamuuliza kwanini.?
Akaniambia hakuna watu wavivu kama watu weusi kwenye kazi,yaani haiwez kuisha wiki hajasingizia mtoto,baba,mama,au ndugu yoyote anaumwa kwa lengo tu asiingie kazini.
Akaniambia hakuna mtu ambae amewahi kudhurika kwasababu ya kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma yeye mwenyewe na ilihali ameridhia kulipwa anacholipwa.
Akaongeza tena kwamba,mtu yoyote anaejituma na kupata kitu chake kwa halali hutokuja kuskia ameiba,amedhurum mtu au amewasaliti watu wake kwa namna yoyote ile kwasababu anakuwa anajua uchungu wa mapambano katika maisha
Watu weusi hasa waafrika watanzania wana Uvivu, Ujinga na upumbavu wa milele.
Angalia nchi kama UAE, Qatar, Japan n.k zote zilitawaliwa na Wakoloni lakini leo hii zina maendeleo na karibu kuwazidi nchi za ulaya..
Waafrika tangu tupate uhuru excuse ni Ukoloni, kwamba ndio ime turudisha nyuma.
Haya leo hii, nchi nyingi za Afrika zina miaka karibu 60 ya uhuru wa kujitawala na kujiongoza zenyewe lakini kila mara kuomba mikopo na misaada. Kisha mikopo ikisha letwa ina hujumiwa...!!!
Black Americans wa USA kutwa kucha kusingizia Slavery, ndio ili wakwamisha ..
Slavery ili isha kitambo sana, ila hadi leo black Americans excuse yao ni slavery..
Waafrika na watu weusi ni kama vile wana upumbavu wa milele.