Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Kuna wasemaji wa Mungu [emoji848][emoji848]Wewe unacho kisema lakini unakijuwa ? unazungumza kwa akli ya timamu au una matatizo ya akili?mbona unakufuru kusema kuwa Mungu ametupuuza sisi watu weusi maneno yako ya kukufuru Mungu kama ni Muislam tubu Kwa Mungu kwani umesema maneno ya kumkufuru Mungu lete toba kwa aliye kuumba haraka kabla ya adhabu haijakushukia. Umemkufuru Mungu aliye kuumba kwa kusema maneno yako ya pumba hayo rudi kwa mola wako uombe msamaha kabla adhabu haijakushukia ninakukumbusha .Kwani Ukumbusho ni mzuri kwa wana muamini Mungu.
mkuu,kwanza nikukumbushe,nia yao watu weupe ya kukufanya wewe uwaone wao ni bora kukuliko imefanikiwa kwa asilimia 100%.
wacha nikuweke sawa.
elimu na mifumo yote ya kuongeza ufahamu,wao ndio waanzilishi,hakuna namna inapoletwa kwenu itaachwa iwe katika mlengo unaowafaa wao,maana wanajua ngozi nyeusi ni bora katika upande gani(wanaogopa),hivyo mbinu ambayo hutumiwa ni kuvuruga mifumo ya elimu kupitia viongozi(matumbotumbo),na kuiondolea ubora unaotakiwa kabisa.
angalia china na japan,wao mfumo wao ni mtoto chini ya miaka 5 anafundishwa elimu ya mahusiano tu sio kusoma wala kuandika,ndipo uzalendo na siha njema mtoto anakua nao kuanzia hapa.huu ni mfumo waliuchagua wao wakauandaa uwafae wao.sisi tunabeba mitaala ya kujifunza lugha ya kiingereza badala ya kujifunza ujuzi na taaluma za kwao.sijui kiingereza kina faina gani na maendeleo yetu!!!
tabia hii ya kutothamini vya kwetu imeingia damuni,mpaka aliyefanikiwa kusoma kwao uzunguni anaona ni heri abaki huko,kuliko kuja kufanya kitu nyumbani.
nikukumbushe uwezo wa mtu mweusi.
angalia sekta za kichezo na burudani,waty weusi wametamalaki huko,hii ni kutaka kukumbusha tunaweza kufanya mambo makubwa sana nje ya elimu tulizoletewa,muhimu kujiamini tu.
hawa viongozi mawakala ndio wanasababisha africa miaka nenda rudi imesimama tu,ndio maana walipojitokeza watu kama akina jpm ikabidi lifanyike jambo kwa haraka ili mambo yasiharibike.
PHYSICALLY, katika kazi zinazohitaji nguvu (Mascular), ni kweli watu weusi wanaperform vizuri hata kwenye Marathon, Football, Rugby tunaona...ndio maana Walifanywa Watumwa na races zingine na mpaka sasa ni WatumwaHello!
Kuna mtu mweusi na kuna Mwafrika, hawa ni watu wawili tofauti. Unaweza ukawa mwafrika lakini usiwe mtu mweusi na unaweza kuwa mtu mweusi lakini usiwe mwafrika.
Nazungumzia mtu mweusi bila kujali ni raia wa nchi/bara gani. Mtu mweusi amepuuzwa na MUNGU, kwa lugha rahisi tuseme ameshushwa au amedharauliwa na Muumba wake.
Mungu ametupa akili ndogo kuliko watu weupe. Most of Chinese contractors wanaojenga fly over, wanaojenga high ways na mijengo mbalimbali wana elimu ya kawaida tu, ni diploma za civil engineering lakini uwezo wao unazidi uwezo wa Prof. wa civil engineering wa UDSM kwenye vitendo/site.
Kongo ina wasomi wengi wa mambo ya siasa na fani zingine lakini wameshindwa kutumia akili zao kumaliza migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ili wavune rasilimali zao za asili. Kuna mahali Kongo kuna milima ya dhahabu na madini mengine lakini ufukara unawala sana.
Watu weusi wa Zimbabwe dhahabu zimeshindwa kuwaondoa kwenye ufukara na mfumuko wa bei. Zimbabwe viongozi na wanadiplomasia wanatumia nafasi zao kutorosha dhahabu. Wao wanakuwa mabilionea huku wenzao wakifa kwa kukosa dawa hospitalini.
Watu weusi wa Tanzania wameshindwa kutumia reserve ya gesi asilia kukomesha mgao wa umeme na kukomesha matumizi ya mkaa majumbani.
Mifano ni maelfu kwa maelfu. Kwa ufupi Mungu ametupuuza Waafrika weusi. Leo hii Mwafrika anajiita Nabii na wanaotoa vibali wanapewa pesa ya rushwa wanamsajili ili awatapeli Maskini wenzake.
Jela za Marekani zimejaa watu weusi licha ya uchache wao katika Taifa la Marekani. Nasikia tabia za ulevi usio na staha, matusi, kupigana , uuaji, mihadarati na wizi ndio vinawaja jela.
Kuna watu wanadhani mfumo wa elimu yetu ndio huzaa wasomi wasio na kitu cha kutoa katika jamii kumbe sio ni matokeo tu ya mtu mweusi.
Kuna wasomi wengi tu wa hapa nchini master's na PhD wamechukua huko ng'ambo lakini hawana cha kutoa katika jamii zaidi ya story za kule ulaya, kule Marekani, kule India. Wanaishia kuongea hivyo tu.
Japan ilitawaliwa na nani mkuu?Mkuu umeongea ukweli.
Watu weusi hasa waafrika watanzania wana Uvivu, Ujinga na upumbavu wa milele.
Angalia nchi kama UAE, Qatar, Japan n.k zote zilitawaliwa na Wakoloni lakini leo hii zina maendeleo na karibu kuwazidi nchi za ulaya..
Waafrika tangu tupate uhuru excuse ni Ukoloni, kwamba ndio ime turudisha nyuma.
Haya leo hii, nchi nyingi za Afrika zina miaka karibu 60 ya uhuru wa kujitawala na kujiongoza zenyewe lakini kila mara kuomba mikopo na misaada. Kisha mikopo ikisha letwa ina hujumiwa...!!!
Black Americans wa USA kutwa kucha kusingizia Slavery, ndio ili wakwamisha ..
Slavery ili isha kitambo sana, ila hadi leo black Americans excuse yao ni slavery..
Waafrika na watu weusi ni kama vile wana upumbavu wa milele.
WeeehJapan ilitawaliwa na nani mkuu?
Japan ilimtawala china,haijawahi tawalila,
Hao waarabu Ndio waasisi wa kwanza kbsa wa kutumikisha watu,sidhani kama waarabu walitawaliwa na mzungu
Ni kweli mna laana ya asili. Bora mimi niliumbwa mzunguNi kama tuna laana flan ivi.
Sawa china ilitawaliwa, leo hii kimaendeleo tuna wafikia?Japan ilitawaliwa na nani mkuu?
Japan ilimtawala china,haijawahi tawalila,
Hao waarabu Ndio waasisi wa kwanza kbsa wa kutumikisha watu,sidhani kama waarabu walitawaliwa na mzungu
Baada ya ukumbushi huu naomba ujibu basi hoja yakeWewe unacho kisema lakini unakijuwa ? unazungumza kwa akli ya timamu au una matatizo ya akili?mbona unakufuru kusema kuwa Mungu ametupuuza sisi watu weusi maneno yako ya kukufuru Mungu kama ni Muislam tubu Kwa Mungu kwani umesema maneno ya kumkufuru Mungu lete toba kwa aliye kuumba haraka kabla ya adhabu haijakushukia. Umemkufuru Mungu aliye kuumba kwa kusema maneno yako ya pumba hayo rudi kwa mola wako uombe msamaha kabla adhabu haijakushukia ninakukumbusha .Kwani Ukumbusho ni mzuri kwa wana muamini Mungu.
We piskali ndo hujui kitu kabisaaa,Mtu mweusi amejipuuza mwenyewe, alitafuta MIUNGU yake akaiabudu...
Akaacha kumwabudu MUNGU aliyemuumba...
Hapa ndio shida ilipoanzia na haitaisha mpaka mseme...
Kama waafrica wataacha Miungu yao wote na kumwabudu MUNGU aliyewauumba basi watamiliki...
Maana tutarejeshewa mamlaka ya kumiliki Duniani na Mbinguni
Black people cannot rule themselvesChukulia mfano Haiti. Hii nchi ipo karibu na Marekani lakini maskini wa kutupwa. Ina maana wameshindwa kutumia exposure kutoka USA ili kuendeleza nchi yao.
Chukulia mfano, Liberia. Hii nchi waliletwa black Americans miaka ya 1880 na kuunda hiyo nchi. Hao black Americans walikuwa wengine wenye exposure na elimu, basi tulitarajia wangeitumia hiyo exposure na kuifanya Liberia ionekane tofauti na nchi nyingine za Kiafrika, lakini walipofika Liberia nao wakawa wakoloni wapya, mpaka leo Liberia hoi! Hivyo hivyo kwa Siera Leon.
Ethiopia ni nchi ambayo haijatawaliwa na wakoloni, ingawa Mwitaliano alijaribu ila alishindwa, lakini Ethiopia wapo wapi leo!
Miungu ni nini?Mtu mweusi amejipuuza mwenyewe, alitafuta MIUNGU yake akaiabudu...
Una uthibitisho upi wa kwamba Mungu ali kuumba?Akaacha kumwabudu MUNGU aliyemuumba...
Hapa ndio shida ilipoanzia na haitaisha mpaka mseme...
Yani una eleza illusions tu.Kama waafrica wataacha Miungu yao wote na kumwabudu MUNGU aliyewauumba basi watamiliki...
Maana tutarejeshewa mamlaka ya kumiliki Duniani na Mbinguni
ulivyomtaja tu JPM nikakuona na we hamnazo. Huyo marehemu wenu ndio ameiharibu hii nchi ndani ya muda mfupi. Ni nini hasa ktk elimu amekifanya zaidi ya kuvuruga kwa kuacha hata kuajiri na kupandisha madaraja ya hao walimu. PhD yake yenyewe feki, uliyoyaandika yote ni upupu kwa kumtaja tu huyo marehemu. Waafrika hawana shida yoyote huyo mleta post ana ugonjwa wa "inferiority complex" hajiamini, hajithamini. Wako waafrika wengi wenye elimu na ujuzi mzuri sana, safari ni hatua, tutafika tena mbali sanamkuu,kwanza nikukumbushe,nia yao watu weupe ya kukufanya wewe uwaone wao ni bora kukuliko imefanikiwa kwa asilimia 100%.
wacha nikuweke sawa.
elimu na mifumo yote ya kuongeza ufahamu,wao ndio waanzilishi,hakuna namna inapoletwa kwenu itaachwa iwe katika mlengo unaowafaa wao,maana wanajua ngozi nyeusi ni bora katika upande gani(wanaogopa),hivyo mbinu ambayo hutumiwa ni kuvuruga mifumo ya elimu kupitia viongozi(matumbotumbo),na kuiondolea ubora unaotakiwa kabisa.
angalia china na japan,wao mfumo wao ni mtoto chini ya miaka 5 anafundishwa elimu ya mahusiano tu sio kusoma wala kuandika,ndipo uzalendo na siha njema mtoto anakua nao kuanzia hapa.huu ni mfumo waliuchagua wao wakauandaa uwafae wao.sisi tunabeba mitaala ya kujifunza lugha ya kiingereza badala ya kujifunza ujuzi na taaluma za kwao.sijui kiingereza kina faina gani na maendeleo yetu!!!
tabia hii ya kutothamini vya kwetu imeingia damuni,mpaka aliyefanikiwa kusoma kwao uzunguni anaona ni heri abaki huko,kuliko kuja kufanya kitu nyumbani.
nikukumbushe uwezo wa mtu mweusi.
angalia sekta za kichezo na burudani,waty weusi wametamalaki huko,hii ni kutaka kukumbusha tunaweza kufanya mambo makubwa sana nje ya elimu tulizoletewa,muhimu kujiamini tu.
hawa viongozi mawakala ndio wanasababisha africa miaka nenda rudi imesimama tu,ndio maana walipojitokeza watu kama akina jpm ikabidi lifanyike jambo kwa haraka ili mambo yasiharibike.
we jiamini acha hiyo inferiority complex, kuna watu weusi wenye elimu stahiki na ujuzi mzuri sana na wanafanya mambo makubwa. Ni we unajiona umepuuzwa ila ukweli we ndio umejipuuza.Hello!
Kuna mtu mweusi na kuna Mwafrika, hawa ni watu wawili tofauti. Unaweza ukawa mwafrika lakini usiwe mtu mweusi na unaweza kuwa mtu mweusi lakini usiwe mwafrika.
Nazungumzia mtu mweusi bila kujali ni raia wa nchi/bara gani. Mtu mweusi amepuuzwa na MUNGU, kwa lugha rahisi tuseme ameshushwa au amedharauliwa na Muumba wake.
Mungu ametupa akili ndogo kuliko watu weupe. Most of Chinese contractors wanaojenga fly over, wanaojenga high ways na mijengo mbalimbali wana elimu ya kawaida tu, ni diploma za civil engineering lakini uwezo wao unazidi uwezo wa Prof. wa civil engineering wa UDSM kwenye vitendo/site.
Kongo ina wasomi wengi wa mambo ya siasa na fani zingine lakini wameshindwa kutumia akili zao kumaliza migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ili wavune rasilimali zao za asili. Kuna mahali Kongo kuna milima ya dhahabu na madini mengine lakini ufukara unawala sana.
Watu weusi wa Zimbabwe dhahabu zimeshindwa kuwaondoa kwenye ufukara na mfumuko wa bei. Zimbabwe viongozi na wanadiplomasia wanatumia nafasi zao kutorosha dhahabu. Wao wanakuwa mabilionea huku wenzao wakifa kwa kukosa dawa hospitalini.
Watu weusi wa Tanzania wameshindwa kutumia reserve ya gesi asilia kukomesha mgao wa umeme na kukomesha matumizi ya mkaa majumbani.
Mifano ni maelfu kwa maelfu. Kwa ufupi Mungu ametupuuza Waafrika weusi. Leo hii Mwafrika anajiita Nabii na wanaotoa vibali wanapewa pesa ya rushwa wanamsajili ili awatapeli Maskini wenzake.
Jela za Marekani zimejaa watu weusi licha ya uchache wao katika Taifa la Marekani. Nasikia tabia za ulevi usio na staha, matusi, kupigana , uuaji, mihadarati na wizi ndio vinawaja jela.
Kuna watu wanadhani mfumo wa elimu yetu ndio huzaa wasomi wasio na kitu cha kutoa katika jamii kumbe sio ni matokeo tu ya mtu mweusi.
Kuna wasomi wengi tu wa hapa nchini master's na PhD wamechukua huko ng'ambo lakini hawana cha kutoa katika jamii zaidi ya story za kule ulaya, kule Marekani, kule India. Wanaishia kuongea hivyo tu.
kwenye uvivu ni kweli, watu ni wavivu, wazembe hakuna mfano.Mkuu tusmlaum Mungu ase.
Niliwahi kufanya kazi na mchina pale bandarini miaka miwili iliyopita akawa ananiuliza au mimi syo mtanzania tena dar? Nikamuuliza kwanini.?
Akaniambia hakuna watu wavivu kama watu weusi kwenye kazi,yaani haiwez kuisha wiki hajasingizia mtoto,baba,mama,au ndugu yoyote anaumwa kwa lengo tu asiingie kazini.
Akaniambia hakuna mtu ambae amewahi kudhurika kwasababu ya kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma yeye mwenyewe na ilihali ameridhia kulipwa anacholipwa.
Akaongeza tena kwamba,mtu yoyote anaejituma na kupata kitu chake kwa halali hutokuja kuskia ameiba,amedhurum mtu au amewasaliti watu wake kwa namna yoyote ile kwasababu anakuwa anajua uchungu wa mapambano katika maisha