Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Unataka kusema Mungu hana uwezo wa kumpa mtu ujauzito bila kufanya matusi, na ndani ya wiki moja akajifungua?
Mungu hajawahi fanya hivyo. Mwenye uwezo wa kumpa Kiumbe ujauzito ni kiumbe mwingine na Awe na vina saba sawa. Ndio maana Huwezi kuta binadamu akazaa na Mbuzi. Mbuzi atazaa na Mbuzi mwenzake na Malaika watazaa na Malaika wenzako. Na Majini watazaa na Majini wenzao

Mungu hawezi kumtafuta Mwanadamu ndio aingie ndani yake halafu Ndio azae. Wakati kitabu hicho hicho kinakumbia Alimuumba Mwanadamu wa Kwanza Kwa Udongo sasa Alishindwa Nini Kumuumba Yesu kwa Udongo
 
Qur'an imekanusha propaganda za biblia na kusema injil ilichakachuliwa ndio maan unaona contradictions nyingi ,Qur'an imekataa yesu hajafa wala hajasulibiwa ,imekataa si mungu na bla bla kibao
Leta ushahidi kwamba Koran imekataa Yesu kusulubiwa
 
Wewe ulitoka wapi,mama alitoka wapi,na aliyemzaa alitoka wapi?
Tuanzie hapo kwanza,
Tunajua Samsung Galaxy inatoka Korea,Toyota inatoka Japan,BMW inatoka Ujerumani,wewe ulitoka wapi?
 
Wewe ulitoka wapi,mama alitoka wapi,na aliyemzaa alitoka wapi?
Tuanzie hapo kwanza,
Tunajua Samsung Galaxy inatoka Korea,Toyota inatoka Japan,BMW inatoka Ujerumani,wewe ulitoka wapi?
Sasa wewe ndio unauliza Maswali. Kwanza Jua Umetoka Wapi. Mimi najua Nimetoka Wapi Chanzi cha Uhai ulionaona Umetokana Na Binadamu wa Kwanza ambao Kiuhalisia ni Fumbakasa na Mwasi mkewe. Elimu hii ipo Mwanzoni kabla ya Wakoloni na Dini hizi Kuja Afrika

Wewe una elimu ya Adam na Hawa na Watoto wao. Adam na Hawa Waliwakuta Wanadamu tayari Wapo Duniani
 
Yani Mungu Muumba vyote, hawezi na hana uwezo wa kutamka tu wewe apo uwe na mimba leo leo na ukajifungua leo leo? hata kama ni mwanaume?
 
Yani Mungu Muumba vyote, hawezi na hana uwezo wa kutamka tu wewe apo uwe na mimba leo leo na ukajifungua leo leo? hata kama ni mwanaume?
Ungejiuliza Kwanza Kwaninj Hakufanya Hayo kwa Yesu mliyemsulubisha.

Mungu keshaweka Mifumo ya uzazi
 
Mleta uzi unajichanganya sana mala huamini Mungu yupo afu unatumia mifano ya Biblia. tukuelewe vipi
 
Mungu peke ake anaweza pambana na urusi na akashinda vita?
Ndugu yangu toka Lini Mungu akapigana na Vita za Viumbe wake. Nyie piganeni wenyewe Mungu hausiki na Vita Zenu

Majini na Malaika pia Yalishapigan Huko Kwenye kugombania mamlaka hakuna Mungu aliyeingilia
 
Mleta uzi unajichanganya sana mala huamini Mungu yupo afu unatumia mifano ya Biblia. tukuelewe vipi
Kutumia Vifungu hivyo Ni ili ww unayeamini Hayo ujue Kwamba Umepotoshwa.

Kuna Mifano mingi ambayo haipo kwenye Biblia na Vifungu. Mfano ningekuambia Adam na Hawa Si Binadamu wa kwanza Ungebisha ila unajua Kaandikwa huko
 
hii ni uongo uyo mazinge wakristo munamuogopa hatariii mna anajua uongo wote uliomo kwenye biblia zenu zoooteee
Mazinge anamtafuta Mungu wa kweli amjue kiundani. Anahoji kama vile mtoa mada alivyohoji, akipata majibu ya kina kwa maswali yake anakubali kwa kuwa anakuwa amejibiwa na kuelewa. Sasa unaposema hii ni uongo bila kufafanua uongo wake ni upi unakua hujaeleweka. Ni uongo kwamba huyo videoni sio Mazinge? Ni uongo kuwa hiyo video clip imepandikizwa sauti? Ni uongo kuwa hiyo sio video clip??
 
Ivi unamjua vzr mazinge lkn? kma kabatizwa saivi anaingia msikitini au kanisani ? kumbuka kua alikua mkristo huyo alipoiona haki akaifuata
 
Ni kweli Mungu hawezi kufa wala kusinzia wala kula kma tufanyavo sisi wanadamu
Uyo yesu ety anasulubiwa huku anamuomba Mungu sasa si angejiokoa tuu

Yni ukitafakari vzr utajua kua hapa watu wamepigwa na kitu kizito sanaa
Kwanini wewe haumini Yesu aliteswa kwa ajili yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…