Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Kuna Utata mkubwa Sana Katika kuzaliwa kwa Yesu kutokana Na Maandiko ya Biblia. Ila Kwa Akili Timamu Binadamu yeyote lazima Azaliwe kwa Mifumo maalumu ya Mbegu ya Kiume kuungana Na Mbegu ya Kike Tofauti na Hapo Binadamu hawezi Kutokea
Kuna andiko linalosema alikua Mungu kamili na alikua mtu kamili.
 
Kisai Nilisha kupa mafunzo naona bado unafanya kichwa kuwa kigumu, anapoongelewa Mungu wa wakristo usiweke uelewa wako wa mungu allah , utaishia kujiuliza maswali kama unavyouliza hapa

Allah huyu hapa
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba.
Usirudie tena kuweka Allah uwezo na jinsi alivyo na Mungu wa Wakristo , wapo tofauti kabisa
Allah ni physical Being na Mungu wa Wakristo ni Roho ni nature mbili tofauti kabisa
Unaongea mashudu kwa kutumia uongo wa Sunday schools. Nyinyi ni mnaabudu Miungu mitatu.
Mwenyezi Mungu ni mmoja hana mshirika. Uabudu picha ya mzungu au huyo Yesu hiyo ni jeuri yako.
Ni huyo peke yake. Mwenyezi Mungu ndiyo huyo aliumba waislamu, shetani, malaika, makafiri n.k.
Naona jina Allah pia linakuchanganya. Lipo hata kwenye biblia ya kiarabu.
 
Waliokufa na Meli ya Mv Bukoba nani alienda Kuwaokoa!? Wanaopata Ajali kila siku huko barabarani nani huwa anaenda Kuwaokoa. Mbona Ndugu yangu Hatutumii akili ya Kawaida tu. Hakuna Siku Mungu kaenda kuokoa Viumbe wake ndugu yangu

Tumia tu Akili ndugu yangu hata Wajinga Wanaugua matumbo. Wachina Wanaugua matumbo. Washenzi wanaugua Matumbo kuugua Tumbo Ni hali ya Kawaida kwa Binadamu si kwamba Wanaougua Eti hawamjui Yesu ndio mana wanaugua

Kwani Babu zako waliokufa Kabla Ya Kumjua Huyo Mungu walikuwa hawaugui hayo Matumbo

Stori za Nuhu na Gharika wewe umezijua Juzi tu hapa Ndugu yangu baada ha Hiyo Biblia kuja Ulishawahi kusimuliwa hata na Bibi zako au Babu zako kwamba Mungu aliwaadhibu kwa Gharika. Hata Wao watakushangaa Gharika Ni Nini. Tatizo lenu mnapata Historia za Watu wengine hamuwajui mnazifanya Ndio Historia za Ulimwengu mzima. Gharika Linahusika Vipi na Wewe Mwafrika
We ni mjinga Aya historia za kwenye biblia ni za uongo we shida yako ni nin achana nazo kwani umeshikiwa fimbo uamin kinachokukera nin kwa kitu ambacho ukiamin

Huwezi pangia maisha waishi utakavyo wewe waache wanaoamini waendelee kuamini, we ambaye uamin endelea na msimamo mbona rahis sana
 
Kuna andiko linalosema alikua Mungu kamili na alikua mtu kamili.
Screenshot_2022-02-12-12-55-08-887_com.instagram.android~2.jpg
 
Si unaona Mnavyopaniki. Watu wenye ukweli huwa hawapaniki ila Waongo waongo ndio hupanic

Kama Wewe una Ukweli na Majibu ungeyatoa Sio kuita Watu Wajinga. Maana Wajinga Ni Nyie Mnaoshikilia Historia za Biblia wakati historia za Hata Ukoo wako Huzijui

Huwezi pangia maisha waishi utakavyo wewe waache wanaoamini waendelee kuamini, we ambaye uamin endelea na msimamo mbona rahis sana

Sijapangia Maisha Mtu ndugu yangu nimeongea watu watumie Akili timamu. Anayekupangia Maisha nj Mwajiri wako au Kazi yako unayofanya hiyo ndio inakupangia maisha Yako

Endelea kuamini unavyoamini ndugu yangu mie Sijakataa wala Kukuambia Usiamini ila tumia Akili zako mwenyewe Kuamini hayo unayoamini. Maana Haga Huko Mnaambiwa Sadaka zinaenda Kwa Mungu ila Ukweli ni kwamba Zinafanya Miradi ya Watu
 
Unaongea mashudu kwa kutumia uongo wa Sunday schools. Nyinyi ni mnaabudu Miungu mitatu.
Mwenyezi Mungu ni mmoja hana mshirika. Uabudu picha ya mzungu au huyo Yesu hiyo ni jeuri yako.
Ni huyo peke yake. Mwenyezi Mungu ndiyo huyo aliumba waislamu, shetani, malaika, makafiri n.k.
Naona jina Allah pia linakuchanganya. Lipo hata kwenye biblia ya kiarabu.
Allah ni tofauti kabisa na Mungu wa Wakristo , biblia ya kiarabu kama wanatumia hilo neno wanakosea sana sifa za Mungu wa wakristo amejitambulisha wazi katika Utatu

Allah huyu hapa amejitanganisha wazi kabisa na Mungu wakristo , kwa hiyo usilazimishe
NAKUKANYA HAYA HAPA NI MAANDIKO YAKO NA USIYAITE MASHUDU
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba.
Usirudie tena kuweka Allah uwezo na jinsi alivyo na Mungu wa Wakristo , wapo tofauti kabisa
Allah ni physical Being na Mungu wa Wakristo ni Roho ni nature mbili tofauti kabisa
 
Allah ni tofauti kabisa na Mungu wa Wakristo , biblia ya kiarabu kama wanatumia hilo neno wanakosea sana sifa za Mungu wa wakristo amejitambulisha wazi katika Utatu

Allah huyu hapa amejitanganisha wazi kabisa na Mungu wakristo , kwa hiyo usilazimishe
NAKUKANYA HAYA HAPA NI MAANDIKO YAKO NA USIYAITE MASHUDU
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba.
Usirudie tena kuweka Allah uwezo na jinsi alivyo na Mungu wa Wakristo , wapo tofauti kabisa
Allah ni physical Being na Mungu wa Wakristo ni Roho ni nature mbili tofauti kabisa
Kwa hiyo Yesu sio Mungu? Mungu Ni roho? Kwa hiyo hii chart inasema uongo sio?
Screenshot_2022-02-12-12-55-08-887_com.instagram.android~2.jpg
 
Kuna andiko linalosema alikua Mungu kamili na alikua mtu kamili.
Tumia akili ndugu yangu Akili yako Timamu mbona Kila kitu mpaka Uandikiwe ndugu yangu. Yaani Ww mpaka Iandikwe ndio unakubali hujui Hayo maandiko hata Mitume hawayajui

Yaani Petro alikuwa Gerezanj ila Kitabu chake kipo na Mpka Anayoyaongea huko gerezani Yameandikwa. Yaani Nabii anaota Maono halafu Mwandishi na Yeye anayajua Anayoyaota hivi ushajiuliza Hawa Waandishi walijuaje Mtu fulani Kaota.!? Na Mpaka wakaandika Maono hayo wakati hawakuambiwa hata na Huyo Nabii
 
Allah ni tofauti kabisa na Mungu wa Wakristo , biblia ya kiarabu kama wanatumia hilo neno wanakosea sana sifa za Mungu wa wakristo amejitambulisha wazi katika Utatu

Allah huyu hapa amejitanganisha wazi kabisa na Mungu wakristo , kwa hiyo usilazimishe
NAKUKANYA HAYA HAPA NI MAANDIKO YAKO NA USIYAITE MASHUDU
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba.
Usirudie tena kuweka Allah uwezo na jinsi alivyo na Mungu wa Wakristo , wapo tofauti kabisa
Allah ni physical Being na Mungu wa Wakristo ni Roho ni nature mbili tofauti kabisa
Mungu unayemuabudu wewe anazaa? Kwa hiyo akiamua anaweza kumuumba Mungu mwingine akiamua?
 
Hahahahahah Nimepitia andiko lako lote,
Nimeiona wafia Dini wamekata pumzi hawana hoja wanaishia kukushambulia tu
Kiufupi waafrika tuamke tumepigwa sana na Hekaya za Wayahudi na Waarabu

Ila Sasa wafuasi wao Akili Zao wanazijua wenyewe yaani kilichomtofautisha Yesu Mod na Zumaridi ni muda tu Mwingine alikuja zamani Mwingine kaja Sasa hivi na ila wote ni matepeli tu!
 
Allah ni tofauti kabisa na Mungu wa Wakristo , biblia ya kiarabu kama wanatumia hilo neno wanakosea sana sifa za Mungu wa wakristo amejitambulisha wazi katika Utatu

Allah huyu hapa amejitanganisha wazi kabisa na Mungu wakristo , kwa hiyo usilazimishe
NAKUKANYA HAYA HAPA NI MAANDIKO YAKO NA USIYAITE MASHUDU
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba.
Usirudie tena kuweka Allah uwezo na jinsi alivyo na Mungu wa Wakristo , wapo tofauti kabisa
Allah ni physical Being na Mungu wa Wakristo ni Roho ni nature mbili tofauti kabisa
Nyie mmeharibikiwa sana. Mungu yupo alipo hizi Vita mnazipigana Nyie kwa Nyie si Vita zenu. Viumbe wamewavuruga Kweli kweli. Allah si Mungu.. Yehova si Mungu.. Hawa walikuwa viumbe kama Wewe na Mimi walioumbwa na Mungu kwa Sababu ya Tamaa wamewatawala na Kuingia na Nyie mikataba Ambayo hamjui

Msipojua Ukweli Mtabaki Mmevurugika hivyo hivyo
 
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo.

HAPA UMENIFIKIRISHA SANA.
 
Mkuu, waswahili hawawezi kukuelewa hata kidogo.

Huenezaji wa dini ulifanyika kama mission(misioni) za kivita.
Jiulize Vatcan hawalimi, hawana resource yoyote ila kwa utajili nchi zote za Africa zikasome.
Hizi dini zina agenda zao ambazo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana hasa hasa kwenye mataifa ambayo wanayaita maskini.
Nyuma ya dini kuna biashara kubwa sana ambayo kwa macho uwezi ijua.
Africa tulikuwa na brief system yetu nzuri sana ila ikawekewa figisu hadi wazee wetu wakaiacha.
Jews andiyo master mind wa hizi dini hasa ukristu ili kufikisha ajenda zao na kuogopwa duniani eti ni taifa teule.
Tatizo kubwa sana ni hatujui vizuri Historia ya Africa ni wachache sana wanajua kuhusu Kemet.
Historia ya Africa imechakachuliwa na education system kwa makusudi kwani jamii isiyojua ilikotoka haiwezi kujua inako kwenda
Kwenye historia tunafundishwa tulitokea kwenye nyani, tukawa na maisha duni na kuanzia karne ya 17 waarabu na wazungu wakaja africa.
Historia haielezi vizuri kama kabla ya karne 17 Waafrica tulikuwa tunafanya nini.
Kuna mambo mazuri sana ya Waafrika yamefichwa kwenye historia zilizopo.
Tunaitaji tuamke tujikomboe kifkra kwanza, maana kuna watu maisha yao yote yamepotoka kwa kuamini vitu ambvyo sivyo.

Tufikirie nje ya boksi.
we umejuaje mkuu wakati ni Muafrica pia?
 
Tumia akili ndugu yangu Akili yako Timamu mbona Kila kitu mpaka Uandikiwe ndugu yangu. Yaani Ww mpaka Iandikwe ndio unakubali hujui Hayo maandiko hata Mitume hawayajui

Yaani Petro alikuwa Gerezanj ila Kitabu chake kipo na Mpka Anayoyaongea huko gerezani Yameandikwa. Yaani Nabii anaota Maono halafu Mwandishi na Yeye anayajua Anayoyaota hivi ushajiuliza Hawa Waandishi walijuaje Mtu fulani Kaota.!? Na Mpaka wakaandika Maono hayo wakati hawakuambiwa hata na Huyo Nabii
Ukifikia kwa kina kweli kuna contradiction za kutosha kwenye maandiko yetu haya, lakini haitoshei kuhitimisha moja kwa moja kwamba ni udanganyifu.

Pia kuna mbegu imepandwa ndani yetu kwa muda mrefu sana ambayo imesha mea na kustawi na kuzaa sana maishani mwetu ya neno la Mungu kupitia vitabu hivi tunavyoviongelea hapa.

Kwa hivyo haitakuwia rahisi sana kueleweka hata kama unaongea ukweli kiasi gani.

Na mimi ni mmoja wapo ambae siwezi kukuelewa kwa urahisi japo unaongea ukweli.
 
Mungu unayemuabudu wewe anazaa? Kwa hiyo akiamua anaweza kumuumba Mungu mwingine akiamua?
Kikubwa ni Kwamba Watu wanajua Ukweli ila Wanaupamba Pamba Ili kuficha Aibu. Hapo inamaanisha Hivyo hivyo kwamba Kazaa. Ila wao hawataki kusema Kazaa maana Wanajua Ukweli kwamba Mungu hana Hiyo Sifa ya Kuzaa

Ila Ukienda kwa waumini wengine Maria ni Mama wa Mungu wakimaanisha Mama Wa Yesu ambaye ndie Mungu.

Umeona Vichwa vilivyovurugwa hapa Ndugu yangu
 
we umejuaje mkuu wakati ni Muafrica pia?
Kwahiyo ukiwa Mwafrika basi Unakuwa hujui kitu.!?

Hivi unajua Kwamba afrika Ilikuwa na Hesabu zake na Herufi zake

A, be, ce, de,- A B C D Kwa leo
Mosi, Khabili, bhitatu- moja, mbili, tatu kwa leo

Akili zetu zimefumbwa kiasi kwamba Hamnajiona Hamjui kitu
 
Ukifikia kwa kina kweli kuna contradiction za kutosha kwenye maandiko yetu haya, lakini haitoshei kuhitimisha moja kwa moja kwamba ni udanganyifu.

Sawa ndugu. Mie sitaki Uniamini kwa Chochote ninachotaka jaribu kuchunguza Maandiko mnayopewa kama Yana Ukweli ki utu na Kuishi Kibinadamu. Afrika Tumeletewa Mambo mengi sana hatuwezi Walaumu wazee wetu wala mababu zetu kwanini walikubali manaa Hatujui walichopitia kumbuka Walikuwa wanauzwa kama Watumwa na Ukishakuwa Mtumwa Jua Imani yako Inabadilishwa na Kumbuka Mpaka Mnapata Uhuru watu wengi walikuwa washabadilishwa Imani zao na Kupewa Dini hizi walizonazo. Kumbuka Sidhani kama wakoloni wangekupa Kazi Kama Hujafuata Imani zao

Pia kuna mbegu imepandwa ndani yetu kwa muda mrefu sana ambayo imesha mea na kustawi na kuzaa sana maishani mwetu ya neno la Mungu kupitia vitabu hivi tunavyoviongelea hapa.

Kwa hivyo haitakuwia rahisi sana kueleweka hata kama unaongea ukweli kiasi gani.

Na mimi ni mmoja wapo ambae siwezi kukuelewa kwa urahisi japo unaongea ukweli.

Mbegu hiyo Imeshaota na Kuwa Mizizi mikubwa sana ila Ukweli Utawapa Uhuru siku Moja
 
Back
Top Bottom