Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu ni mtihani. Kwao inaelekea ukiuliza maswali unafukuzwa. Wanafuata dini kiushabiki badala ya maandiko.Kikubwa ni Kwamba Watu wanajua Ukweli ila Wanaupamba Pamba Ili kuficha Aibu. Hapo inamaanisha Hivyo hivyo kwamba Kazaa. Ila wao hawataki kusema Kazaa maana Wanajua Ukweli kwamba Mungu hana Hiyo Sifa ya Kuzaa
Ila Ukienda kwa waumini wengine Maria ni Mama wa Mungu wakimaanisha Mama Wa Yesu ambaye ndie Mungu.
Umeona Vichwa vilivyovurugwa hapa Ndugu yangu
Afrika Kulikuwa na Imani Ya Kuleta Watu katika umoja. Ila Zilipoletwa hizi Dini zilizoletwa na Malaika na Majini ndio zinatuharibu ndio maana Hakuna Umoja wamevurugika kila Siku leo Hawa Hawampendi huyu kisa Imani yake tofauti na Yeye. Sasa Huyo ni Mungu kweliKwa ujumla suala la dini ni sanaa iliyofanywa kwa umahiri mkubwa na wenzetu weupe. Ndo maana kuna mapungufu ya wazi ambayo yanaondoa sifa ya uungu.
Wanasema et kuna mung roho ,mungu Baba na nin sijui ,ndo utaskia hapo zaman kulikuwa neno Yan ni Sawa na kusema hapo zaman kulikuwa na fundi akageuka kuwa stul ,stul ikageuka kuwa fundUkitumia akili zako timamu utajua hapa Hakuna Ukweli wowote
Maana hao hao waliotunga hayo maandiko wanakuja Kusema Huyo waliomsulubu alikuwa ni Mungu. Ila Ukiwauliza Kwahiyo Binadamu walimuua Mungu hawana Jibu. Na Ukiwauliza Kwahiyo Dunia ilimuua Mungu na Ikawa haina Mungu kwa Siku 3 mfululizo hawana Jibu
Qur'an imekanusha propaganda za biblia na kusema injil ilichakachuliwa ndio maan unaona contradictions nyingi ,Qur'an imekataa yesu hajafa wala hajasulibiwa ,imekataa si mungu na bla bla kibaoKuna kundi la watu ambao hawajui lakini wanajifanya wanajua. Wewe upo kwenye Hilo kundi. Unaishambulia Biblia na kusema Ni uongo. Jiulize ni kwanini Yesu au Issa anatajwa Sana kwenye Quran?.
Tumevurugwa Sana Akili zetuWanasema et kuna mung roho ,mungu Baba na nin sijui ,ndo utaskia hapo zaman kulikuwa neno Yan ni Sawa na kusema hapo zaman kulikuwa na fundi akageuka kuwa stul ,stul ikageuka kuwa fund
Ni kweli ndugu.Sawa ndugu. Mie sitaki Uniamini kwa Chochote ninachotaka jaribu kuchunguza Maandiko mnayopewa kama Yana Ukweli ki utu na Kuishi Kibinadamu. Afrika Tumeletewa Mambo mengi sana hatuwezi Walaumu wazee wetu wala mababu zetu kwanini walikubali manaa Hatujui walichopitia kumbuka Walikuwa wanauzwa kama Watumwa na Ukishakuwa Mtumwa Jua Imani yako Inabadilishwa na Kumbuka Mpaka Mnapata Uhuru watu wengi walikuwa washabadilishwa Imani zao na Kupewa Dini hizi walizonazo. Kumbuka Sidhani kama wakoloni wangekupa Kazi Kama Hujafuata Imani zao
Mbegu hiyo Imeshaota na Kuwa Mizizi mikubwa sana ila Ukweli Utawapa Uhuru siku Moja
Ndugu yangu Ngoja nikuambie kitu Kimoja. Ambacho najua Kitakufungua Akili kidogo kama Mm unaona Naamini Uchawi.Mkuu unaonekana unaamini uchawi. kuamni uchawi na unavyoviandiaka kwenye nyuzi zako, inanifanya nikupotezee.
Ni kweli ni Ngumu Ila Ukweli umuweka Mtu huru na Kumbuka Mwenye maamuzi ni Wewe mwenyewe. Hao Kujiita Doctorate kumbuka Wapo kwenye System walioziunda Wao wenyeweNi kweli ndugu.
Tufikiri hivi labda, mimi ni muumini wa katoliki.
Elimu yangu ya kawaida ni ndogo sana naweza kusema ni darasa la saba.
Kiongozi wangu ambaye tunamwita padri ni doctorate.
Kwa maana hiyo yeye anajua mengi sana kwenye maandiko na nje ya maandiko lakini bado ana amini
Mimi ni nani hata niweze kumchallenge haswa tena kwa marejeo ya posti za hapa na.
Kweli kabisa ukisikiliza kwa kina na kutafakari kwa kina kuna walakini mwingi lakini unadhani nitakua mgeni wa nani kwenye jamii ninayo ishi iwapo nitataka kuamini vile unavyo sema ndugu yangu?
Kwa hiyo Mungu anaogopa kuchunguzwa sioHili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!
Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.
Yesu ni Mungu.
itakua akili yako ipo upogo na umekalilishwa vitu ambavyo hata waliokukalilisha hawavijuwi unaongea tu .haya kwani Paulo wakwenye biblia alikua mwema hapo awali si mnamuamini ??? Je swali mungu anaweza tuma mtu wa namna hio ???? Swali jingine mbona nyinyi pekee wa enzi hizi ndio mnamuandama kua alioa mara alibaka mtoto mdogo ,ila tukiangalia kwenye jamii yake kipindi hicho mbona tuhuma hizo amna ???? Wewe/ nyinyi mlijuaje labda mtoto anaolewa akiwa naumli gani kwenye jamii yao hebu twambieni ???? Mana Kama mnamtuhumu kua aliowa/ alibaka mtoto mdogo itakua mnajua kabisaa kwenye jamii yake wasichana walipaswa kuolewa wakiwa na umli gani ???? Kama hujuwi basi usiwe unalopoka lopoka na usioyajua ni Bora ukakaa kimyaNi kama ile wewe mwanaume unavmiaka karibia 50 unambaka mtoto wa miaka sita halafu kwa aibu eti unapotezea kwa kumuoa akiwa na miaka 9 na bado unaona sawa tu na mabilion ya waja wanakutuza hadi wanachinjana na kujitoa mhanga. Halafuu unajiona mjanjaaaa eti Mungu kakutuma. Kweli huyo ni Mungu gani wa ajabu anaweza kukutuma.
Unachanganywa na watu unaowasikiliza sio Biblia. kuhusu swali lako soma yohana 14:28 utaelewa
Aliyezaliwa sio Yesu ila ni Kristo
Jina la Yesu lilishushwa toka kwa Mungu na malaika
Mungu anafanya kazi ndani yetu kupitia roho, Mungu alikaa ndani ya Kristo kupitia
Mungu ana nafasi zake katika utendaji wake;
*Mungu ni baba katika nafasi yake ya uumbaji,
*Mungu ni mwana katika nafasi yake ya ukombozi kupitia Kristo,
*Mungu oho mtakatifu katika nafasi yake ya kutenda kazi ndani yetu
Yesu ni Mungu
Yesu Kristo Ni Mungu. Ndio maana alizaliwa kwa uweza wa Roho Mtakatifu. Na sio kwa njia ya kawaida.
Yohana 10:17-18
"Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu."
Angekufa akazikwa na kuoza ingekua joke. Siku tatu tuu alifufuka na anaishi hadi sasa duniani kote
Swali gani Hilo, mtoto aliyezaliwa na mwanadamu ni mwanadamu au mnyama?.
Sasa Mbona Kwenye Mahubiri mnawambiwa watu watachomwa Moto kama Hawatamwamini Mwana wa Mungu na Yeye tu ndio Njia ya ukweli
[emoji1787][emoji1787]Hii komenti yako imenichekesha sana.Mungu kamzaa Yesu ? So na Adam nae ni Mungu? Maana yeye hata wazazi hana!
Ngoja wajeNi mwana wa Mungu au Mungu Sielewi