Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 1,183
- 2,256
Kitabu gani nisome mzeeSoma Historia za Wazee wako na Babu zako na Jadi utajua Ukweli. Adam na Hawa si Binadamu wa Kwanza
Afrika Kulikuwa na Watu na Ulaya Pia Kulikuwa na Watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitabu gani nisome mzeeSoma Historia za Wazee wako na Babu zako na Jadi utajua Ukweli. Adam na Hawa si Binadamu wa Kwanza
Afrika Kulikuwa na Watu na Ulaya Pia Kulikuwa na Watu.
Ukitaka kuhoji kila kitu kinachomhusu Mungu utaona kama haiwezekani ila vyote kwake inawezekana...ukikataa kuzaliwa kwa yesu bila mbegu za kiume utaweza kukubali adamu kutoka kwenye udongo?Mimba Hutungwa Kwa Mwanaume na Mwanamke kukutana na Mbegu zao kuungana. Ndipo mtoto hutokea
Wewe ulifanya nini Mpaka ukamsababishia Yesu kuteswaKwanini wewe haumini Yesu aliteswa kwa ajili yako?
Huna uwezo wa kunipa mafunzo katika hili labda kwenye mambo mengine kijana. Kingine nimeuliza maswali hujibu maswali niliyo uliza unaruka ruka kuleta ujuaji na mambo usiyo kuwa na elimu nayo.Kisai Nilisha kupa mafunzo naona bado unafanya kichwa kuwa kigumu, anapoongelewa Mungu wa wakristo usiweke uelewa wako wa mungu allah , utaishia kujiuliza maswali kama unavyouliza hapa
Allah huyu hapa
Usirudie tena kuweka Allah uwezo na jinsi alivyo na Mungu wa Wakristo , wapo tofauti kabisa
- Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
- Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
- Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
- Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
- Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
- Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba.
Allah ni physical Being na Mungu wa Wakristo ni Roho ni nature mbili tofauti kabisa
Uzao wa nyoka mnawezaje kusema mambo mema, wakati ninyi ni waovu? kinywa husema mambo yaliyo jaa moyoni.ni baba ako mdogo.
Wewe ndiyo ulikimbia maswali yangu, ya kuelezea inakuwaje roho bila umbo.Usirudie tena kuweka Allah uwezo na jinsi alivyo na Mungu wa Wakristo , wapo tofauti kabisa
Allah ni physical Being na Mungu wa
Yesu alikufa kwa sababu ya dhambi zetu, kifo chake kilithibitisha kuwa mwanadamu anaweza kudumisha ushikamanifu na Mungu.Wewe ulifanya nini Mpaka ukamsababishia Yesu kuteswa
Wewe unapenda Reference za Vitabu basi Kubali Kuwa Ulikuwa Sokwe pia maana Si Vitabu vimeandikwa vya Historia ndugu yangu
Na Mungu ni Nani kama Yesu ni Mungu
Jibu swali la mdau;Kama Yesu ni Mungu Alikuwa Anaomba nini Mlimani na Wanafunzi wake. Kama Yeye ni Mungu inatakiwa asiombe Chochote
Ndugu unahisi umetumia akili yako vizuri hapo. Adam yeye ni mtoto wa nani km Yesu ni Mtoto wa pekeeKuna Mungu Mmoja aliye baba na ana mwanawe anaitwa yesu kristo
Yesu anaitwa Mungu kwa sababu kazaliwa na Mungu na karithi asili,tabia na sifa za Mungu
Uchawi na mambo ya mizimu vitu viwili tofauti, uchawi ni Imani ya kuwepo kwa nguvu isiyo ya kawaida kufanya shughuli mbalimbali, Kwa mfano, kutumia chumaulete au misukule kupata Hela kirahisi, kupaa na ungo, kurogana nk hii Imani ni ujinga sana kuiamini, inarudisha nyuma sana IQ. Kuzimu ni sehemu ambayo siyo motoni Wala mbinguni, ila wanakaa wafu kungojea hukumu, baada ya kufa na kufufuka Kwa Yesu, kilifunguliwa Hali tatu, mbinguni, motoni na toharani. Hiyo ni kadiri ya mafundisho ya kanisa katoriki, ndo kusema Sasa kuzimu haipo Tena, waliokuwa wanakaa kuzimu ndiyo mizimuNdugu yangu Ngoja nikuambie kitu Kimoja. Ambacho najua Kitakufungua Akili kidogo kama Mm unaona Naamini Uchawi.
Yesu alipopatwa na Magumu alikimbilia Kuongea na Musa na Elia ambao walikuwa si malaika wala si Mungu bali Binadamu waliowahi ishi hapa Duniani. Maana Yake ki Utu tu ni kwamba alienda Kuongea na Mizimu ya Musa na Elia
Jiulize kwanza Hilo kabla Hujaanza Kuniuliza naaminj Uchawi(ushirikina) wakati Yesu alishirikiana na Mizimu ya Musa na Elia. Kitu ambacho ww unakiona si Ushirikina. Kwanini Aongee na Musa na Elia wakati Mungu Yupo.
Tafakari hilo kwanza
Roho ambayo ipo ndani yako ina umbo?Wewe ndiyo ulikimbia maswali yangu, ya kuelezea inakuwaje roho bila umbo.
Usiwe unakimbia maswali nakurudia hoja ulizo jibiwa.
Hapa kuna kitu cha kujifunza. Umesema binadamu wa kwanza sio Adam na Hawa. Ehe, binadamu wa kwanza hapa duniani alikuwa nani?Kusoma Biblia hakuwezi kukuokoa anayekuokoa ni Binadamu mwenzako tu. Ukizama majiini utaokolewa, ukipata ajali utaokolewa, Biblia imejaa utunzi wa Binadamu
Ni bora ukakombolewa maana anayekukomboa ni Yule anayekuambia Ukweli. Kumbuka Adam na Hawa si Binadamu wa kwanza Kama Biblia inavyosema mana Adam na Hawa waliwakuta Binadamu Duniani kitu ambacho Biblia haijakisema
Ndugu unahisi umetumia akili yako vizuri hapo. Adam yeye ni mtoto wa nani km Yesu ni Mtoto wa pekee
Issue sio maswali nataka ukiri kwanza Allah na Mungu wa wakristo ni tofauti ,ndio nitaendelea na majibu , kinyume Cha hapo siwezi kukujibu maana unaleta nature ya physical being (Allah) na nature ya Spirit (Mungu wa wakristo) ambavyo ni vitu viwili tofautiWewe ndiyo ulikimbia maswali yangu, ya kuelezea inakuwaje roho bila umbo.
Usiwe unakimbia maswali nakurudia hoja ulizo jibiwa.
I am MuslimKwanini wewe haumini Yesu aliteswa kwa ajili yako?
Dah ndio maana sipendi kuwa na hela sana wala kukosa hela sana ,matokeo yake ndio kuanza kutoa maneno makufuru,Kumbuka kila neno ulinenalo utatoa hesabu(ushahid )siku ya mwisho.Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali
Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka
Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)
Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo
Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake
Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje
Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi
Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo
[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa
Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa
ASANTENI
Ndugu tumia Akili zako tu si mpaka Iandikwe kwamba Si Mungu. Hakuna sehemu aliyoandikwa ni Mungu piaJibu swali la mdau;
"Imeandikwa wapi kwamba Yesu siyo Mungu?"