ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
For a sober mind, absolutely right!They say this theory of God is only there to help y'all overcome the worst of weathers. For a sober mind, it's got a lotta holes in it.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For a sober mind, absolutely right!They say this theory of God is only there to help y'all overcome the worst of weathers. For a sober mind, it's got a lotta holes in it.
Mimba Hutungwa Kwa Mwanaume na Mwanamke kukutana na Mbegu zao kuungana. Ndipo mtoto hutokeaAliyekwambia kwamba yusufu na Mariam walikuwa wanaishi pamoja kabla ya ile mimba ni nani
Soma Historia za Wazee wako na Babu zako na Jadi utajua Ukweli. Adam na Hawa si Binadamu wa KwanzaKitabu gani kinachosema kuna watu walikuwepo kabla ya Adam?
Tumieni akili Timamu Waafrika wenzangu. Na Jueni kweli kwa Kuchunguza Mnavyoletewa mtu hawezi kukusimulia mambo Ya Viumbe wengine halafu Yeye mwenyewe hajijui ametokea wapi. Leo hii mtu anakusumulia kuhusu Israeli na makabila yake ila Yeye kabila Lake hajui limetoka wapiSimilarities, tufanyaje ili tuondoe izo brainwashing
Mkuu unaonekana unaamini uchawi. kuamni uchawi na unavyoviandiaka kwenye nyuzi zako, inanifanya nikupotezee.Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali
Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka
Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)
Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo
Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake
Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje
Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi
Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo
[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa
Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa
ASANTENI
Kwahiyo kumbe Unajua kwamba ilikuwa ni lazima uupokee Ukristo na hizo dini zingine nazo zipo zinalazima MzikubaliDini zinasambazwa kwa lazima, kuna mataifa ukiwa mkristo unakatwa kichwa mfano Afghanistan. Hivyo siyo ukristo tuu ulioenezwa kwa lazima.
Acha kutumia muda mwingi kuandika visivyoeleweka.maana hadi hapa nimegundua wewe ndiye ambaye hutaki kuelewa kilichomaanishwa kwenye biblia.badala yake inaunga unga nadharia zako ambazo hazina mantiki.
Nani kakuambia watu walikuwa hawazini na Hawana Dhambi mpaka biblia ilipokuja. Na nani kakuambia Biblia imeandika ukweli kama ingekuwa imeandika ukweli watu wasingetawanyika Kwenda kuutafutaKwa hivyo unataka kusema Biblia Ni uongo kumuita Mungu Yehovah. Kama Biblia Ni uongo endelea kufanya Uzinzi na dhambi zingine.
Luka Hakuwa Mwanafunzi wa Yesu na Wala Hakuwepo Wakati wa Yesu anahubiri ila Leo hii anakundikia Kitabu unaaminiWewe ni mvivu Sana, Mimi nakupa pale ambapo Mungu mwenyewe ana declare Luka 9:35
Kwahiyo Mungu si Mmoja tenaKasome Mwanzo 1:26, ndio ujue kuwa Mungu yupo kwenye uwingi.
Imani yako haiwezi Lega Lega kama Una ukweli ndani yako ndugu yangu. Wale wasio na Ukweli ndio wanalega lega na Kupotea Direction maana wanachokiamini hawakijui kwa Undani wakeYaani hakuna sehemu Mungu huwa anadharaulika na kutukanwa Kama jf, Kama una Imani yako imelegalega unaweza Hadi kurudi nyuma kiroho.Mungu aturehemu
Ndugu kila mmoja ana hiari ya kutangaza Imani yake ilimradi asivunje sheria. Sisi tunatangaza Imani yetu, Ni hiari yako kuiponda au kuikubali. Ila jehanamu ipo na wengi wataenda huko Kama hawakumpokea Yesu Kristo na kuishi Maisha matakatifu hapa duniani.
Nani alisema ya kuwa Yesu ni mwana wa Mungu ?Mwana wa Mungu ni Mungu au binadamu?.
Unaweza kunithibitushia hayo aliyo yasema Luka ni ya kweli ?Wewe ni mvivu Sana, Mimi nakupa pale ambapo Mungu mwenyewe ana declare Luka 9:35
Unapojadili kuhusu ukweli halafu una quote Kitabu ambacho watu wanautafuta Ukweli hawauoni kuna Leta ukakasi kidogo na Kwamba wewe mdugu yangu hutaki kutumia akili timamu
Unaposema Baba Maana Yake yeye Ni Binadamu kama Wewe maana Neno Baba Ni Mzazi wa Kiume
Hiki ndicho kitu kilichowaharibu sana Waafrika mpka mnaambuwa IQ zenu ni ndogo. Ndugu yangu hakuna kitu kikubwa kama Akili yako Timamu uliyonayo na Mungu mwenye Vyote ndie aliyekuwekea. Ukitegemea Mzungu aje ndie akutafsirie Sijui Roho gani ije Ikuingie ndio ujue Maandiko utazidi haribikiwa.Shida ya mtoa mada ni kuwa umeziamini sana Akili zako na kuona ww unauwezo mkubwa wa kuchanganua mambo na kuyaelewa..
labda tu nikwambie kitu ambacho kitafanya ujue kuwa akili uliyonayo ni ndogo sana kwa ufahamu wa mambo ya Mungu(Yesu).
hapa duniani sio watu wote wamezaliwa na baba na mama, kuna watu wengi sana wanatembea wakionekana ni watu lakin sio watu, wengine majini, wengine walozi waliovaa miili ya watu, wengne misyuka lkn wanaonekana katika hali ya mwili kabsa. so usiishi kwa kukariri...
ushauri wangu kwako:- mambo ya Mungu(Yesu) ni mambo ya kiroho kwaiyo ukitaka kuyaelewa vzr nenda kiroho zaid lakini ukienda kimwili kwa akili hizo unazozitegemea hakuna kitu utaelewa
Kwanza Hongera kwa kuwa na akili ya udadisi ( curiosity). Nilivokuelewa haimaanishi kwamba ulichokiuliza haujui ukweli No unaujua ila unajaribu kuupindisha ukweli kuwa uongo kupitia elimu na maarifa yako ya kidunia kwenye spiritual zone sehemu ambapo unamuhitaji Sana Sana sana roho mtakatifu mpaka uelewe bila hivo ni vigumu Sana.
Pamoja na hayo ila inaonesha Kuna vitu vingine kweli hufaham kwa swala la utatu wa Mungu na namna unavofanya kazi katika maisha yetu ntakueleza kwa ufupi Sana ila zaidi kasome kitabu Cha Mwanzo(Old testament) walau sura ya 1-6 ni vitu ambavyo vipo deep deep Sana then nenda kasome Mathayo ( New testament) chote kina sura 28 kwa utulivu wa Hali ya juu unaweza kuelewa Mungu akisaidie.
Ila Mwisho ya yote Mungu Ni mmoja kweli na Ni roho ambayo ina nafsi 3.....Mungu Baba,Mwana na Roho mtakatifu na ndio maana wakati wa uumbaji ilitumika nafsi ya wingi NA TUMFANYE MTU KWA MFANO WETU.
Hivo basi hiyo nafsi ya pili ya ambayo ilikuja duniani kwa njia ya mwili ili kufikisha ujumbe kwetu Sisi binadam tuache maovu na kutoa dam (sacrifice) ili tuokolewe baada ya kuwa mateka wa shetani kwa muda mrefu kumbuka bila ile damu hakuna chochote ambacho kingeweza kuleta upatanishi kati ya sisi na Mungu Baba na ndo maana hata waganga mpaka Sasa wanatumia damu ili kuingia maagano au upatanishi na nguvu za Giza,Na ndio maana jina lake Yesu likapewa nguvu na mamlaka duniani na hata mbinguni na Mungu Baba kwa kazi kubwa aliyoifanya,jiulize kwa Nini pepo ukilikemea kwa jina la Yesu linapiga kelele na kutoka utaelewa lakini tumia jina lingine lolote uone kama Kuna maajabu yeyote yatayotokea.
Na hiyo nafsi ya tatu hata wewe hapo unayo ambayo pia Ni Mungu ambayo inakuongoza kutenda yaliyo mema na kukuhukumu pale unapofanya mabaya ila huwez ukawa nayo ikiwa Kama utaendelea kuishi maisha ya dhambi na kuamini imani za kishirikina au majini au kitu kingine chochote chenye uungu ndani yake.
Mwisho nipende kukwambia ili uweze kufisha ujumbe kwa jamii au tamaduni Fulani basi Ni lazima na wewe na ile jamii (Be natural) Kama n wamasai basi vaa kimasai alafu kawape elimu watakuelewa sana ndivo ilivokuwa kwa yesu ambaye Ni Mungu nafsi ya pili ilibidi avae uhalisia wa kibanadamu ili ujumbe ufike lakini angekuja kama Mungu watu wangeogopa na wasingeelewa na kwanza hakuna ambaye angeweza kumuona kwasababu Ni Roho yenye nguvu Sana.
In short Ni hayo MUNGU AKUBARIKI.
Kwahiyo bila Kutumia Vitabu vilivyoandikwa na Binadamu wenzako wewe Akili zako pekee huziamini mpaka Upate referenceAndiko litanoga ukitujaalia Reference materials (Books, Journals, Reports, etc).
Bila hivyo hili andiko linafanana na Ramli zinginezo.