FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
-
- #361
Huwezi ukawa hujitambui Hapa Duniani unategemea utajitambua Ukifa. Utabaki kuwa ni Mzimu unaosumbua Watu na Kuzunguka Zunguka Kusiko Julikana. Maana Utabaki kuwa na Chuki kali Kwa Kizazi chako kilichokupotoshaKila mtu ashinde mechi zake hapa duniani, matokeo tutayapata baada ya maisha haya
Hata shule/chuoni hujisomei tuu kwa utaratibu unataka wewe. Kipindi cha sayansi huwezi kumwambia mwalimu nataka unifundishe hesabu kwanza. Unafuata utaratibu wa shule.hhhhhh kwaio unalazimishwa kwanza uamini hlf ndio usomeshwe imani si kulazimishana huko sasa
Katika Uislamu hatumlazimishi mtu sisi kwanza mtu anapewa elimu hlf machaguzi yake yy mwenyewe ima akubali au akatae dah nilikua silijui hili la kulazimishwa imani kwanza hhhhhh poleni bhna
Mbona unapenda kupotosha ww mm nakuletea andiko toka la mwanzo mpk aya ya 3 tuu hlf uyo anoambiwa ivo ni Muhammad peke akeHuyu hapa Allah ameshasamehe dhambi zote zilizo pita na zijazo , waislamu wapo huru kufanya dhambi wanazo penda.
Koran 48:2 That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come.....
Kwamba mtoto wa Muislam anapewa elimu kwanza ndio baadaye anaambiwa anakubali au anakataa? Na uarabuni una option ya kuukataa uislam na ukabaki salama kuishi mitaa hiyo?hhhhhh kwaio unalazimishwa kwanza uamini hlf ndio usomeshwe imani si kulazimishana huko sasa
Katika Uislamu hatumlazimishi mtu sisi kwanza mtu anapewa elimu hlf machaguzi yake yy mwenyewe ima akubali au akatae dah nilikua silijui hili la kulazimishwa imani kwanza hhhhhh poleni bhna
Ww si umesema unalazimishwa kuamini au vipi mbona maneno mengi kijanaHata shule/chuoni hujisomei tuu kwa utaratibu unataka wewe. Kipindi cha sayansi huwezi kumwambia mwalimu nataka unifundishe hesabu kwanza. Unafuata utaratibu wa shule.
Nani kakuambia kwa Mungu unakuja na uratibu wako mwenyewe? Utaratibu wake ni mwanadamu kumwamini kwanza.
Hutaki hakulazimishi na hana cha kupoteza ila wewe
Waefeso 2 (Biblia Takatifu)Kwanza Alikufa na Kufufuka kwa Ajili yangu kwanini. Kwani Mimi Nilifanya Nini mpaka Yeye aje Anifie Msalabani. Nilifanya Jambo gani mpaka Yeye aje Afe Hivyo Mie nilikuwa Afrika huku Yeye Yupo Israeli
Kuamini Kunakuja Baada ya Kuambiwa Ukweli ukisema Ukweli unaoingia Akilini watu watakuamini sana Tu.
Yaani Mtu atoke zaks Huko Uingereza au Sudani aje Aswme nimekuja Kufa Kwa Ajili yako. Si hata Ww utashangaa Utauliza kwani nimefanya Nini mpaka Uje Ufe kwa Ajili yangu
Hhhhhh sema utafsiriwe basi usiwe mzee wa copy na pasteUkitaka kujadili usiwe unampinga Muhammad , muheshimu, kati ya unabii wake kasema wazi uislamu ulianza kama kituko na utarudi kuwa kituko, ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
umeishiwa na hojaMada imeisha
Nishakujibu hili hlf kawadanganye watoto wa chekechea sio sisi tunoujua Uislamu wetuAllah kasema ameshawasamehe dhambi zilizo pita na mtakazo fanya , mbona bado mnaenda msikitini kutubu?
48:2 That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come.....
Jua vzr tulipotoka hlf ndo uandike unotka kuandikaKwamba mtoto wa Muislam anapewa elimu kwanza ndio baadaye anaambiwa anakubali au anakataa? Na uarabuni una option ya kuukataa uislam na ukabaki salama kuishi mitaa hiyo?
Ukristo na uislam hupata waumini wengi bila kupewa elimu kwanza maana wengi hupata dini utotoni
Luka 4:16-20Sasa huo mkusanyiko uyo Yesu wenu hakuusoma alishushiwa injili tu na Mungu wake
hlf kaangalie kwenye iyo biblia yako Maana ya hekalu hlf utanambia uyo Yesu alikua anaswali wapi na nyinyi mnaswali wapi
Jua vzr tulipotoka hlf ndo uandike unotka kuandika
Lakini umeona andiko lako nililolijibu?Jua vzr tulipotoka hlf ndo uandike unotka kuandika
Kijana kupotosha maana hakutakusaidia kitu kijana. Kwani kuandika Uislamu ulianza kuwa mgeni na utaondoka ukiwa mgeni kama ulivyo anza. Ungepungukiwa nini kuandika hivi ?Ukitaka kujadili usiwe unampinga Muhammad , muheshimu, kati ya unabii wake kasema wazi uislamu ulianza kama kituko na utarudi kuwa kituko, ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
Unataka kusema Muhammad tu ndo alikabiziwa leseni ya kufanya dhambi?Mbona unapenda kupotosha ww mm nakuletea andiko toka la mwanzo mpk aya ya 3 tuu hlf uyo anoambiwa ivo ni Muhammad peke akeView attachment 2138202
Acha uongo na upotoshaji na hakuna aliposema unayomlishaHhhhhh sema utafsiriwe basi usiwe mzee wa copy na paste
Uislamu umeanza kma mgeni yni watu walikua wanaabudu masanamu sasa kila wakiletewa kitu wanaona ni kipya na utarudi ivo ivo yni hpa kati watakuja watu kuuharibu hlf pia watakuja watu kuusafisha kma vile mwanzo ulivokuja sasa lete hoja zenye mashiko kijana
hlf m sijaona neno kituko ila chuki zako tu izo
Hii ni leseni ya kufanya dhambi mmepewa na huwezi bisha hili, ila kwa kutumia uongo wa takiya unawezaNishakujibu hili hlf kawadanganye watoto wa chekechea sio sisi tunoujua Uislamu wetu
Mariam Yeye alizaa nini Sasa Kama Mungu wako Keshamzaa Yesu
Sasa aliyekuambia Yesu ni binadamu ni nani? Maandiko yenyewe yanasema alikuwa tu mfano wa binadamuKuna Utata mkubwa Sana Katika kuzaliwa kwa Yesu kutokana Na Maandiko ya Biblia. Ila Kwa Akili Timamu Binadamu yeyote lazima Azaliwe kwa Mifumo maalumu ya Mbegu ya Kiume kuungana Na Mbegu ya Kike Tofauti na Hapo Binadamu hawezi Kutokea
Ungefuatilia niliye mjibu ungeelewa , yeye alidai uislamu watu wanaongezeka , nikamkanya asipingane na Muhammad kasemKijana kupotosha maana hakutakusaidia kitu kijana. Kwani kuandika Uislamu ulianza kuwa mgeni na utaondoka ukiwa mgeni kama ulivyo anza. Ungepungukiwa nini kuandika hivi ?
Au ulianza ukiwa mdogo na kuondoka ukiwa mdogo. Shida hapo iko wapi ?
Kwani Yesu yeye alianzaje kulingania Injili ? Alikuwa na watu wangapi ? Wanafunzi wake walikuwa wangapi ? Hii ndiyo tabia ya haki na ukweli huanza nayo wachache na hubaki nayo wachache, sababu kuishika dini ni kama umeshika kaa la moto, linataka uvumilivu na kujitoa hasa.
Kijana huna hoja.
Mbona hujajibu nilivokutolea aya 3 zaidi untka kupotosha ummah kma huna facts kaa kimyaaaAcha uongo na upotoshaji na hakuna aliposema unayomlisha
Maneno ya muhammad yapo wazi
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159