FamousinTown
Member
- Aug 15, 2021
- 61
- 37
Mungu ni Mmoja wa pekee hana mbadala wala mshirika rudi ktk sheria za Mungu Ndimi muabudu bwana Mungu wako wala usimshirikishe na mwingine wala hana mshirika ,hao washirika watatu na Mungu mnawatoa wapi ?Wewe Ni dhehebu gani mpaka useme Yesu sio Mungu?. Msingi wa Ukristo Ni utatu Mtakatifu. Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu. Kama huamini hilo wewe utakuwa sio mkristo Bali dini nyingine au cult.
Basi, akawaambia, “Nendeni ulimwenguni kote mkahubiri Habari Njema kwa kila mtu. Basi, Bwana Yesu alipokwisha sema nao, akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.
Marko 16:15, 19
kama Marko hakuwa ni Mtume wa Yesu Je! una uhakika Gani Aliyoyaandika Ndio kayasema Yesu. Maana Yesu Aliwachukua Mitume Wake Ndio akaenda Nao.. Halafu hao Mitume hawakuandika Chochote ila Marko ambaye hajulikani ndio kaja Kuandika hilo swala Linaingia akilini kweli..Sasa hapo unaona kabisa Yesu ndo alisema na Marco ndo kaandika, sasa ulitaka iandikwaje?
Basi, akawaambia, “Nendeni ulimwenguni kote mkahubiri Habari Njema kwa kila mtu. Basi, Bwana Yesu alipokwisha sema nao, akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.
Marko 16:15, 19
Mi sina swali.. Wewe ndio ukatafakari Kuhusu Hao Waandishi unaowakubali waliandika Maneno Ya Yesu
Mweusi haitaji dini.Hao wanaoslimu kwa kasi ni wap?
Leta ushahid
Ili Mtu aelewe Jambo Lazima Atafsiriwe kwa Lugha anayoielewa ndugu. Ndio maana Makanisani Yalitafsiri hizo Biblia mpka za Vi lugha zipoAlaf pia kua unajaribi na kusoma bible ya kingereza kuona tofauti unapokua na doubt na neno fulan
Kiswahili chetu hiki unakijua
Hata tunge tafsiri quran kwa kiswahili error kama hizi ungezina so unatakiwa urefer kutoka kwenye original before translated
Ila pamoja na error za tafsiri sizani kama inaondoa maana halisi
Hacha utoto ndugu yangu.Hao wanaoslimu kwa kasi ni wap?
Leta ushahid
Mwandishi Anaweza Andika Chochote ajisikiacho au Alichosikia kwa Wengine hata Kama Ni Uongo. Ila Kama Angekuwepo Wakati wa Yesu anasema Asingeweza Andika UongoKuna nini cha kutafakari kuhusu hao waandishi?
Hicho unakijuwa wewe, mimi sikifahamu. Mbona unaandika kijinga jinga unafikiri wote tunaelewa ujinga uliojazwa nao?Kitabu peke ambacho kuna aya zililiwa na mbuzi
Mweusi haitaji dini. Nahlf mtume hajasema itarudi kua ndogo bali itarudi ngeni kma ilivokuja
kma huelewi sema ueleweshwe ujuaji sio mzuri
hao walokuleteeni iyo.dini.saivi wanasilimu kwa kasi uko
Hacha utoto ndugu yangu.
Hao wanaoslimu kwa kasi ni wap?
Leta ushahid
Ndugu kama Mungu Aliumba Binadamu wote inakuwaje Mnajinasibu na Dini kuliko Umoja wa Watu.? Kwanini uone Uislamu ni bora Kuliko Kujinasibu watu waje pamoja Kwa Umoja haijalishi Ni Dini ganiEurope’s Growing Muslim Population
Muslims are projected to increase as a share of Europe’s population – even with no future migration
Source: Muslim Population Growth in Europe
Yesu hakupewa Biblia ya waandishi wengi ,Bali alipewa Injili
Mwenzako hapa anaongea kitu Cha maana na wewe unaongea ujinga tu embu acheni kuitetea ujinga watu weusiHicho unakijuwa wewe, mimi sikifahamu. Mbona unaandika kijinga jinga unafikiri wote tunaelewa ujinga uliojazwa nao?
Sasa si ujuha huo, "narrated" unafahamu maana yake?Mwenzako hapa anaongea kitu Cha maana na wewe unaongea ujinga tu embu acheni kuitetea ujinga watu weusi
it was narrated that Aishas Said "The verse of Stoning and of breastfeeding an adults ten times was revealed and the paper was with my under my pillow when the messenger of Allah died we were preoccupied with his death and a tame sheep came and ate it..."
-Sunan ibn majjah 1944
Kwa hio Ina maana waislamu wameandika uongo dhidi ya uislamu [emoji23][emoji23][emoji23] Kuna vitu vingine watu weusi tutumie akili basi na hizi Dini zenu za michongoSasa si ujuha huo, "narrated" unafahamu maana yake?
Hizo "paper" zilitoka wapi wakati huo? Ujuha mwengine hauna hata maana. Mnajazwa ujinga nanyi kwa kuwa ni mapoyoyo mnajazika tu ujinga, kiulaini kabisa.
Wapelekeeni upuuzi huo wajinga wenzenu.
Mwandishi Anaweza Andika Chochote ajisikiacho au Alichosikia kwa Wengine hata Kama Ni Uongo. Ila Kama Angekuwepo Wakati wa Yesu anasema Asingeweza Andika Uongo
Kumbuka Yesu alijua Kusoma Na Kuandika ila Hakuwahi kuacha Maandiko
Kwanini iwe Waislam? Maandiko ulete wewe useme "Waislam"?Kwa hio Ina maana waislamu wameandika uongo dhidi ya uislamu [emoji23][emoji23][emoji23] Kuna vitu vingine watu weusi tutumie akili basi na hizi Dini zenu za michongo
Itqan (juzuu ya pili Uk. 32) utaona imeandikwa kuwa imepokewa kwa Nafi kwamba Ibn Umar amesema "Huenda mmoja wenu akasema kwamba ameichukua Qur’an yote (ukweli ni kwamba ) Qur’an nyingi imetoweka lakini aseme nimeichukua sehemu iliyodhihiri (niliyoipata)".
Sehemu nyingine Iko wapi?
Sisi watu weusi tu wajinga kuliko watu wote