Kwani Mimi ndo nimeandika punguza wehu basi Kwa hio Mimi nikinukuu Aya flani ndani ya Quran nikaileta hapa inakuwa Mimi ndo nimeandikaKwanini iwe Waislam? Maandiko ulete wewe useme "Waislam"?
Wewe unauamini Uislam?
Na wapi kwenye Biblia Yesu ametamka kuwa yeye ni Mungu ? Rejea pia Ufunuo 3:12 pale Yesu mwenyewe akimtaja Mungu wake.Imeandikwa wapi kwamba Yesu siyo Mungu?
Mimi sijataka maelezo marefu mkuu hata sijui hayo yote yanatoka wapi, nimeuliza kuwa huo mtindo wenu wa jinsi wa kuishi una ubora gani tofauti na mitindo mengine ya kuishi? Na nikaomba tu unieleze kwa ufupi huo utaratibu wa kuabudu.Uwanja Ni wako Uliza Maswali upendavyo sijakukataza. Kikubwa Nimekushauri kwamba Si kila Jambo lina Majibu mafupi yatakayoweza Kuandikwa Tu humu Yakamalizika.. Na Kumbuka binadamu Pia Tuna kazi Si Kila Saa Nitakuwa naandika Ila Ukipewa sehemu ya Kujifunza Utapata Uwanja mpana wa Kujifunza. Ndio mana Nikatolea Mfano Dini Zote zina mahala pa Kwenda kujifunzia (madrasa.. Sunday school) n. K n. K
Nimeshakupa Madokezo kazi kwakoMimi sijataka maelezo marefu mkuu hata sijui hayo yote yanatoka wapi, nimeuliza kuwa huo mtindo wenu wa jinsi wa kuishi una ubora gani tofauti na mitindo mengine ya kuishi? Na nikaomba tu unieleze kwa ufupi huo utaratibu wa kuabudu.
Basi ni hivyo tu, nakupa nafasi ya watu kujua hiyo elimu uliyonayo ila unakuwa haujiamini.
Marko hapa Anasema HiviJe katika kusoma kwako umeona uongo upi?
Wewe unanukuu kitu usichokiamini wala kukijuwa kama si wehu ni nini huo? Upumbavu?Kwani Mimi ndo nimeandika punguza wehu basi Kwa hio Mimi nikinukuu Aya flani ndani ya Quran nikaileta hapa inakuwa Mimi ndo nimeandika
Marko hapa Anasema Hivi
Basi, Bwana Yesu alipokwisha sema nao, akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.
Kumbuka Marko hajawahi Muona Yesu.. Wala Kusikia Akiongea na Mitume, ila Anakuandikia hivyo na mpaka Anasema Amekaa Upande wa Kulia Wa Mungu
Akili yako finyu ndo ilokufikisha apoMweusi haitaji dini. Na
Hakuna dini ya kweli duniani.
Kuna makanisa mangapi yanogeuzwa misikiti huko Ulaya au hulijui hilo?Hao wanaoslimu kwa kasi ni wap?
Leta ushahid
Hhhhhhh Unajua maana ya Uislamu ww au unajisemea tuu? hebu tafuta neno Uislamu na ukristo maaa yake hlf tuleteeKukua kwa kasi hapo nisawa na kuongelea developing country na developed country, kukua kwa kac haimaanishi utampita yule aliyeshakua
Kitu kinachonikera kuhusu hiyo dini yenu
Ugaidi
Kuforce watu wengine waamini wanachokiamin nyie
Na kukosoa imani za wengine
Wengi wenu huku hamfundishi bali mnaicrash bible
Wakat bible imekuwepo miaka 600 kabla ya huyo mtume wenu ndio maana bible hauijazungumzia kuhusu quran
Lakin quran imezungumzia machache ambayo pia yanapatikana kwenye bible
Ni bora ww ulipata nafac ya kusoma bible kwa lugha yenu na kuielewa ili uikosoe ingeandika kiebrania sijui ungekua unasema nn saa iz
Ss hatujui kiarabu bhana na Mungu wetu anajua kusoma na kusikia lugha zote
Ulishaambiwa huna akili,mabadiliko yoyote ni lazima katika jamii hata hao wazungu hawakuanza tu from no where wakavaa nguo advanced bali nao walivaa magome na kupitia hatua mbalimbali za uboreshaji hadi kufikia nguo bora za sasa kama ilivyokuwa kwa Waafrika ambao pia walianza na magome wakaadvance ktk ubora hatua kwa hatua hadi waloloni walipoleta zao,ndiyo maana kuna mawazi yanatoka Afrika yanauzwa ulaya na kwa bei kubwa tu kama nguo za asili za Afrika.Hoja si ni kwamba hizi dini ni mpya na za kuletewa hivyo si bora kama imani za kale za wazee wetu ambazo ni asili yetu? Kila jamii ilikuwa na imani zake za asili hivyo hata waarabu wanaweza kusema uislamu ulikuja kuvunja imani na tamaduni za mababu zao huko za tangu kale na wazungu pia ni hivyo hivyo kwa ukristo, sasa ni ajabu imani za mababu zako ndio uone ni bora ila mavazi yao umeachana nayo wakati ni sehemu ya tamaduni pia.
Mavazi ya wazungu umevaa badala ya kuvaa mavazi ya tamaduni yako ila et kwenye imani ndio ujifanye hutaki vya kuletewa.
Umenitusi[emoji848][emoji848]Akili yako finyu ndo ilokufikisha apo
kma nchi ina katiba ambayo unatakiwa uifuate kma Raia kwanini alotuumba asitupe Muongozo tuufuate? ukikaa kwa Makini utagundua Ukweli
Kumbe wewe Ni mfuata dini.[emoji57][emoji57]Hhhhhhh Unajua maana ya Uislamu ww au unajisemea tuu? hebu tafuta neno Uislamu na ukristo maaa yake hlf tuletee
Kuhusu Ugaidi
Katika dunia hii ni nani walofanya machafuko ya hatari kma sio wakristo? Nani alovamia iraq,libya,syria,japan na nchi nyinginezo mma sio hao walokuleteeni dini ambao pia wakuu wao wapo kwenye nchi hizo,embu twambie Nani alofanya yote hayo?
Uislamu haujaamrisha watu kufanya Ugaidi bali hao ni watu ambao wamelishwa imani mbovu jpo watasema wao ni waislamu lkn Muislamu aloshiba imani ya kiislamu hawezi kufanya ayo mambo
kwanini umeekewa katiba katika nchi.yako?Umenitusi[emoji848][emoji848]
Nakwambia kuanzia leo ivi, izo dini unazo ziona Ni kwa sababu yakukuburuza wewe mtu mweusi na kupotosha ukweli.
Manabii wote walikua weusi, Tena wa bantu Kama wewe, na hawakuitaji dini.
Dini ililetwa kwa ajili ya wapumbavu wa kwetu na wa kwao.
Ata wazazi wana dini ila ww unajitia hamnazoKumbe wewe Ni mfuata dini.[emoji57][emoji57]
Nilifkiri mmeisha Kwisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Swali gani ili wewe??[emoji23][emoji23]kwanini umeekewa katiba katika nchi.yako?
Unajua ukijibu tu nishakukamata pakubwa sana we lijibu kma ww m.me kweliSwali gani ili wewe??[emoji23][emoji23]
Mwaya nisikusumbue na Mimi nilikua ivoAta wazazi wana dini ila ww unajitia hamnazo
Nakushangaa[emoji54][emoji54]Unajua ukijibu tu nishakukamata pakubwa sana we lijibu kma ww m.me kweli
We jibu basi mbona longolongo nyingiNakushangaa[emoji54][emoji54]
Dini to katiba how[emoji23][emoji23]