Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Kwanini iwe Waislam? Maandiko ulete wewe useme "Waislam"?

Wewe unauamini Uislam?
Kwani Mimi ndo nimeandika punguza wehu basi Kwa hio Mimi nikinukuu Aya flani ndani ya Quran nikaileta hapa inakuwa Mimi ndo nimeandika
 
Uwanja Ni wako Uliza Maswali upendavyo sijakukataza. Kikubwa Nimekushauri kwamba Si kila Jambo lina Majibu mafupi yatakayoweza Kuandikwa Tu humu Yakamalizika.. Na Kumbuka binadamu Pia Tuna kazi Si Kila Saa Nitakuwa naandika Ila Ukipewa sehemu ya Kujifunza Utapata Uwanja mpana wa Kujifunza. Ndio mana Nikatolea Mfano Dini Zote zina mahala pa Kwenda kujifunzia (madrasa.. Sunday school) n. K n. K
Mimi sijataka maelezo marefu mkuu hata sijui hayo yote yanatoka wapi, nimeuliza kuwa huo mtindo wenu wa jinsi wa kuishi una ubora gani tofauti na mitindo mengine ya kuishi? Na nikaomba tu unieleze kwa ufupi huo utaratibu wa kuabudu.

Basi ni hivyo tu, nakupa nafasi ya watu kujua hiyo elimu uliyonayo ila unakuwa haujiamini.
 
Nimeshakupa Madokezo kazi kwako
 
Je katika kusoma kwako umeona uongo upi?
Marko hapa Anasema Hivi

Basi, Bwana Yesu alipokwisha sema nao, akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.

Kumbuka Marko hajawahi Muona Yesu.. Wala Kusikia Akiongea na Mitume, ila Anakuandikia hivyo na mpaka Anasema Amekaa Upande wa Kulia Wa Mungu
 
Kwani Mimi ndo nimeandika punguza wehu basi Kwa hio Mimi nikinukuu Aya flani ndani ya Quran nikaileta hapa inakuwa Mimi ndo nimeandika
Wewe unanukuu kitu usichokiamini wala kukijuwa kama si wehu ni nini huo? Upumbavu?
 
Marko hapa Anasema Hivi

Basi, Bwana Yesu alipokwisha sema nao, akachukuliwa mbinguni, akaketi upande wa kulia wa Mungu.

Kumbuka Marko hajawahi Muona Yesu.. Wala Kusikia Akiongea na Mitume, ila Anakuandikia hivyo na mpaka Anasema Amekaa Upande wa Kulia Wa Mungu

Kwa mujibu wako Yesu kakaa wapi uko mbinguni
 
Mweusi haitaji dini. Na
Hakuna dini ya kweli duniani.
Akili yako finyu ndo ilokufikisha apo
kma nchi ina katiba ambayo unatakiwa uifuate kma Raia kwanini alotuumba asitupe Muongozo tuufuate? ukikaa kwa Makini utagundua Ukweli
 
Hao wanaoslimu kwa kasi ni wap?
Leta ushahid
Kuna makanisa mangapi yanogeuzwa misikiti huko Ulaya au hulijui hilo?
Ata uyo Gwajima wenu alishakiri hili kua Ulaya yootee itakuja kua Islamic state

M nakushauri tafuta ukweli mna ukweli upo wazi kabisaaaaView attachment 2145243
Screenshot_20220310-082245_Chrome.jpg
 
Kukua kwa kasi hapo nisawa na kuongelea developing country na developed country, kukua kwa kac haimaanishi utampita yule aliyeshakua

Kitu kinachonikera kuhusu hiyo dini yenu
Ugaidi
Kuforce watu wengine waamini wanachokiamin nyie
Na kukosoa imani za wengine

Wengi wenu huku hamfundishi bali mnaicrash bible

Wakat bible imekuwepo miaka 600 kabla ya huyo mtume wenu ndio maana bible hauijazungumzia kuhusu quran
Lakin quran imezungumzia machache ambayo pia yanapatikana kwenye bible

Ni bora ww ulipata nafac ya kusoma bible kwa lugha yenu na kuielewa ili uikosoe ingeandika kiebrania sijui ungekua unasema nn saa iz
Ss hatujui kiarabu bhana na Mungu wetu anajua kusoma na kusikia lugha zote
Hhhhhhh Unajua maana ya Uislamu ww au unajisemea tuu? hebu tafuta neno Uislamu na ukristo maaa yake hlf tuletee

Kuhusu Ugaidi
Katika dunia hii ni nani walofanya machafuko ya hatari kma sio wakristo? Nani alovamia iraq,libya,syria,japan na nchi nyinginezo mma sio hao walokuleteeni dini ambao pia wakuu wao wapo kwenye nchi hizo,embu twambie Nani alofanya yote hayo?

Uislamu haujaamrisha watu kufanya Ugaidi bali hao ni watu ambao wamelishwa imani mbovu jpo watasema wao ni waislamu lkn Muislamu aloshiba imani ya kiislamu hawezi kufanya ayo mambo
 
Hoja si ni kwamba hizi dini ni mpya na za kuletewa hivyo si bora kama imani za kale za wazee wetu ambazo ni asili yetu? Kila jamii ilikuwa na imani zake za asili hivyo hata waarabu wanaweza kusema uislamu ulikuja kuvunja imani na tamaduni za mababu zao huko za tangu kale na wazungu pia ni hivyo hivyo kwa ukristo, sasa ni ajabu imani za mababu zako ndio uone ni bora ila mavazi yao umeachana nayo wakati ni sehemu ya tamaduni pia.

Mavazi ya wazungu umevaa badala ya kuvaa mavazi ya tamaduni yako ila et kwenye imani ndio ujifanye hutaki vya kuletewa.
Ulishaambiwa huna akili,mabadiliko yoyote ni lazima katika jamii hata hao wazungu hawakuanza tu from no where wakavaa nguo advanced bali nao walivaa magome na kupitia hatua mbalimbali za uboreshaji hadi kufikia nguo bora za sasa kama ilivyokuwa kwa Waafrika ambao pia walianza na magome wakaadvance ktk ubora hatua kwa hatua hadi waloloni walipoleta zao,ndiyo maana kuna mawazi yanatoka Afrika yanauzwa ulaya na kwa bei kubwa tu kama nguo za asili za Afrika.

Ujinga ulionao unashindwa kujiuliza kwanini dini za aglican ambayo asili yake ni UK iko chini ya malikia elizabeth kama mkuu wao na roma iko chini ya pope kama kiongozi wao na wote hao ni wazungu ambao hawana undugu na huyo yesu wenu.

Leo wewe unajiita mrc au muanglikana kupitia yesu na kuacha asili yako ya babu na bibi zako,unaakili wewe?
 
Akili yako finyu ndo ilokufikisha apo
kma nchi ina katiba ambayo unatakiwa uifuate kma Raia kwanini alotuumba asitupe Muongozo tuufuate? ukikaa kwa Makini utagundua Ukweli
Umenitusi[emoji848][emoji848]
Nakwambia kuanzia leo ivi, izo dini unazo ziona Ni kwa sababu yakukuburuza wewe mtu mweusi na kupotosha ukweli.
Manabii wote walikua weusi, Tena wa bantu Kama wewe, na hawakuitaji dini.
Dini ililetwa kwa ajili ya wapumbavu wa kwetu na wa kwao.
 
Hhhhhhh Unajua maana ya Uislamu ww au unajisemea tuu? hebu tafuta neno Uislamu na ukristo maaa yake hlf tuletee

Kuhusu Ugaidi
Katika dunia hii ni nani walofanya machafuko ya hatari kma sio wakristo? Nani alovamia iraq,libya,syria,japan na nchi nyinginezo mma sio hao walokuleteeni dini ambao pia wakuu wao wapo kwenye nchi hizo,embu twambie Nani alofanya yote hayo?

Uislamu haujaamrisha watu kufanya Ugaidi bali hao ni watu ambao wamelishwa imani mbovu jpo watasema wao ni waislamu lkn Muislamu aloshiba imani ya kiislamu hawezi kufanya ayo mambo
Kumbe wewe Ni mfuata dini.[emoji57][emoji57]
Nilifkiri mmeisha Kwisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Umenitusi[emoji848][emoji848]
Nakwambia kuanzia leo ivi, izo dini unazo ziona Ni kwa sababu yakukuburuza wewe mtu mweusi na kupotosha ukweli.
Manabii wote walikua weusi, Tena wa bantu Kama wewe, na hawakuitaji dini.
Dini ililetwa kwa ajili ya wapumbavu wa kwetu na wa kwao.
kwanini umeekewa katiba katika nchi.yako?
 
Back
Top Bottom