cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Kwahiyo wasiomwabudu yesu hawataenda mbinguni kwa akili yako?Bibie Faiza umezidiwa hoja.
Ushauri
Mkiri Yesu, ubatizwe, upate uzima wa milele katika yeye.
BILA YESU MBINGUNI HUTOBOI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wasiomwabudu yesu hawataenda mbinguni kwa akili yako?Bibie Faiza umezidiwa hoja.
Ushauri
Mkiri Yesu, ubatizwe, upate uzima wa milele katika yeye.
BILA YESU MBINGUNI HUTOBOI
Unaongea kitu baada ya kufikiri na kutafakari au unaongea tu kwa kuwa ulizaliwa na kulishwa hivyo hadi ukubwani mwako.Kwasabu yesu alituokoa bila kumuua shetan! Kwahiyo tunayeshatani! Ujue kuwa yesu alikuja kuwaokoa wanadam kwakua walikua hawamjui mungu kabisa yaan empty head kuhusu mungu baada ya kutufia msalaban na shetan bado yupo sasa binadam tunatenda thambi huku tukijijua kabisa hii nu dhambi! Lakini kama ukiamua kutotenda dhambi wewe siyo mdhambi
Hapa ndipo ujinga wetu waafrika unajitokeza neno na yesu au Mungu ni vitu tofauti kabisa.
Hivi uliwahi kujiuliza kwanini biblia iliwekwa kimafumbo????
Kitabu cha kuwaongoza watu ni vyema kiwekwe wazi
neno=Mungu wapi imesema yesu ni Mungu kwahiyo na waislam nao mohamad ni Mungu?
Acheni Uafrika uliopitiliza!!!
Kwahiyo wasiomwabudu yesu hawataenda mbinguni kwa akili yako?
Kwa taarifa yenu wanaomuabudu Mungu wa kweli pasipo kupitia kwa hao yesu na muhamad ndiyo watakaouona Ufalme wa mbinguni.
Bila shaka kabisa.
Wewe umejuaaje Kuna Mungu wa kweli ?Kwa taarifa yenu wanaomuabudu Mungu wa kweli pasipo kupitia kwa hao yesu na muhamad ndiyo watakaouona Ufalme wa mbinguni.
Bila shaka kabisa.
Akili za binaadamu si kama mashine hivyo tunatofautiana kwenye uelewa wewe unaweza kuelewa hivi na mwengine vile, mfano wewe akili yako imekubaliana na hayo yote unayoyaeleza humu kuhusu mungu ila mwengine ataona unayoeleza haya make sense kabisa.Ndugu akili yako Timamu ndio kipimo cha Ukweli. Kwani Ulipoambiwa Wewe ulikuwa Nyani ulikubaliana nao!?
Akili yako ilipochambua Ukaoona Hakuna Ukweli humo ukaachana Na Hiyo Mambo
Sawa Ndugu Unawexa Kufanya Hivyo ila Akili Timamu za Watu ndizo zitakazochambua Dini uliyoianzisha ina Ukweli gani ili waifuate. Maana Kuna Maswali lazima Watauliza
Mungu aliyemtuma mwanae au ndio yeye mwenyewe alijituma? ukisema Mungu aliyemtuma mwanae ndio Mungu pekee wa kweli maana yake huyo aliiyetumwa(Yesu kristo) si Mungu wa kweli ila wa kweli ni yule tu aliyemtuma.Miungu ni wengi mzee, Mungu wa pekee wa kweli ni aliyemtuma mwanawe Yesu Kristo . Wengine wote ni wa mchongo
Mungu aliyemtuma mwanae au ndio yeye mwenyewe alijituma? ukisema Mungu aliyemtuma mwanae ndio Mungu pekee wa kweli maana yake huyo aliiyetumwa(Yesu kristo) si Mungu wa kweli ila wa kweli ni yule tu aliyemtuma.
Mungu anaweza yote, ni mwenye nguvu kuliko kiumbe chochote, mungu hajibu popote yeye ndo mkuu. Kulikuwa na haja gani ya kusumbuka hivyo kutusamehe dhambi huku ye ndo mkubwa kwanini asinge samehe tuKuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali
Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka
Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)
Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo
Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake
Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje
Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi
Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo
[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa
Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa
ASANTENI
Ni wewe ndiye uliyesema mimi nauliza tu.Wewe wasema
Uhai wake ulitakiwa kutumika kulipa madeni uetu ya dhambi sasa kwanini tena alifufuka alitakiwa kufa mazimaYohana 10:17-18
"Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu."
Angekufa akazikwa na kuoza ingekua joke. Siku tatu tuu alifufuka na anaishi hadi sasa duniani kote
Siioni hoja, naona viroja. Swali nililomuuliza yeye ntakuuliza wewe.Bibie Faiza umezidiwa hoja.
Ushauri
Mkiri Yesu, ubatizwe, upate uzima wa milele katika yeye.
BILA YESU MBINGUNI HUTOBOI
Ndiyo, alioa pacha wake Luluwa.Ndiyo tunaambiwa kain akaoa[emoji2] hivi alimuoa ndugu yake au?
Ndio ndugu. Ndio maana Nikatanguliza Neno Akili Timamu. Kila Mtu ana Akili Zake ila si Kila Mtu ana Akili TimamuAkili za binaadamu si kama mashine hivyo tunatofautiana kwenye uelewa wewe unaweza kuelewa hivi na mwengine vile, mfano wewe akili yako imekubaliana na hayo yote unayoyaeleza humu kuhusu mungu ila mwengine ataona unayoeleza haya make sense kabisa.
Ndicho nilichouliza Ndugu yangu. Aliogopa Nini au Sisi Anatuogopa Nini Mpaka Atutolee Sadaka Ya MwanaeMungu anaweza yote, ni mwenye nguvu kuliko kiumbe chochote, mungu hajibu popote yeye ndo mkuu. Kulikuwa na haja gani ya kusumbuka hivyo kutusamehe dhambi huku ye ndo mkubwa kwanini asinge samehe tu
Kwahiyo wewe unayeamini hivyo unavyoamini ndio una akili timamu na wasioamini unavyoamini wewe hawana akili timamu?Ndio ndugu. Ndio maana Nikatanguliza Neno Akili Timamu. Kila Mtu ana Akili Zake ila si Kila Mtu ana Akili Timamu
Sijasema ninayoamini Mm ndio ukiyaamini ndio unakuwa na Akili Timamu. Akili Timamu ni Uwezo wa Kuchambua ukweli na Uongo katika Jambo Lolote Linalokuja kwako.Kwahiyo wewe unayeamini hivyo unavyoamini ndio una akili timamu na wasioamini unavyoamini wewe hawana akili timamu?