FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
- #841
Umeongea Mengi swali Langu Kuu ni Hili kama Ilikuwa Sacrifice ya Dhambi.Kuna vitu vingi hujui kuhusu sadaka......kasome law of karma.... everything in this world require a sacrifice.
Ndo maana tokea zamani manabii kam mussa, Ibrahim na wengine walitoa sadaka, yale hayakuwa maigizo, it's the universe law since then.....na hata sisi kutoka katika adhabu za dhambi ilibidi sadaka itolewe.....hata unavyoona sas tunaishi hivi ni matokeo ambayo yalishafanyika ya kulipia dhambi zetu....
My friend you have to understand how the universe work then connect na mungu....ndo maana masomo ya history yanafundishwa mashuleni.
Je Dhambi hizo Huna Sasa Hivi!? Wanadamu hawana Dhambi Leo Hii au Ni Dhambi gani Yeye aliitolea Sadaka?