Barakate I have
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 736
- 664
Zouloula 100. YouTubeWe jibu basi mbona longolongo nyingi
Atakutoa ujinga wa dini,
Mtafute haraka.
Nikusaidiana, nafkiri hutofia dini tenaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zouloula 100. YouTubeWe jibu basi mbona longolongo nyingi
Huu ni unabii alitoa muhammad miaka 1400 iliyopita,Kuna makanisa mangapi yanogeuzwa misikiti huko Ulaya au hulijui hilo?
Ata uyo Gwajima wenu alishakiri hili kua Ulaya yootee itakuja kua Islamic state
M nakushauri tafuta ukweli mna ukweli upo wazi kabisaaaaView attachment 2145243View attachment 2145244
Ndio maana nikakwambia kuwa hata huko kwa wazungu nako walikuwa na imani za mababu zao kabla ya ukristo. Mabadiliko hayapo kwenye kutoka kuvaa magome tu hadi kuvaa jeans na suti bali kuna mengi tu tumepokea mabadiliko, na hata haya mambo ya imani si kila walichokuwa wanaamini hao mababu zako kilikuwa sahihi na ndio maana kuna imani na mila potofu nyingi tunazipiga vita sasa hivi ambazo zilikuwa za mababu na bibi zako.Ulishaambiwa huna akili,mabadiliko yoyote ni lazima katika jamii hata hao wazungu hawakuanza tu from no where wakavaa nguo advanced bali nao walivaa magome na kupitia hatua mbalimbali za uboreshaji hadi kufikia nguo bora za sasa kama ilivyokuwa kwa Waafrika ambao pia walianza na magome wakaadvance ktk ubora hatua kwa hatua hadi waloloni walipoleta zao,ndiyo maana kuna mawazi yanatoka Afrika yanauzwa ulaya na kwa bei kubwa tu kama nguo za asili za Afrika.
Ujinga ulionao unashindwa kujiuliza kwanini dini za aglican ambayo asili yake ni UK iko chini ya malikia elizabeth kama mkuu wao na roma iko chini ya pope kama kiongozi wao na wote hao ni wazungu ambao hawana undugu na huyo yesu wenu.
Leo wewe unajiita mrc au muanglikana kupitia yesu na kuacha asili yako ya babu na bibi zako,unaakili wewe?
We ni juha kila jamii lazima ingekutana na mabadiliko kulingana na mazingira waliyopo na muda hivyo Waafrika nao wangepitia mabadiliko mbalimbali hadi kufikia kutambua mila na tamaduni mbaya wakaziacha,je ni tamaduni zipi ambazo wewe umevutiwa nazo za kizungu hadi ukaacha zako?Ndio maana nikakwambia kuwa hata huko kwa wazungu nako walikuwa na imani za mababu zao kabla ya ukristo. Mabadiliko hayapo kwenye kutoka kuvaa magome tu hadi kuvaa jeans na suti bali kuna mengi tu tumepokea mabadiliko, na hata haya mambo ya imani si kila walichokuwa wanaamini hao mababu zako kilikuwa sahihi na ndio maana kuna imani na mila potofu nyingi tunazipiga vita sasa hivi ambazo zilikuwa za mababu na bibi zako.
Sasa usilete habari za mababu na bibi zako na ukataka tuzifute kisa ni mababu zako hata kama ni za kipuuzi.
Hakuna kilichorukwa, hizo tunazoita kuwa ni imani potofu ni kwa sababu ya mabadiliko ila kama tungezing'ang'ani tu kama ambavyo wewe unataka kwa kigezo cha asili za mababu zako basi pia tungeendelea kuwa nazo hadi sasa. Elewa ys kwamba kuwa si kila walichoamini babu na bibi ni sahihi kisa ni asili yako hivyo huwezi kuniambia nifuate imani fulani kisa tu ilikuwa ni imani za mababu zangu kitu kuwa asili ya mababu haina maana ni sahihi wao waliamini waliyoamini kwenye kipindi chao na ndio maana mengine umeona ni imani potofu.We ni juha kila jamii lazima ingekutana na mabadiliko kulingana na mazingira waliyopo na muda hivyo Waafrika nao wangepitia mabadiliko mbalimbali hadi kufikia kutambua mila na tamaduni mbaya wakaziacha,je ni tamaduni zipi ambazo wewe umevutiwa nazo za kizungu hadi ukaacha zako?
Huwezi ukaruka stage then ukawa salama kama ulivyo wewe sasa uache mila zako eti kwa kuwa zina mapungufu urukie za wazungu,nani ukurekebishie zako,huo ndiyo UJUHA sasa ulio nao,mzungu hatoboresha au kusifia mila za kiafrika hata siku moja utambue hilo,ebo!!
Kuwa muelewa na mdadisi,ni wapi nimekwambia ufuate yote ya mababu zako lama siyo uongo?Hakuna kilichorukwa, hizo tunazoita kuwa ni imani potofu ni kwa sababu ya mabadiliko ila kama tungezing'ang'ani tu kama ambavyo wewe unataka kwa kigezo cha asili za mababu zako basi pia tungeendelea kuwa nazo hadi sasa. Elewa ys kwamba kuwa si kila walichoamini babu na bibi ni sahihi kisa ni asili yako hivyo huwezi kuniambia nifuate imani fulani kisa tu ilikuwa ni imani za mababu zangu kitu kuwa asili ya mababu haina maana ni sahihi wao waliamini waliyoamini kwenye kipindi chao na ndio maana mengine umeona ni imani potofu.
Kwahiyo njoo na hoja za kueleza ubora na mazuri kwa hayo waliyoamini mababu ila sio kuja kuniambia nifuate tu waliyoyaamini kisa ni mababu zangu huo utakuwa ni upuuzi sasa.
Kuna makanisa mangapi yanogeuzwa misikiti huko Ulaya au hulijui hilo?
Ata uyo Gwajima wenu alishakiri hili kua Ulaya yootee itakuja kua Islamic state
M nakushauri tafuta ukweli mna ukweli upo wazi kabisaaaaView attachment 2145243View attachment 2145244
Tunatofautiana mitazamo mimi naamini katika dini na si katika imani za mababu (na nimekwambia hata waarabu na wazungu walikuwa na imani za mababu zao kabla ya dini) ila wewe unaamini katika imani za mababu.Kuwa muelewa na mdadisi,ni wapi nimekwambia ufuate yote ya mababu zako lama siyo uongo?
Unatakabkusema wewe na wenzako mmewafuata wazungu kwa sababu mila zao hazina mapungufu na kwasababu mila za babu zako zina mapungufu?
Tatizo ni huelewi umekutwa wapi na umeachwa wapi na wakoloni siku ukielewa utabadilika tu hata ubatizo wakobkuuona ni batili.
Kuuondoa ukoloni mamboleo vichwani mwenu ni ngumu sana kwani mmezaliwa nao na hamjijui kuwa ni watumwa wa kifikira kwa sasa,huwezi kukombolewa kabla hujawa na wazo la kujikomboa,ni ujinga!!!
Tujadili kwanza Andiko la Marko tusiende Mada Ya Pili. Marko hakuwa Mwanafunzi wa Yesu wala Hakushuhudia Chochote ila Amekuandikia hivyo. Yaani hadi Kamuona Yupo upande wa Kulia Wa Mungu wakati hata Yesu Hakusema HiloKwa mujibu wako Yesu kakaa wapi uko mbinguni
Tujadili kwanza Andiko la Marko tusiende Mada Ya Pili. Marko hakuwa Mwanafunzi wa Yesu wala Hakushuhudia Chochote ila Amekuandikia hivyo. Yaani hadi Kamuona Yupo upande wa Kulia Wa Mungu wakati hata Yesu Hakusema Hilo
Na Kama Yesu kwako ni Mungu Inakuwaje Akakae tena Kwa Mungu. Upande wa Kulia wakati ushasema Mungu ni Mmoja akikaa Upande wa Kulia Tayari wapo Wawili hapo
Halafu Kukaa ni Sifa Ya Viumbe.. Hujui kwamba Wewe una makalio ndio maana unakaa. Mungu hana Sifa ya Kukaa Mana Si Kiumbe
Hajakaa Upande wowote ule wa Mungu. Maana Mungu hakai na Viumbe wake.Acha kuruka ruka, tuambie wewe Yesu yuko upande gani uko mbinguni maana unasema Marko ni mwongo.
Hajakaa Upande wowote ule wa Mungu. Maana Mungu hakai na Viumbe wake.
Wewe ndio una ruka ruka Ndugu Unaingiza Mada ya Pili kwa Kuamini Kwamba Alichokiandika Marko ni Sawa wakati Marko mwenyewe hujui ni Nani na Alitoka wapi mpaka yeye akamuona Yesu Yupo Upande huo
Kaka usiseme huo uongo TENA
imeandikwa
Matendo ya Mitume : 7 : 55 - Lakini yeye akijaa Roho Mtakatifu, akakaza macho yake, akitazama mbinguni, akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kuume wa Mungu.
Matendo ya Mitume : 7 : 56 - Akasema, Tazama! Naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Tunajadili Marko au Matendo ya Mitume.? Au hujui kwamba Hata Matendo ya Mitume mwandishi wake Hakuwa Mwanafunzi wala Mtume wa Yesu.
Mbona Mnazidi jipotosha Ndugu zangu
Hakuna Mwandishi aliyewahi Fika Mbinguni ndugu yangu akamuona Yesu kakaa Upande Huo Unawezaje Kuwaamnini Waandishi wa Marko au Matendo ya Mitume ambao wameandika Biblia miaka 70 mbele baada ya YesuTunajadili Yesu alipo mbinguni, Waandishi wa biblia wameweka wazi, wewe unapinga bila maandiko.
Kina nani hao walioandika biblia bwana?kwahiyo we kinachokufanya uamiji ni kwasababu maandiko yamesema siyo kea sababu maandiko ni ya ukeeli?Tunajadili Yesu alipo mbinguni, Waandishi wa biblia wameweka wazi, wewe unapinga bila maandiko.
Hakuna Mwandishi aliyewahi Fika Mbinguni ndugu yangu akamuona Yesu kakaa Upande Huo Unawezaje Kuwaamnini Waandishi wa Marko au Matendo ya Mitume ambao wameandika Biblia miaka 70 mbele baada ya Yesu
Hao Waandishi wa Biblia Unawaamnini vipi wakati hawakuwahi kuwa na Yesu wala Kumuona Yesu? Halafu wanakusimulia wewe vitu mpka Vya Sirini alivyofanya Yesu akiwa na Wanafunzi wake Tu.
Yaani ni Sawa na Historia ya Ukoo wako Inasimuliwa na Mzungu kutoka Ulaya. Halafu Ndugu zako wa Karibu hawajawahi hata Kukusimulia Chochote unawakatalia Unamkubali zaidi mzungu aliyetoka ulaya.
Hao ni Waandishi waliokuja Kuandika hizo injili Miaka 70 baada ya Yesu.
Kina nani hao walioandika biblia bwana?kwahiyo we kinachokufanya uamiji ni kwasababu maandiko yamesema siyo kea sababu maandiko ni ya ukeeli?
Mpaka leo hujaweka maandiko yako tuyasome , wewe ni kupinga tu maandiko ya wengineHakuna Mwandishi aliyewahi Fika Mbinguni ndugu yangu akamuona Yesu kakaa Upande Huo Unawezaje Kuwaamnini Waandishi wa Marko au Matendo ya Mitume ambao wameandika Biblia miaka 70 mbele baada ya Yesu
Hao Waandishi wa Biblia Unawaamnini vipi wakati hawakuwahi kuwa na Yesu wala Kumuona Yesu? Halafu wanakusimulia wewe vitu mpka Vya Sirini alivyofanya Yesu akiwa na Wanafunzi wake Tu.
Yaani ni Sawa na Historia ya Ukoo wako Inasimuliwa na Mzungu kutoka Ulaya. Halafu Ndugu zako wa Karibu hawajawahi hata Kukusimulia Chochote unawakatalia Unamkubali zaidi mzungu aliyetoka ulaya.
Hao ni Waandishi waliokuja Kuandika hizo injili Miaka 70 baada ya Yesu.
Maelezo yapo tayari. Ww ndio umedandia kwa mbele ndugu.Mpaka leo hujaweka maandiko yako tuyasome , wewe ni kupinga tu maandiko ya wengine
na nilishakwa mbia ukitaka kuelewa jambo, elewa kwanza imani ya mtu ndio u challenge
weka link ya kitabu chako nikisome