Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Kuna makanisa mangapi yanogeuzwa misikiti huko Ulaya au hulijui hilo?
Ata uyo Gwajima wenu alishakiri hili kua Ulaya yootee itakuja kua Islamic state

M nakushauri tafuta ukweli mna ukweli upo wazi kabisaaaaView attachment 2145243View attachment 2145244
Huu ni unabii alitoa muhammad miaka 1400 iliyopita,
Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
 
Ulishaambiwa huna akili,mabadiliko yoyote ni lazima katika jamii hata hao wazungu hawakuanza tu from no where wakavaa nguo advanced bali nao walivaa magome na kupitia hatua mbalimbali za uboreshaji hadi kufikia nguo bora za sasa kama ilivyokuwa kwa Waafrika ambao pia walianza na magome wakaadvance ktk ubora hatua kwa hatua hadi waloloni walipoleta zao,ndiyo maana kuna mawazi yanatoka Afrika yanauzwa ulaya na kwa bei kubwa tu kama nguo za asili za Afrika.

Ujinga ulionao unashindwa kujiuliza kwanini dini za aglican ambayo asili yake ni UK iko chini ya malikia elizabeth kama mkuu wao na roma iko chini ya pope kama kiongozi wao na wote hao ni wazungu ambao hawana undugu na huyo yesu wenu.

Leo wewe unajiita mrc au muanglikana kupitia yesu na kuacha asili yako ya babu na bibi zako,unaakili wewe?
Ndio maana nikakwambia kuwa hata huko kwa wazungu nako walikuwa na imani za mababu zao kabla ya ukristo. Mabadiliko hayapo kwenye kutoka kuvaa magome tu hadi kuvaa jeans na suti bali kuna mengi tu tumepokea mabadiliko, na hata haya mambo ya imani si kila walichokuwa wanaamini hao mababu zako kilikuwa sahihi na ndio maana kuna imani na mila potofu nyingi tunazipiga vita sasa hivi ambazo zilikuwa za mababu na bibi zako.

Sasa usilete habari za mababu na bibi zako na ukataka tuzifute kisa ni mababu zako hata kama ni za kipuuzi.
 
We ni juha kila jamii lazima ingekutana na mabadiliko kulingana na mazingira waliyopo na muda hivyo Waafrika nao wangepitia mabadiliko mbalimbali hadi kufikia kutambua mila na tamaduni mbaya wakaziacha,je ni tamaduni zipi ambazo wewe umevutiwa nazo za kizungu hadi ukaacha zako?

Huwezi ukaruka stage then ukawa salama kama ulivyo wewe sasa uache mila zako eti kwa kuwa zina mapungufu urukie za wazungu,nani ukurekebishie zako,huo ndiyo UJUHA sasa ulio nao,mzungu hatoboresha au kusifia mila za kiafrika hata siku moja utambue hilo,ebo!!
 
Hakuna kilichorukwa, hizo tunazoita kuwa ni imani potofu ni kwa sababu ya mabadiliko ila kama tungezing'ang'ani tu kama ambavyo wewe unataka kwa kigezo cha asili za mababu zako basi pia tungeendelea kuwa nazo hadi sasa. Elewa ys kwamba kuwa si kila walichoamini babu na bibi ni sahihi kisa ni asili yako hivyo huwezi kuniambia nifuate imani fulani kisa tu ilikuwa ni imani za mababu zangu kitu kuwa asili ya mababu haina maana ni sahihi wao waliamini waliyoamini kwenye kipindi chao na ndio maana mengine umeona ni imani potofu.

Kwahiyo njoo na hoja za kueleza ubora na mazuri kwa hayo waliyoamini mababu ila sio kuja kuniambia nifuate tu waliyoyaamini kisa ni mababu zangu huo utakuwa ni upuuzi sasa.
 
Kuwa muelewa na mdadisi,ni wapi nimekwambia ufuate yote ya mababu zako lama siyo uongo?

Unatakabkusema wewe na wenzako mmewafuata wazungu kwa sababu mila zao hazina mapungufu na kwasababu mila za babu zako zina mapungufu?

Tatizo ni huelewi umekutwa wapi na umeachwa wapi na wakoloni siku ukielewa utabadilika tu hata ubatizo wakobkuuona ni batili.

Kuuondoa ukoloni mamboleo vichwani mwenu ni ngumu sana kwani mmezaliwa nao na hamjijui kuwa ni watumwa wa kifikira kwa sasa,huwezi kukombolewa kabla hujawa na wazo la kujikomboa,ni ujinga!!!
 
Kuna makanisa mangapi yanogeuzwa misikiti huko Ulaya au hulijui hilo?
Ata uyo Gwajima wenu alishakiri hili kua Ulaya yootee itakuja kua Islamic state

M nakushauri tafuta ukweli mna ukweli upo wazi kabisaaaaView attachment 2145243View attachment 2145244

Fuatilia upya 90 % ya uislam mnaosema unakua kwa kasi ulaya ni wakimbizi kutoka nchi za kiarabu
Waumini wapya sio wengi kiivo bali wame move kutoka makwao kwenda ulaya
 
Kuwa muelewa na mdadisi,ni wapi nimekwambia ufuate yote ya mababu zako lama siyo uongo?

Unatakabkusema wewe na wenzako mmewafuata wazungu kwa sababu mila zao hazina mapungufu na kwasababu mila za babu zako zina mapungufu?

Tatizo ni huelewi umekutwa wapi na umeachwa wapi na wakoloni siku ukielewa utabadilika tu hata ubatizo wakobkuuona ni batili.

Kuuondoa ukoloni mamboleo vichwani mwenu ni ngumu sana kwani mmezaliwa nao na hamjijui kuwa ni watumwa wa kifikira kwa sasa,huwezi kukombolewa kabla hujawa na wazo la kujikomboa,ni ujinga!!!
Tunatofautiana mitazamo mimi naamini katika dini na si katika imani za mababu (na nimekwambia hata waarabu na wazungu walikuwa na imani za mababu zao kabla ya dini) ila wewe unaamini katika imani za mababu.

Mambo ya mababu zetu ni mengi si imani tu kwahiyo yapo ambayo tunayafuata kwa kuona uzuri wake kama baadhi ya tiba za mitishamba tunatumia kwa sababu ya ufanisi wake.
 
Kwa mujibu wako Yesu kakaa wapi uko mbinguni
Tujadili kwanza Andiko la Marko tusiende Mada Ya Pili. Marko hakuwa Mwanafunzi wa Yesu wala Hakushuhudia Chochote ila Amekuandikia hivyo. Yaani hadi Kamuona Yupo upande wa Kulia Wa Mungu wakati hata Yesu Hakusema Hilo

Na Kama Yesu kwako ni Mungu Inakuwaje Akakae tena Kwa Mungu. Upande wa Kulia wakati ushasema Mungu ni Mmoja akikaa Upande wa Kulia Tayari wapo Wawili hapo

Halafu Kukaa ni Sifa Ya Viumbe.. Hujui kwamba Wewe una makalio ndio maana unakaa. Mungu hana Sifa ya Kukaa Mana Si Kiumbe
 
Acha kuruka ruka, tuambie wewe Yesu yuko upande gani uko mbinguni maana unasema Marko ni mwongo.
 
Hajakaa Upande wowote ule wa Mungu. Maana Mungu hakai na Viumbe wake.

Wewe ndio una ruka ruka Ndugu Unaingiza Mada ya Pili kwa Kuamini Kwamba Alichokiandika Marko ni Sawa wakati Marko mwenyewe hujui ni Nani na Alitoka wapi mpaka yeye akamuona Yesu Yupo Upande huo
 
Kaka usiseme huo uongo TENA
imeandikwa
Matendo ya Mitume : 7 : 55 - Lakini yeye akijaa Roho Mtakatifu, akakaza macho yake, akitazama mbinguni, akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo ya Mitume : 7 : 56 - Akasema, Tazama! Naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
 
Hatujamaliza Marko umekimbilia Matendo ya Mitume. Ndugu huoni Hao wote waandishi si Mitume wa Yesu na Waliandika Mambo wasiyoyajua Na Wewe kwa Akili yako Unakubaliana Nao. Wao wamekuandikia Yesu kakaa Upande wa Kuume wa Mungu. Hawakiwa Mitume wa Yesu hata Na Wala Hawakuwahi kumuona Wala Yesu hajawahi kuwataja Sehemu halafu ww ndio unaamini.

Sasa Kama Wamekuandikia amekaa mkono wa Kuume. Utaiteteaje Pointi yako ya Mungu Ni Mmoja wakati kumbe Kuna Mmoja Yupo katikati na Mwingine yupo Upande wa Kuume?

Tatizo Unatumia Maandiko sehemu ya Kutumia Akili yako Timamu ndio maana Baadhi ya Maswali yatakushinda Kujibu kwa Kutumia tu Akili yako mwenyewe huwezi mpaka Ukakopi maandiko
 
Tunajadili Yesu alipo mbinguni, Waandishi wa biblia wameweka wazi, wewe unapinga bila maandiko.
Hakuna Mwandishi aliyewahi Fika Mbinguni ndugu yangu akamuona Yesu kakaa Upande Huo Unawezaje Kuwaamnini Waandishi wa Marko au Matendo ya Mitume ambao wameandika Biblia miaka 70 mbele baada ya Yesu

Hao Waandishi wa Biblia Unawaamnini vipi wakati hawakuwahi kuwa na Yesu wala Kumuona Yesu? Halafu wanakusimulia wewe vitu mpka Vya Sirini alivyofanya Yesu akiwa na Wanafunzi wake Tu.

Yaani ni Sawa na Historia ya Ukoo wako Inasimuliwa na Mzungu kutoka Ulaya. Halafu Ndugu zako wa Karibu hawajawahi hata Kukusimulia Chochote unawakatalia Unamkubali zaidi mzungu aliyetoka ulaya.

Hao ni Waandishi waliokuja Kuandika hizo injili Miaka 70 baada ya Yesu.
 
Kina nani hao walioandika biblia bwana?kwahiyo we kinachokufanya uamiji ni kwasababu maandiko yamesema siyo kea sababu maandiko ni ya ukeeli?
 
Hakuna Mwandishi aliyewahi Fika Mbinguni ndugu yangu akamuona Yesu kakaa Upande Huo Unawezaje Kuwaamnini Waandishi wa Marko au Matendo ya Mitume ambao wameandika Biblia miaka 70 mbele baada ya Yesu

Hao Waandishi wa Biblia Unawaamnini vipi wakati hawakuwahi kuwa na Yesu wala Kumuona Yesu? Halafu wanakusimulia wewe vitu mpka Vya Sirini alivyofanya Yesu akiwa na Wanafunzi wake Tu.

Yaani ni Sawa na Historia ya Ukoo wako Inasimuliwa na Mzungu kutoka Ulaya. Halafu Ndugu zako wa Karibu hawajawahi hata Kukusimulia Chochote unawakatalia Unamkubali zaidi mzungu aliyetoka ulaya.

Hao ni Waandishi waliokuja Kuandika hizo injili Miaka 70 baada ya Yesu.

Mada imeisha
 
Mpaka leo hujaweka maandiko yako tuyasome , wewe ni kupinga tu maandiko ya wengine
na nilishakwa mbia ukitaka kuelewa jambo, elewa kwanza imani ya mtu ndio u challenge
weka link ya kitabu chako nikisome
 
Maelezo yapo tayari. Ww ndio umedandia kwa mbele ndugu.
 
Back
Top Bottom