Nimefuatilia mtiririko wa majibizano yetu sijaona popote ulipotaja neno KITU... Mada inamhusu Mungu na dhambi na nimekujibu kwenye mtiririko huo lakini ukaja kuingiza mambo mapya majani na mimea na sasa umeingiza jingine jipya 'KITU'Wewe si nmekuuliza sifa za kitu kuwa hai ni nini?umesema kiwe na roho.
Sasa mbn unasema tena miti ina uhai ila sio roho?
Kifo ni adhabu ambayo Mungu amemuwekea BinadamuNgoja nijaribu kufikiria kama nimeelewa target ya swali lako
Kwamba Mungu alikuwa sahihi kuwaangamiza hao watu kwasababu walikuwa na hatia?
Vipi kama nikikupa mkasa mwingine unao onesha kuna watu pia waliwahi kuangamizwa na Mungu bila hatia ikiwemo watoto wadogo?
Reaction yako itakuwaje?
Kifo ni tofauti na dhambi au kosaKifo ni adhabu ambayo Mungu amemuwekea Binadamu
saya 55:8-9Wakulungwa vipi?
Kuna swali huwa linanitatisha.
Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.
Na mungu ana free will.
Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
Isaya 55:8-9Kwahyo mungu hawezi kutenda chochote?
Je yeye akiamua kunidanganya ili anipotoshe, ataweza au hawezi?Kwa tafsiri yako utaona unadanganywa.Kwake itakuwa anakuelekeza kwa njia mbadala.
Sijatoka kwenye mstari.Nimefuatilia mtiririko wa majibizano yetu sijaona popote ulipotaja neno KITU... Mada inamhusu Mungu na dhambi na nimekujibu kwenye mtiririko huo lakini ukaja kuingiza mambo mapya majani na mimea na sasa umeingiza jingine jipya 'KITU'
Najua unataka kupanua mjadala lakini jitahidi usitoke kwenye mstari..
Hiyo inahusiana nini na mada?saya 55:8-9
Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mawazo yangu si kama mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu. Kama vile mbingu zilivyo mbali na dunia, ndivyo njia zangu zilivyo mbali na zenu, na mawazo yangu mbali na mawazo yenu.
Hakika umesema kwamba unaweza kutenda dhambi. Hivyo katika vitu usivyoweza ni kutenda dhambi.Okay, kumbe kuna vitu mimi binadamu naweza ila Mungu hawezi.
Kama kutenda dhambi.
Pamoja chief.
Aah, lakini nmefanikiwa kulipata hilo jambo ambalo naweza kumzidi mungu au sio?Hakika umesema kwamba unaweza kutenda dhambi. Hivyo katika vitu usivyoweza ni kutenda dhambi.
Kile kitendo cha Hawa kutafuna tunda kilikuwa ni kumuunga mkono muasi mkuu ambaye aliamua kutaka kumzidi Mungi na hatimaye alifukuzwa kutoka Mbinguni na akaja kumshawishimwanadamu awe na akili kama zako leo. Yaani akili za kutafuta jambo unaloweza kulifanya kumzidi Mungu
Mungu akusamehe dhambi zako
Je unaweza kujichomeka gunzi kalioni?Aah, lakini nmefanikiwa kulipata hilo jambo ambalo naweza kumzidi mungu au sio?
Mimi nina free will na free choice ya kufanya mema au mabaya.
ila Mungu hana free choice maana HAWEZI kufanya mabaya.
Basi mimi ni kiumbe bora kuliko mungu
Yeye anaweza...Mungu je ataweza?Je unaweza kujichomeka gunzi kalioni?
Mungu anaweza?Je unaweza kujichomeka gunzi kalioni?
Punguza dhihakaYeye anaweza...Mungu je ataweza?
Hakuna sehemu ninadhihaki...au nini maana ya dhihaka?Punguza dhihaka
OkHakuna sehemu ninadhihaki...au nini maana ya dhihaka?