Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
- Thread starter
-
- #41
Sijaulizia kuwajibishwa.Kama ni hivyo inakuwaje Mungu atende dhambi? Yeye hawajibiki kwa yoyote wala chochote yuko juu ya kila kitu.
Jibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Hana loloteKwahyo jibu ni ndiyo mungu anatenda dhambi?
Mungu ni roho sio mwiliMimi naamini dhambi inawahusu viumbe wote wenye akili timamu.
Mungu sio kiumbe hivyo dhambi haipo kwenye daraja lake.
Roho ni nini?Mungu ni roho sio mwili
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Mkuu umezungumza japo kwa uchungu sanaKwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.
Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.
Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Jibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Kwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.
Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.
Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Jibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Atende asitende, kwake sio dhambi! Hayo hayamhusuAnao uwezo wa kutenda dhambi akiamua?
Yes/No
Sasa kama yeye ndo mwandishi wa dhambi zako, kitabu anacho yeye, atajiandikaje kwa mfano? Na nani ambaye atamhukumu wakati hukumu ndo anatoa yeye?Au yeye akifanya dhambi haihesabiki?
Kwa hiyo unajenga hoja kusema Mungu hufanya mauaji kwa watu wenye dhambi tu na sio kwa watu wasio na hatia?Eze 18:20 SUV
Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.
Watu wa Sodoma walitenda dhambi , ambao hawakutenda dhambi walipona kwenye Gharika
Una ushahidi wowote kuonesha Mungu anaexist, mkuu?Unakufuru utalaanika kiburi Cha uzima hicho. Mungu hawezi tenda dhambi
AiseeKwa mujibu wa vitabu vya dini, Mungu amewahi kuua si mara moja wala si mtu mmoja.
ameua maelfu kwa maelfu.
Na bado hajaishia hapo ameandaa moto wa Jehanamu awachome wanadamu.
Mungu ni katili sana. hatupaswi kumnyenyekea katili hata kidogo
Kwenda kinyume na sheria hilo ni kosa, dhambi ni kwenda kinyume na MunguKwenda kinyume cha sheria
[emoji419]Pitia K Vant nakuja kulipia
Mkuu, sasa hivi huko bar gani nije kukupa kampani?[emoji23][emoji23]Hapana sio tafsiri yake kwakuwa kuna sheria kandamizi.
Dhambi ni jambo lolote lile la kuwaza, la kunena na la kutenda ambalo.
Halimuumizi mhusika ama wengine/vingine.
Halimharibu mhusika wala wengine/vingine.
Halina madhara yoyote yale kwa mhusika wala kwa wengine na vingine
1Samwel 15:3Kwa hiyo unaje.ga hoja kusema Mungu hufanya mauaji kwa watu wenye dhambi tu na sio kwa watu wasio na hatia?
Vipi kuhusu Samweli 15:3