Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

Ebu nipe Namba yake nifanye vetting na pilot test kidogo,nihakiki usalama 😁
 
Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwishaaa...nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa...nilikufa nikazikwa nikaozaaa mapenzi yalitesa nimefufukaa...
Alisikika akiimba kijana mmoja barobaro [emoji1787]
Naongezea "siku hizi hakuna mahaba Ila upwiru unakaba koo" "
 
Madegree makubwa mawili, nyie ni watu wakubwa sana mkuu.

Naamini anataka wote mjifunze, angekuwa anayo mawili na wewe huna hata ya kusingiziwa..ningesema anakung'ong'a...ila kwa hayo madegree mpo vizuri.

Mahusiano mema mkuu, ila asikunyime papa, wadada walioenda shule kidogo wanazifungia sana papa zao kwa wapenzi wao...sijui wanazifungia kwa nini.
Usimpotoshe mashahada mawili 🤣na hisia za moyo kuna uhusiano gani? mkuu🤔Kila fani na professional inacourse chuo ama shule lakini hakuna chuo/shule inayofundisha ndoa
 
Mwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Haya maneno ni ya Adamu kabisaa tena akasema ni nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu ila alichokifanya hakiwezi kusahaulika, sasa tungekuwa tunaishi na simba, chui tembo angekuwa rafiki yangu na tungekuwa hatufi, nadhani unapaswa kumuombea kila siku na wewe umpende sanaaa. Alaf nikuulize usije ukawa umeoa mwaka jana hahahha, ngoma bado mbichi wacha waseme walio na miaka 20 hahas
 
Dogo bado mchanga sana. Chukua hii shule;
Alipaswa aseme hivi:
"Nisamehe mume wangu, sikukusudia kukukosea."
Ukiangalia in 6 dimensions hayo maneno yake ya mwanzo ni kama kejeli, sio msamaha.. anasema "kama", so haamini kama kakukosea.
"Ukiwa na Mb nakuomba jifunze" ... Kwa hiyo dogo kuna muda unakuwa huna Mb, si ndio? Sawa.
Maneno "nakuomba jifunze" ni maneno ya mtu mjivuni sana, kimsingi hajakuomba, that's a command brother. Alipaswa aseme "Nitafurahi tukijifunza zaidi kuhusu...." Kwenye kujifunza yeye keshagraduate ndo mana kajitoa, na wewe hamna unachojua, badala ya kuongeza ujuzi anakwambia ujifunze, sivyo? Freshi.
Then neno nakupenda halina hisia kama hajakuita jina zuri. Nakupenda whichi ipo plain ivoo? Haina mayai wala kachumbari 😆.. She had to say "nakupenda mume wangu/mpenzi wangu/kipenzi changu"
Naungana na wadau wanaosema hako katoto ni kajuaji; unyenyekevu zero(0%).
That's your headache, endelea kumeza panado taratiibu, hakunaga aliyekamilika.
Hahaha kaka kama unachambua soka
 
Back
Top Bottom