Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Weka ndani uone mziki wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha uyu ni mtu wa kujifunza sanaMwanamke anajua yote hayo, usikute huyo anaweza hata kuchambua mpira!!
Bro hao viumbe wana wananjia nyingi za kukuzodoa so mimi nasubili milioHahaha acha wivuu
😁😁Sawa mkuu,nawatakia kheri maana mapenzi hayana mwongozo ila Yana kanuniMwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Hivi Muongozo Ndio Formula 😜 au ni system
Tàtizo huwezi kufirisika, ungekuja na ushuhuda hapa, mimi ni shuhuda ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu,Hahahaha wivu
“Ukipata Mb” ?Inaonekana ana dharau,🤔
Huyo hajui Kwamba hawasomeki haoSubiri azae Kwanza utajuta kukutana nae
Amkabidhi kabisa na nwira za bank acMapema unaanza kujisifu? Na mtaachana tu 😁😁
Kwanza ukisoma concept ya vision board na daily affirmations kwa mbaaaaaali ni kama amemwambia "hujui unataka nini"ndio maana unaona ameomba samahani "kama" amemuudhi“Ukipata Mb” ?
Fala sana 😂😂😂Sukari kwenye nanasi umetia wewe?
🤜🏾🤛🏾Kwanza ukisoma concept ya vision board na daily affirmations kwa mbaaaaaali ni kama amemwambia "hujui unataka nini"ndio maana unaona ameomba samahani "kama" amemuudhi