Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

Mkuu kama vipi tufanye mpando ndoa zetu zibarikiwe pamoja, kuna mtoto wa mtu kanasa huku hapindui kwa hali aliyofikia hata nikimwambia ale wembe anakula.

Hongera zetu mkuu.
Hahaha mpaka wembe anakula?
Mimi Kuna siku nilimwambia alambe kwapa akakubali, Ile anaenda kulamba nikamzuia

Mkuu tumebahatika sana aisee
 
Ndio mkuu wote tuna madegree makubwa mawili
Madegree makubwa mawili, nyie ni watu wakubwa sana mkuu.

Naamini anataka wote mjifunze, angekuwa anayo mawili na wewe huna hata ya kusingiziwa..ningesema anakung'ong'a...ila kwa hayo madegree mpo vizuri.

Mahusiano mema mkuu, ila asikunyime papa, wadada walioenda shule kidogo wanazifungia sana papa zao kwa wapenzi wao...sijui wanazifungia kwa nini.
 
Unaongea ukweli mtupu, kwanza nimeanza kumla papa baada ya mwaka kwenye mahusiano na nilimkuta bikra kabisa
 
Hahaha mpaka wembe anakula?
Mimi Kuna siku nilimwambia alambe kwapa akakubali, Ile anaenda kulamba nikamzuia

Mkuu tumebahatika sana aisee
Huyu naweka ndani kwanza kanikubali na hali yangu, pili tangu niwe nae mambo yananinyookea mno, siku nimekutana nae kwa mara ya kwanza michongo ilianza kutiki.

Haya yote yanaendelea yeye hajui chochote na simwambii japo namuona kwa % kubwa ni mtu sahihi kwangu. Acha niende nae taratibu
 
Mkuu huwa wako hivyohivyo kabla hamjaoana, Hilo ni tabasamu la mamba subiri mkiwa na mtoto 1 au 2 hivi najua utarudi hapa jukwami huku unalia
Hsta kuowana mbali mkuu mpe time tu wawe kwenye mahusiano hata kwa muda wa miez 6 tu
 
Mwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Na sisi tulianza nao hivyo hivyo,tukawekeza nguvu kibao!"USIMKATAE MTU MUNGU ALIEKULETEA MAISHANI"

We muoe utimize wajibu yakiharibika utajua pa kushika mkuu!!

Wekeza nguvu kidogo tu,usijitoe mhanga !Wana disappoint sana!!
 
Unaongea ukweli mtupu, kwanza nimeanza kumla papa baada ya mwaka kwenye mahusiano na nilimkuta bikra kabisa
Mbona una bahati sana mkuu, umepata mwanamke hadi seal ukaitoa mwenyewe, na madegree mawili, na wife material kabisa...fanya uweke kwa ghetto ule kwa kujipimia.
 
Mbona una bahati sana mkuu, umepata mwanamke hadi seal ukaitoa mwenyewe, na madegree mawili, na wife material kabisa...fanya uweke kwa ghetto ule kwa kujipimia.
Sawa mkuu nipo kwenye mchakato mwezi wa sita haufiki naweka ndani
 
Back
Top Bottom