Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

Ebu nipe Namba yake nifanye vetting na pilot test kidogo,nihakiki usalama 😁
 
Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwishaaa...nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa...nilikufa nikazikwa nikaozaaa mapenzi yalitesa nimefufukaa...
Alisikika akiimba kijana mmoja barobaro [emoji1787]
Naongezea "siku hizi hakuna mahaba Ila upwiru unakaba koo" "
 
Usimpotoshe mashahada mawili 🀣na hisia za moyo kuna uhusiano gani? mkuuπŸ€”Kila fani na professional inacourse chuo ama shule lakini hakuna chuo/shule inayofundisha ndoa
 
Mwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Haya maneno ni ya Adamu kabisaa tena akasema ni nyama katika nyama zangu na mifupa katika mifupa yangu ila alichokifanya hakiwezi kusahaulika, sasa tungekuwa tunaishi na simba, chui tembo angekuwa rafiki yangu na tungekuwa hatufi, nadhani unapaswa kumuombea kila siku na wewe umpende sanaaa. Alaf nikuulize usije ukawa umeoa mwaka jana hahahha, ngoma bado mbichi wacha waseme walio na miaka 20 hahas
 
Utaoga kashfa humu washazoea mada za mambo kwenda komba so hii sio habari njema sana kwao wataanza kuuliza umri wako soon
 
Mwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Kila la kheri ingawa nakuomba usimalize maneno uache muda utakujibia yote...safari bado ndefu kaka.....tulizana endelea kyishi usimalize maneno......huyo ni binadamu Pia
 
Hahaha kaka kama unachambua soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…