Mungu atamuangamiza Netanyahu na wafuasi wake

Mungu atamuangamiza Netanyahu na wafuasi wake

Sheikh wangu....kinyonge sana. Vita tulitaka wenyewe tuliwachokoza hao jamaa
Najua hiyo ni propaganda,lakini utafute ukweli ipo siku itaujua,pia sio kila mtinanayewayetea wapalestina ni muislamu,hiyo pia djana potofu,wapalestina wanaonewa,wamedhulumiwa ardhi yao,wamefungwa kwa marlefu huko kwenye magereza ya israeli,wanauawa hovyo kama kuku,wanalawitiwa,na kufanyiwa kila uovu.Yapo maazimio kadhaa ya umoja wa mataifa wakiitaka israeli kuwarudishia wapalestina ardhi yao lakini hawataki,lakini ipo siku haki ya wapalestina itarejea kwao
 
Mungu hawezi kuwaangamiza waisraeli kwa makosa na ushetani wa natanyahu
Huyu ni kichaa fulani, yupo tayari kwa lolote ili mradi atimize nia yake ya kupunguza kizazi cha wapalestina waliomo Gaza. Kwake kufa sio ishu, ndio maana ametoroka matibabu ya tezi dume wodini akiwa hajakamilisha
 
Wameanza watu wa gaza itafuata wewe unayetaka netanyahu aangamizwe wakati watu wake walipoangamizwa mlishangilia
wakati nashangilia uliniona? au uliona nimeandika kitu hapa kushangilia?Tuache kukurupuka tu sio haki kuua raia wasio na hatia iwe ni waisraeli au wapalestina
 
Kwa hiyo huyo Mungu yeye furaha yake ni kuuwawa kwa wa Israel tu lakini wa Israel wakijitetea yeye anachukia.......
1002347950.jpg
 
Kwa hiyo huyo Mungu yeye furaha yake ni kuuwawa kwa wa Israel tu lakini wa Israel wakijitetea yeye anachukia.......View attachment 3189762
Hakuna mtu anatetea kuuawa kwa binaadamu bila hatia yoyote ile,hao watoto wa kipalestina wanaouawa,wazee wanauawa,madokta,manesi na waandishi wa habari wa palestina wao wana hatia ipi?
 
Back
Top Bottom