Mungu atamuangamiza Netanyahu na wafuasi wake

Mungu atamuangamiza Netanyahu na wafuasi wake

If I were Bibi, ninge-sacrifice hao hostages kadhaa waliosalia huko Gaza ili nii-flat Gaza yote zaidi ya Hiroshima na Nagasaki, ndio lingekuwa suluhisho langu. A total deletion of terrorists, jihadists na vizazi vyao vyote ingekuwa ndio solution.
 
Oktoba 7 mlitumwa na mungu wenu Allah mkawaue waisrael ili mtimize ratiba aliyoipanga ?
kwa akili yako fupi,unadhani kuwa madhila na mateso ya wapalestina yalianzia oktoba 7 huo ni upofu wa kihistoria,na ujinga wako mwingine ni kudhani kuwa kila anayewayetea wapalestina ni mwislamu,wewe hapa Allah unamuingiza wa nini? wewe unamjua Mungu kweli? unamchezea Mungu na huku unaenda kusali kwa hiyo dini yako,kweli? soma historia vizuri,ujue ni kwanini hamas ilizaliwa,wanapigania nini,acha kufata mkumbo
 
If I were Bibi, ninge-sacrifice hao hostages kadhaa waliosalia huko Gaza ili nii-flat Gaza yote zaidi ya Hiroshima na Nagasaki, ndio lingekuwa suluhisho langu. A total deletion of terrorists, jihadists na vizazi vyao vyote ingekuwa ndio solution.
If it were you,huo msimamo utakuwa ni jinamizi kwenye maisha yako
 
Lakin mim naona Hamas, Iran na palestina walibugi saana. Wao ni majirani na Israel na wanajua vzuri tangu vita ya sku sita na vita nyingnezo ambazo Israel imewah kupgana. Sasa swali nkwamba wakatj wanapanga au kufurahia tukio la oct 7,hawakujua spirit ya kizayun kwamb reaction yake itakuwaje? au walikurupuka bila au waliwa-underestimate watoto wa yakobo?.
Lakin pia kwenye shambulio la oct 7 Hamas walionekana wakimsifu Mungu wao Allah kuwawezesha kuinyuka Israel, swali ni je huyo Allah kashindwa na Mungu wa waisrael au tuseme Hamas hawana baraka za mungu wao kwenye hiyo vita?
 
Halaf kuna mambo yakutafakari juu ya kinachoendelea gaza
1.Wapalestina na washirika wao wnania ya kuifuta Israel tangu kitambo, je kwanin tusione kuwa na Israel akiifuta palestina atakuwa sahih?
2.Kama wayahud wanadai ni ardhi waliyopewa na Mungu wao lakin palestina na aashirika wao kwa msingi wa dini(Mungu wao) wanasema nchi na yao. Sas kwanin sis tusikae pemben tuone Mungu yupi ana nguvu maana sasa hiyo ni vitu ya Mungu wa wapelestina na Mungu wa wa waisrael.
3.Unaposema Netanyahu ni mkatili unajuaje kama sikwamba yeye ndo ndo mwenye afadhari kulko kiongoz mwingne atakaye au ambaye angekuwa badala yake?
 
Mungu ndo alimuangamiza Sinwa?

Cheki hilo komwe lake lilivyofunuliwa.

IMG_7445.jpeg
 
Kashaangamia huyu, huoni kachanganyikiwa. Taarifa za ki-inteljensia za Marekani zinasema- HAMAS amesajili wanajeshi wengi kuliko walivyokuwa walipoanzisha mapigano. Ikiwa Lengo la Nitanyahu ni kuifutilia mbali HAMAS, na mpaka sasa hivi anaingia makubaliano ya kuacha mapigano na HAMAS. Hamuoni kuwa kashachanganyikiwa, maana lengo lake halijafanikiwa.
 
Mungu hawezi kuwaangamiza waisraeli kwa makosa na ushetani wa natanyahu
Umejuaje? Kwani wewe ndiye mwakilishi na msemaji wa Mungu hapa duniani?

Na vipi ikiwa Mungu amemtuma Netanyahu na wafuasi wake kuwaangamiza Palestina na Hamas na washirika wao?

BTW usimhusishe Mungu kwenye maovu yenu au wanadamu. Hamas wameua na kuteka, Netanyahu na wafuasi wake wameua na kuharibu. Mungu anahusikaje hapo?
 
Labda kama huna dini lakini mimi ni muumini wa Mungu na nina imani lubwa ipo siku
 
Back
Top Bottom