Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Tulia tu Sheikh wangu. Jamaa tuliwachokoza tulipoteka na kuua watu wao. Mayahudi si kama Wakristo. Hawa wanaamini katika kisasi. Wamelipiza. Wamepitiliza katika kulipiza...Najua hiyo ni propaganda,lanini utafite ukweli ipo siku itaujua,pia sio kila mtinanayewayetea wapalestina ni muislamu,hiyo pia djana potofu,wapalestina wanaonewa,wamedhulumiwa ardhi yao,wamefungwa kwa marlefu huko kwenye magereza ya israeli,wanauawa hovyo kama kuku,wanalawitiwa,na kufanyiwa kila uovu.Yapo maazimio kadhaa ya umoja wa mataifa wakiitaka israeli kuwarudishia wapalestina ardhi yao lakini hawataki,lakini ipo siku haki ya wapalestina itarejea kwao