Mungu atamuangamiza Netanyahu na wafuasi wake

Mungu atamuangamiza Netanyahu na wafuasi wake

Waganda walimfanyia jambo jema kaka yake ...

He is the younger brother of Benjamin Netanyahu, the Prime Minister of Israel, and Yonatan Netanyahu, a highly decorated soldier who was killed leading the Entebbe raid, a hostage rescue mission in 1976.
 
Sasa hujasema lini. Maana kufa alikufa hadi Hayatollah Khomein, alikufa Muhammad. Benjamini anakufa lini kwa maneno yako?
Binaadamu hawezi kumpangia Mungu ratiba yake.Kuhusu kufa utakufa wewe,mimi na binadamu wote kwa ratiba ya Mungu
 
Najua hiyo ni propaganda,lakini utafute ukweli ipo siku itaujua,pia sio kila mtinanayewayetea wapalestina ni muislamu,hiyo pia djana potofu,wapalestina wanaonewa,wamedhulumiwa ardhi yao,wamefungwa kwa marlefu huko kwenye magereza ya israeli,wanauawa hovyo kama kuku,wanalawitiwa,na kufanyiwa kila uovu.Yapo maazimio kadhaa ya umoja wa mataifa wakiitaka israeli kuwarudishia wapalestina ardhi yao lakini hawataki,lakini ipo siku haki ya wapalestina itarejea kwao
Kwa nini Egypt na -Saudiarabia hataki kuwachukua wapalestina?

Kwa nini Egypt kajenga ukuta kwenye mpaka wake na Palestine?

Ukishajua haya inabidi uweke Uislam pembeni. Hii vita sio ya kidini ni vita ya ardhi.

Sitipoteza muda sana kubishana nawewe kwa sababu umemezeshwa
 
Binaadamu hawezi kumpangia Mungu ratiba yake.Kuhusu kufa utakufa wewe,mimi na binadamu wote kwa ratiba ya Mungu
So kumbe suala la kufa ni la kila mtu. Ndo maana nikakupa mifano hiyo. So halihusiani na maneno yako ya kuwa ataangamizwa. Ni kwamba ukifika wakati wake atakufa kama wengine. Atakapokamilisha jukumu lake hapa duniani.
 
kuangamia ataangamia kwa namna ambayo Mumgu atamuadhibu,na adhabu hiyo aijuaue ni Mungu,nilikujibiu wewe kuhusu kifo kwa akili yako finyu unadhani angamizonla natanyahu ni kifo,sio kifo bali ni angamizo balo hakuna anayelijua bali Mungu mwenyewe
 
Hakuna mtu anatetea kuuawa kwa binaadamu bila hatia yoyote ile,hao watoto wa kipalestina wanaouawa,wazee wanauawa,madokta,manesi na waandishi wa habari wa palestina wao wana hatia ipi?
Fahari wa wili wakigombana zinazoumia ni nyasi!!! Nani alikuambia vita vina macho?? Hamas Oct 07,2023 walipovamia huko Israel hawakubagua watoto,wanawake,wanaume,wazee au vilema hilo hulioni unaliona la ndugu zako wapalestina tu!!!!
 
kuangamia ataangamia kwa namna ambayo Mumgu atamuadhibu,na adhabu hiyo aijuaue ni Mungu,nilikujibiu wewe kuhusu kifo kwa akili yako finyu unadhani angamizonla natanyahu ni kifo,sio kifo bali ni angamizo balo hakuna anayelijua bali Mungu mwenyewe
Kila mtu atakufa. Hili halichagui. Adhabu Mungu wako wewe atakuadhibu wewe kwa imani yako.
 
Waafrika Wenzio wanakufa Sudani hapo wewe unaleta habari ambazo hazina kichwa wala miguu
 
Sikia wewe,adhabu ya natanyahu sio kifo ni adhabu ambayo Mungu atampa ambayo wewe hata ujambe unye hutaijua ila siku ya siku atajuta
Mnalishana ujinga tu. Khatollah Khomein alikufa kwa mateso sana.... Alipewa adhabu? Akili za kimbwa hizo na kukosa Elimu kila mtu atakufa. Wewe ndo utapewa hizo adhabu na mungu wako. Wenzio watapeta tu
 
Najua hiyo ni propaganda,lakini utafute ukweli ipo siku itaujua,pia sio kila mtinanayewayetea wapalestina ni muislamu,hiyo pia djana potofu,wapalestina wanaonewa,wamedhulumiwa ardhi yao,wamefungwa kwa marlefu huko kwenye magereza ya israeli,wanauawa hovyo kama kuku,wanalawitiwa,na kufanyiwa kila uovu.Yapo maazimio kadhaa ya umoja wa mataifa wakiitaka israeli kuwarudishia wapalestina ardhi yao lakini hawataki,lakini ipo siku haki ya wapalestina itarejea kwao
WE CHURA WEWE UMELUSHWA MATANGOOO HUJUI UNACHOKIONGEA SIKU MACHO YAKO YAKUFUNGUKA UTAELEWA MAYBE AT THAT TIME WEWE NA NDUGU ZAKO WAPALESTINA MTAKUWA KWA WALE 72
 
WE CHURA WEWE UMELUSHWA MATANGOOO HUJUI UNACHOKIONGEA SIKU MACHO YAKO YAKUFUNGUKA UTAELEWA MAYBE AT THAT TIME WEWE NA NDUGU ZAKO WAPALESTINA MTAKUWA KWA WALE 72
umeishiwa hoja ndio unakimbilia kuongea utumbo na mimi sina muda nawe,kajambe mbele ya safari
 
Back
Top Bottom